Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

kwi kwi maccm hapo flexible au wanaexist kwa ajili ya polisi jeshi na TISS

Ndio maana waswahili walisema Kichaa lake jalala... pale Majalalani Mtaa wa Ufipa - Kinondoni ndio makao makuu ya yenu, na akili zenu ndio hizi na bado mnataka kutuaminisha kuwa anayejenga Flyovers, SGR, Stiglers Gorge, Madaraja kila Kona, Daraja la Sarenda, anatuletea ndege za kisasa, anatujengea Mahospitali, nk kuwa hatufai... ila hao watetea ushoga na vibaraka wa wazungu ndio wanafaa (Kujenga tu Ofisi ya Chama kutoka kwenye ruzuku Miliomi 500 ni shida wataweza hata kujenga darasa hao)
 
hii ya Lisu imewauma sana, hususani mr. 'petty dictator', Lisu anamaneno huyu 😛😛😛
 
Kwa kweli nimeshangazwa sana na baadhi ya watanzania waliojichoka. Nasema hivyo kwa sababu ukiona mtu anaongea vibaya kuhusu watu wa nyumba yake mwenyewe kwa majirani akidhani watamuelewa, badala yake wakaonyesha hali ya tofauti na matarajio, ujue mtu huyo something is wrong.
Kitendo cha Tundu Lisu kudhalilishwa na Stephan katika kipindi cha Hard talk BBC ni Dhahiri ametuaibisha sana Watanzania. Usiposema wewe vizuri kuhusu mtu anayefanya kazi zake kwa moyo Mungu atamuinulia watu hata usiowategemea kusema kwa niaba yake. Hebu angalia sehemu ya mahojiano uelewe ninacho kisema.
 

Attachments

Ndio maana waswahili walisema Kichaa lake jalala... pale Majalalani Mtaa wa Ufipa - Kinondoni ndio makao makuu ya yenu, na akili zenu ndio hizi na bado mnataka kutuaminisha kuwa anayejenga Flyovers, SGR, Stiglers Gorge, Madaraja kila Kona, Daraja la Sarenda, anatuletea ndege za kisasa, anatujengea Mahospitali, nk kuwa hatufai... ila hao watetea ushoga na vibaraka wa wazungu ndio wanafaa (Kujenga tu Ofisi ya Chama kutoka kwenye ruzuku Miliomi 500 ni shida wataweza hata kujenga darasa hao)
Mnachekelea ndege ambazo zinatia hasara kweli nyie no malimbukeni na washamba.tutashuhudia pesa za walipakodi millions of $$$ kila mwaka hasara na serikali ikitoa ruzuku.rwandair ina consume $$50mil kuiokoa iweze kuwa hewani annually. nyie hats international route hamjaanza mnacheza mdundiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipita karibu na ikulu ya Managua nikasikia MBAAA mara MBUUU afu zikaanza kusikia zile za silence YUSUFU, PIUS, kilichofua ni kufunga pua
 
Mnachekelea ndege ambazo zinatia hasara kweli nyie no malimbukeni na washamba.tutashuhudia pesa za walipakodi millions of $$$ kila mwaka hasara na serikali ikitoa ruzuku.rwandair ina consume $$50mil kuiokoa iweze kuwa hewani annually. nyie hats international route hamjaanza mnacheza mdundiko

Sent using Jamii Forums mobile app

Your not abreast of Current affair.... Leo hii Air Tanzania imeenda Zambia na Zimbabwe, pia Mauritius kila wiki mara tatu, kwa mwezi ujue ATCL inatengeneza Faida Pekee yake Billion 4.... na hapo ndege mbili ambazo ni Airbus zilikuwa hazijafika, sasa hapo hasara iko wapi ?? Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.... Unaongelea ndege pekee haujui kama serikali ina vitega uchumi vingi na miradi mingi, umekalili kodi zetu kodi zetu, usikute hata kodi haulipi shubamiti si mpinzani wewe ???

Tena ni bora mtuachie Magufuli wetu sisi tuliomchagua tuendelee kumuuliza ahadi zetu, huyu ni wetu .... nyie endeleeni kumuuliza Lowasa ndio mlimchagua huko, huyo wa kwenu, si unaona sisi wala hatumfuatilii mgombea wenu !!
 
Back
Top Bottom