Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Lisu kaalikwa huko, yaani wenyewe ndiyo wamemtafuta si unajua kitendo cha kupigwa Risasi nyingi akaweza kupona kimewashangaza ndiyo maana wamempatia mialiko mingi apate kutoa somo na kuwasaidia wengine ambao wapo mbioni kupigwa Risasi .
Mbona yeye anasema bado mgonjwa?
 
Kumekucha kila mtu na majukumu yaka kipara kipya nae kaja na hii hapa chini;

Hongera Lissu na Hardtalk sasa wewe ni maarufu kuliko Chadema - JamiiForums

Ngabu nae kaja na hii hapa chini,

Ushahidi alioulizwa Lissu HARDtalk hata sisi tushauulizia!! - JamiiForums

Spika nae kaja na lake pia nalo hilo hapo chini

Spika Ndugai: Lissu asubiri Mziki wangu - JamiiForums

Hiyo haitoshi mwingine kaja na hii pia kumbuka saa hizi ni saa mbili kuna nyuzi zaidi ya tano zote Tundu Lisu

Kipindi cha HARDtalk kimedhihilisha tena Tundu Lissu bado ni Mwanaharakati na sio Mwanasiasa. - JamiiForums

Mpaka tufike saa kumi jioni hapa jukwaani kutakuwa na nyuzi zaidi 20 kuhusu TAL mwanasheria nguli anaowaumiza vichwa ccm na serikali yake.

Kila aina ya ubaya mnampa yeye, hamkumbuki hata kuisakama police labda ifanye japo uchunguzi wa uongo tu waje na majibu tujue hata kama ni ya uongo tusema walijishughulisha kufanya japo uchunguzi.

Watu wamebweteka kana kwamba aliyepigwa na kushambuliwa kwa risasi zote zile ni ngedere au nyani, TAL anahaki ya kuongea yote hayo sio kwa ule unyama aliotendewa.
 
Waandishi wa Kimataifa kabla ya kumhoji Mtu Maswali wanafanya study ya kutosha sio wale ma kanjanja wetu wa kuuliza Maswali ya kipuuzi
Lissu katikiswa Na ametikisika Kweli tuache ushabiki

Kiongozi pekee wa Kisiasa aliekuwa anawamudu Hawa Waandishi wa kimataifa Ni Mzee Robert Gabriel Mugabe!

Kajiharishia walahi
Malipo ni hapa hapa duniani walahi
Watanzania wamemkosea nini lissumsaliti mpaka anakwenda kuidhalilisha nchi yetu, na bado squatter atageuka omba omba wa mitaani walahi naapa!
Tanzania imechoka na mijitu kama tundulissu msaliti walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Maandalizi yoyote yanakuwa na mantiki pale unapopata matokeo mazuri. Hapa ndipo utakapogundua maana ya kocha wa yanga mkongomani Mwinyi Zahera alipoona mambo yatakuwa magumu kwenye kombe la mapinduzi akaja na propaganda ya kuwa ''atapeleka kikosi B'' kwa sisi watu wazima tuliupata ujumbe.

Turudi kwenye hoja, huenda maandalizi ya kuongea na media za kimataifa yalikuwa mazito na yamegharimu mamilioni ya dola. Inapotokea matokeo yanakuwa madogo sana kulinganisha na uwekezaji tusipeleke ''timu A''.

Ndugu zangu, kule CNN akienda Lissu atakutana na Richard Austin Quest , huku mambo yatakuwa mabaya zaidi kuliko yalivyokuwa kwa Stephen Sackur. Kwani Richard atapata wasaa wakuangalia mahojiano baina ya Steve na Tundu na hapo kazi itakuwa imekwisha, hata akiuliza maswali yale yale hali itakuwa mbaya zaidi.

Hapa ndipo mantiki ya kuitimia timu B, ambapo hapa ndipo Mange Kimambi 'anafit'. kwanini Mange? angalau ana cha kuzungumzia kuhusu maandamano yake yaliyoshindwa ya 26 Aprili, 2018.

Pili, kama kweli Lissu bado anaumwa si busara, Chadema watumie sababu hii kukwepa kiti moto pale CNN kwani kushindwa kwake ni kuanguka kwa chama na aibu zaidi kwa kukosa misingi ya kujenga hoja kimataifa.

Nimalizie tu kwa kusema, 'mzima nguo ikidondoka chutama', sisi wenyewe ni mashaidi wafuasi wengi wa Bavicha hawasherehekei clips za BBC sasa mkiongeza mziki wa CNN ya Richard Quest hali itakuwa mbaya zaidi.

Mahojiano ya CNN aende Mange na sio Lissu kuepuka aibu zaidi.
mtanyooka tu.
tutangazieni mpaka ratiba ya KAMANDA LISSU
 
Wewe unaweza kuitwa bbc ukafanye mahojiano? ni watanzania wangapi wenye hadhi ya kuhojiwa hardtalk? Mfalme jiwe anaweza kuhojiwa na akaongea kwa lugha ya malkia?mwacheni aliyejaliwa na Mungu aonyeshe vipaji vyake nyie endeleeni na roho zenu mbaya za kichawi kama nyoka na shetani

Lissu kajaliwa kipaji gani?
 
Waandishi wa Kimataifa kabla ya kumhoji Mtu Maswali wanafanya study ya kutosha sio wale ma kanjanja wetu wa kuuliza Maswali ya kipuuzi
Lissu katikiswa Na ametikisika Kweli tuache ushabiki

Kiongozi pekee wa Kisiasa aliekuwa anawamudu Hawa Waandishi wa kimataifa Ni Mzee Robert Gabriel Mugabe!
Wengi hamjui lengo la waandishi wa habari hasa wa kimataifa, ni kuchokonoa ili ujumbe ufike dunia nzima, lengo lao limetimia.
 
Unajua mkuu watu wenye Elimu walao ya level fulani tunawa expect kuwa na professional Arguments, nimefurahi kuwa umetumia neno Mzuka. Lissu anaweza ku argue baadhi ya sehemu ila kama umekaa na majority ya civilised societies arguments zake zinachukuliwa kama irritants.Na ndo maana Steve katumia inflamatory allegations. Hata Individual issues wazungu hawachukui mzuka hata kidogo in most of their cases .sasa kwa level ya Lissue tena lawyer wanamuona kama kituko mbele ya kamera .Stephen amemuuliza maswali mengi sana akabaki kushusha mzuka, kwa sisi waafrica mzuka unaweza kuchangia mtu kupata side ila kwa hawa watu ni tofauti sana.Lissu ana argue very very unprofessionally and i fail to understand this.
 
Huo uchunguzi unatakiwa uanzie wapi sasa kam sio kwake yeye mwenyew na waliokuwa jiran nae wakat tukio linatokea.
Bavichaa Acheni kutapatapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa mda mwingine huwa naona nuts za vichwa vyao zimelegea. Mtu anataka serikali iseme nani kampiga lisu lisasi wakati shahidi namba moja na mbili ni Lisu na dereva wake na wako huko ulaya wanazurula bila sababu za mcng bila kuhojiwa.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
as vita 5-0 simba, naweka record sawa tu, tuendelee na mjadala, kama CNN aliitakuwa mbaya na wew umeshajua kwanin usiende wew badala ya lisu?

Kama hali itakuwa mbaya si faida kwao mkuu, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kumzuia na kumvunja moyo???

Walisema hawezi kwenda BBC lakini kaenda wamenuna sasa wamesikia CNN wamechanganyikiwa kabisaaa.
 
Wivu wa nini? Ana nini alichonacho ambacho natamani niwe nacho ila siwezi kuwa nacho?

Si ajabu wewe ndo mwenye wivu na una project wivu wako kwangu.

Jiangalie.
Uwe unatamani au hautamani ukweli utabaki palepale hauwezi kuwa Lissu huyu ndie kimzizi cha ukawa kama Lukuvi anavyopenda kumuita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom