Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Jamani tuacheni masihara, Lissu ni kichwa cha kimataifa. Lugha, upeo, kujiamini na uwezo wa kupangua maswali aliouonyesha Lissu ulikuwa wa juu mnoo. Fantastic.

Baada ya kile kipindi kuruka hewani, huko Kenya wameanza kudai kuwa Lissu ni mkenya.
😆😆😆 we jamaa una utani.
 
Hicho kipindi wanahojiwa watu wenye impact kwa nchi.
Lissu amekubaliwa sababu anaonekana ndiye kiboko kwa jiwe.
 
Bado mtangazaji kawabeba strategically, lakini mchezo hawajauelewa, subiri kibao kigeuke,ziara Bado inaendelea na mwisho yote yatakuwa wazi wasio julikana wote watakuwa out na waliowatuma.
 
Mtangazaji kambana Lissu kuhusu kauli zake za ajabu ajabu zisizoambatana na ushahidi.

Lissu kabaki kujiuma uma tu.

Not impressed at all.
Lissu kajieleza vizuri sana, mwandishi kafanya kazi yake na Lissu kafanya kazi yake. CCM hakuna anayeweza jieleza kwa ujasiri vile kama Lissu. Lissu ni presidential material.
 
ha ha ha mgonjwa anaulizwa 'Magufuli amefanikiwa kudhibiti wawekezaji wa sekta ya madini'..'Mgonjwa anatoka povu akipinga hatua za serikali mwishowe anasema mimi ndiye nilianza lakini hawakuniunga mkono. Ni dhahiri kachemka!
Acha ungese hakuna alichofanikiwa zaidi ya kuuza makinikia kimya kimya na mikataba ya madini kaweka Waziri msukuma ili wapige mikataba wale wenyewe kimya kimya, wamekamata madini na pesa kibao lakini wanachukua na kujimilikisha wao binafsi kienyeji, hana unafuu wowote zaidi ya kutumia mikwara huku akiiba kama alivyokwapua trilion 1.5 .
 
Tundu amezidiwa vibaya saana kwenye interview hii. Akili za wazungu usipime[emoji2][emoji2] Wanatujua kwelikweli. Wanajua namna JPM anavyoibadilisha Tanzania na ambavyo kundi la wabunge wa upinzani wanavyokunwa naye hadi wanahamia kwake CCM. Na jinsi atakavyopita kwa kishindo 2020. Tundu anadai eti wote wananunuliwa. Mtangazaji anamwambia kumbuka wewe ni Mwanasheria Mwandamizi, kwanini unatoa allegations zisizo na evidence[emoji2][emoji2] Tundu anabaki bila hoja[emoji2]

Hahahahahh mbombo jilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba wewe wazungu wanajua kama magufuli kaiba trilion 1,5 mwenyewe kienyeji? Wazungu wanajua magufuli amejenga chato Airport bila idhini ya Bunge? Wazungu wanajua kuwa magufuli alikuwa akichukua pesa za walipa kodi kuwanunua wabunge na madiwani wa upinzani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa? 2020 ccm haina chake mambo yatabadilika watanzania wameichoka CCM,
 
Jamani tuacheni masihara, Lissu ni kichwa cha kimataifa. Lugha, upeo, kujiamini na uwezo wa kupangua maswali aliouonyesha Lissu ulikuwa wa juu mnoo. Fantastic.

Baada ya kile kipindi kuruka hewani, huko Kenya wameanza kudai kuwa Lissu ni mkenya.
Vilaza wa CCM wamejazana gheto kwa cyprian Musiba na le mutuz wapo busy kupinga kusumbua watu mitandaoni lakini moyoni wanaujua Ukweli.
 
Lissu kajieleza vizuri sana, mwandishi kafanya kazi yake na Lissu kafanya kazi yake. CCM hakuna anayeweza jieleza kwa ujasiri vile kama Lissu. Lissu ni presidential material.

Mpaka sasa msemaji wa Serikali yupo gheto kwa le mutuz akisubiria awatafasilie ni aibu sana kwa CCM kumtegemea le mutuz awe mkalimani mkuu wa CCM
 
Mungu atamsaidia kwani Duniani kote wametambua kuwa Tanganyika ni Nchi ya kidikteta kwa 100%
Mkuu samahani sana..(nje kidogo ya topic), hivi wewe huwa ni mwanaume au mwanamke?, maana mchango wako wa maelezo humu huwa ni wa kike kike tu, ni kama huwa huelewagi watu wana discuss nini.. Ni kama demu aliyezoea kusutana sutana na wenzake uswahilini.
 
CCM ni ile ile wizi upo pale pale ingawa sasa wizi ni moja kwa moja Hazina kwani katibu mkuu wa wizara ya fedha ni mtoto wa nje wa magufuli ingawa huzuga kama ni mtoto wa dada yake, wanachukua pesa BOT kienyeji hata usiku wa saa Tisa, ununuzi wa ndege mitumba wanepiga pesa nyingi cha juu huku wakiwahadaa watanzania kuwa ndege ni mpya, kuna ufisadi wa kutisha kila kona kuanzia ujenzi wa reli, flyover, bomba la mafuta kila kona wanapiga, lakini kwa kuwa magufuli ni mtu wa mikwara watanzania wanamuona kama ana unafuu kumbe ndiyo hatari kuliko wote waliopita kaiba trilion 1.5 anazitumia kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla ili arejeshe mfumo wa chama kimoja pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo hovyo yasiyo na Tija kwa Taifa ni pesa nyingi sana, hakuna mzungu anajua mabaya ya magufuli kwa sababu kazuia mikutano ya Wapinzani ili wakose nafasi ya kuanika mabaya yake live kwa wananchi na Duniani kote.
 
Mkuu samahani sana..(nje kidogo ya topic), hivi wewe huwa ni mwanaume au mwanamke?, maana mchango wako wa maelezo humu huwa ni wa kike kike tu, ni kama huwa huelewagi watu wana discuss nini.. Ni kama demu aliyezoea kusutana sutana na wenzake uswahilini.

Wewe Mbona ni mcheza taarabu lakini hujijui tambua kuwa Mchawi ndiyo humjua Mchawi na mwizi humjua mwizi wewe ni malaya ndiyo maana umewashwa na kuja na hoja ya kifala fala ukidhani ni point, tulia Sindano zikuingie maana mpaka kuandika hivi inaelelekea yamekuuma mpaka ukatamani kupewa mimba na hao waliokutuma kuja kuharibu mada.
 
Mimi nashauri hawa niliowataja mmoja wao kwa dhamana walizopewa waende kuhojiwa katika kipindi hicho kuhusu shambulio la Lissu na hatua walizochukua na kama hawajachukua hatua waeleze sababu ni nini na mtangazaji awahoji kadri watakavyojibu alafu tuone nini kitatokea.

Na ikiwezekana hata mkulu nae ahojiwe jinsi alivyosimamia swala hili.
CCM hakuna wa kufanya interview ya kingereza BBC wote vingereza vyao ni vile vya kigugumizi kama cha mtukufu malaika toka chato.
 
Tundu Lissu MP
HARDtalk

HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu.

Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'.

Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017.

Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?

The Tanzanian opposition politician, Tundu Lissu says he is "more than ready" to run for the presidency of Tanzania in 2020 if his party wants him to.

Mr Lissu, who is chief whip for the Tanzanian opposition party Chadema, is currently living in Belgium where he has been undergoing medical treatment after an assassination attempt in Tanzania in 2017. He has undergone 20 operations.

He told Hardtalk's Stephen Sackur he would return to Tanzania when the doctors declared him "fit to go". When he returned, the government would have a responsibility to ensure he was safe.

Mr Lissu also said he believed Tanzania's laws against homosexuality violated people's right to privacy and so were unconstitutional.

"We should never allow the government to start peeping into people's bedrooms," he said.

​

Compare who is angry? Mkapa
 
Ni mimi peke yangu sijaelewa watu wanashangilia nini kuhusu mahojiano ya Lissu? Watuhumiwa wajikite katika kujibu/kuaddress tuhuma nzito zilizotolewa.Mhojiwa ametoa tuhuma na “heavy circumstantial evidence” ila mazombi yamechagua kusikiliza& kushangilia maswali na si kutoa majibu

Camera za CCtV zilienda wapi? Walinzi walienda wapi? Kwanini Polisi haijatoa majibu ya Uchunguzi? Kwanini matukio ya mauaji yameongezeka? Kwanini hajatibiwa na serikali?

Watu wanashangilia kama wamewehuka, au kama kulikuwa na mechi ya ligi kati ya mtangazaji na mgeni wake. Hawajikiti katika maudhui ya mazungumzo. Ni ushabiki tu.


mr mkiki
Watetezi wa CCM mitandaoni wote ni vilaza mbumbumbu ni vijana wajinga wajinga wapo gheto kwa le mutuz na cyprian Musiba wamekariri walivyolishwa na hao boss zao kazi yao ni kuharibu mada kusumbua watu mitandaoni kufanya vurugu kuwachanganya wachangiaji mada ni Aibu CCM kumpa Tenda ya utetezi mitandaoni hiyo kubwa jinga Le mutuz ndiyo maana ujinga wa watetezi wa CCM hautakwisha.
 
Cyprian Musiba na Heri kisanduku wanaandaa shambulio la pili kwa uratibu wa Bashite ndiyo maana wanamkazania arejee Nchini waje kumuua.
Mnapenda kutaja taja majina tu halafu mkiombwa ushahidi mnababaika. Hamjifunzi?
 
Back
Top Bottom