Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,032
- 63,174
Hahaha Lissu kamnyoosha kwelikweli Jiwe pale kwenye The HardTalk!
Leo dunia imetangaziwa kuwa kuna Maiti zimeokotwa kwenye Viroba, watu wanatekwa na kupotezwa
Kaiambia dunia kuwa kuna watu zaidi ya 380 wamepigwa vyuma huko Kibiti na Rufiji!.
Kisha Lissu akauliza, hivi haya ndo malipo ambayo lazima tulipe ili eti tudhibiti ufisadi?. Palepale nikaona mwandishi wa BBC anatikisa kichwa kukubaliana na point ya Lissu!!
KWA MAONI YANGU HII NDO MOST DAMAGING PUNCH ambayo LISSU kairusha kwa career ya Jiwe!.
CCM wanajaribu kutwist nondo za Lissu lakini wameshafeli, Lissu kashusha nondo kwelikweli, Dunia nzima imeshaijua serikali ya Jiwe inavyooperate