Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Hizi ni defence mechanism. Jamaa yenu kachemka

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Kama kachemka si mngempotezea tu mbona jeshi lote la Lumumba limejaa hapa ? Lissu ni next level hangaikeni na spinning zetu za kijinga lakini dunia inazidi kuelewa kinachoendela hapa, mtaelea tu pamoja na umbumbu wenu.
 
Hakika Kwa Interview AliyoFanyiwa TUNDU LISSU angefanyia JIWE NGOSHA angejiharishia Maana English Ya Lissu iko Vizuri Balas Ila mzee wetu wa Intrepreneur angekabwa na Kigugumizi Tu.m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kujifariji mzungu anajua hata kwamba leo umegegedwa au laa!

Ndio maana nakwambia hao jamaa hawaihitaji kelele za Lisu kujua mambo ya Kibiti.

Alafu hamjifunzi. Dah nyumbu ni nyumbu tu.

Ok tufanya Lisu atasababisha mzungu kuja kumtoa Magufuli madarakani basi ili ufurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi ya nini sasa?hivi huwezi kuchangia kwa ustaraabu.You're so blinded with hatred and negativity that you don't even realize how stupid you sound.
 
Kuongea bila evidence ni mchezo ambao tumeuzoea sana hapa kwetu, ndio maana kuna maswali tundu Lisu anaulizwa anaanza kuyataja tu bila evidence ,watu kadhaa wamekufa kibiti, hajui waandishi kama wale wana data na informations zote za kutosha kuhusu Magufuli na serikali yake, hata ukijitahidi vipi kuongea mambo ambayo sio kweli watajua tu hapa ni siasa zinaendelea, mimi namshauri Lisu apunguze jazba na awae na facts anapoongea, vinginevyo kuwa convice watu huko ni ngumu, leo hii duniani sio rahisi kuwaambia watu kuwa hawajui juhudi za Magufuli kupambana rushwa, na hatua za serikali zinazochukuliwa katika Nyanja tofauti, yaani itakuwa ngumu sana kwa lissu hata akizunguka dunia nzima kuwaambia Magufuli sijui yuko vipi, tayari Magufuli amesha win kwa muda mfupi kulingana na utendaji wake, na ndio maana huwa nasema kila siku upinzani ungejikita kwenye vitendo kama Rais anavyosisitiza ila wao wakaja na Slogan yeneye muelekeo ule ule wa vitendo.
 
Ha ha ha matusi ni dalili ya kuishiwa hoja. Hivi alijipeleka mwenyewe au mliomba?

Ngoja nikuaidie! Hata risasi hakupigwa hata moja anajifanyisha tu! Umefurahi sasa? Halafu mchawi sana alituroga juzi mganga wake alipokufa ndio tukakumbuka hana ruhusaya supika pia tukajua amepona mafua na hajahudhuria bunge zaidi ya mwaka! Duh! alidhani sisi wajinga tumemstukia!Umefurahi saa ehh!
 
Magufuli hajawahi kulialia kwa wazungu kama Tundu na Chadema, mara kadhaa ameweka msimamo mkali, hata Steve amekubali. Kwani Lissu aliitwa au alienda mwenyewe?

Kwenda kwa waandishi wa habari kuna njia zaidi ya moja. Unaweza kwenda kwa kupenda au kuomba, ama nafasi yako inaweza kukulazimisha kwenda. Hapa haijalishi unataka ama hutaki. Aina hii ya maswali ndio inayofanya Magufuli asitake kutoka nje, na nina kuhakikishia kwa mazungumzo haya ya Lissu, Magufuli hatakaa akanyage Ulaya.
 
Mimi nimependa sana yale mahojiano , yalimvua mtu nishai, Tundu Lissu alibaki mtupu kabisa , alikuwa anamung'unya maneno mpaka basi na mara nyingi ameambiwa wewe ni mwanasheria si vizuri kuongea bila ushahidi.
Sasa kama ni hivyo, hizi threads mnazoporomosha humu kila baada ya dakika mbili kama Counter Attack ni za nini ?
 
Kwenda kwa waandishi wa habari kuna njia zaidi ya moja. Unaweza kwenda kwa kupenda au kuomba, ama nafasi yako inaweza kukulazimisha kwenda. Hapa haijalishi unataka ama hutaki. Aina hii ya maswali ndio inayofanya Magufuli asitake kutoka nje, na nina kuhakikishia kwa mazungumzo haya ya Lissu, Magufuli hatakaa akanyage Ulaya.
kwa hiyo hospitali ya Ubelgiji walimpa ruhusa kwenda kuhojiwa London?manake taarifa zilizo ni kuwa jamaa bado mgonjwa,au?
 
Magufuli anawatumia vyema wasaidizi wake kwenye masuala kama hayo. Huwezi ukamkuta akiwa kwenye mahojiano ya aina hiyo.

TL alikwenda studio kwa nia ya kuchafua nchi yake akakutana na mzungu mwenye taarifa nyingi tu za Tanzania.

Sio kwamba hataki, bali uwezo huo hana. Anavyopenda kuonekana kwenye luninga lazima angetaka kuonyesha uwezo wake.
 
naona jalada la kesi yake limefungwa.
kabla ya kumpa lawama mngemsaidia kwanza kupata HAKI YAKE.
alipiggwa risasi 32 nani aliyemsaidia Kati yenu ninyi ccm.?
leo Kapona mnaanza kumfata fata.
MWACHENI AONGEE LILE ANALOONA NI SAHIHI KWAKE NI HAKI YAKE.
kwa kuwa hamtukani mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Base Less Alegation, Inamaana Madai Yasiyo Na Msingi, Kama Kusoma Hawajui Hata Picha Hawaoni?, Risasi 16, Suggery 32, Bado Madai Hayana Msingi?
 
Unaelewa maana ya HARD TALK???? Ni hivi They will never, once again Never side with you

All hawataki kukuweka kwenye comfort zone

Ukiona wamekuita kwenye HARD TALK they know you can do it

Lissu did it! Salute you comrade

Huyu mnayemtetea hana kifua cha kukabiliana na haya ndio maana inaitwa HARD TALK -
Language/English (fluent) Confidence Intelligence ndio vigezo vya kuitwa kwenye kiti kile cha Enzi


They will always side na kile unachopingana nacho for you to prove 'your believes/standings'

Msiwe mnasikiliza kama kasuku unless leo kwako ni mara ya kwanza kushuhudia HARD TALK
Wanachotaka ni uanike mapungufu yote ya mtawala na chama chake as much as possible

Nikusaidie kidogo sikiliza HARD TALK za viongozi wa nchi ya Marekani akina Obama Bush Trump ndio uje uandike huu upupu wako.
Hakika wewe unakijua unachokunywa.Ile ndio maana ya hard talk.Yeye anaigiza kama anaunga hoja,ili wewe ujidadavue vizuri kwa kile unachokipinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhihirisha kiwango cha ujinga wako.
1. Mashoga wako UVCCM na wanajulikana akiwepo DAB labda na wewe. Tundu Lisu amesema wazi katiba na sheria ziko wazi kwenye hili. Na serikali ilikana hoja za Mkuu wa mkoa kuwa si msimamo wa serikali kupitia waziri MAHIGA.
2. Alipopigwa risasi akatakiwa azikwe haraka kijijini kwao kwa gharama za serikali maagizo toka juu, nadhani wewe wakati ulikuwa chooni.

HOJA ZA MSINGI

1 Risasi zote na miupango yote ilikusudia kuto maisha yake.
2. Amepona kwa mapenzi ya Mungu kinyume na hila za serikali
3. Wawekezaji Barrick hawakuwahi kukubaliana na malipo yaliyodaiwa na Magu kwa hiyo senti tano haijalipwa na haitalipwa.
4. Mauaji ya raia kufungi vyombo vya habari, kuzuia mienendo ya siasa za wapinzani,
5. Takwimu za uchumi na umaarufu kushuka hadi kutungiwa sheria
ili takwimu zitolewe na magu tu.
6. Kuhusu ufisadi kuna ujenzi wa Chato, Ununuzi wa ndege za ATCL ambao haukufuata taratibu.
7. Kwa uelewa wa haki za kibinadamu jumuia za kimataifa zinamuweka magu kwenye kapu la wakiukaji wa haki za kibinadamu.

Sasa eleza kuhusu hoja hizo kwa mahojiano hayo hapo chini. Kenge wee


Tatizo lugha mkuu, hakuna kingine umemuwekea hiyo video lakini hataelewa kinachozungumzwa hapo.
 
Nilipoona Makonda anapojitokeza kujibizana na Lissu kwa niaba ya serikali nimechoka na kulegae! Ama kweli Tanzania imepatikana!
 
Ndugu zangu,

Kama wazungu wanatambua kuwa tuhuma za akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wenzao kuwa ni za 'kutengeneza' basi wabadili mbinu.

kitendo cha waandishi wa media za kimataifa kuyaita madai ya Lissu kuwa ni ''base less allegations'' au ''inflamatory statement ni dhahiri wapo uchi.

Huenda Zitto Kabwe naye hajatupa mrejesho wa Mwenyekiti wa jumuiya za madola baada ya kuambiwa ''your allegations against Hon.Ndugai with respect to CAG are utter baseless''

Tuliwahi kusema hapa uongo haudumu na ndicho kilichotokea na zaidi umewaumbua watu mchana.

Ni dhahiri hata ule mpango wa akina Ngurumo kutafuta ''hadi ya ukimbizi'' Finland umeshindwa.

Tanzania yetu sote, tuipende,tuikumbatie.

Pale mwenye uzi anapata Like 6 na mchangiaji tu anaetetea utu anaitwa Makilo anapata Likes 10 speaks volumes!

It shows you are peddling stupidity and injustices!
 
Ndio maana leo wamebaki kufurumusha matusi mazito mazito tu, ha ha ha imekula kwalo.

Mnajambajaambaa....

Eti mnajitapa mzungu kawatetea CCM....

Hahahaahaaa....

Wacha tucheke tu.

Sasa kama nyie wanaume pelekeni na jiwe likaongee...

Haahahaaa...

Aibuuu...
 
Back
Top Bottom