Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Kama una akili timamu utagundua mleta mada hajaonesha au hata kunukuu maneno ya Lissu kuthibitisha kuwa anaichafua nchi yake.

Naheshimu mawazo ya kila mtu ila huu ni upuuzi.
 
kamanda hakuna kitu kama kuchokoza, suala la mwanasheria kutoa tuhuma bila kuwa na ushahidi ni aibu. Akiulizwa una ushahidi wapinzani wananunuliwa anajibu..''contact them...'' sasa hii ndio kuchokoza mada?

Vitendo vya rushwa haviwezi kuwa na ushahidi wa moja kwa moja, nashauri ufuatilie vipindi vya huyu jamaa uamwelewa tu. Always anatafuta kitu cha kuwa tofauti na wewe unayehojiwa ili kuleta mantiki ya HARD TALK, otherwise the program would be boring. That is journalism
 
Lissu kawavuruga mashoga wote vyupi vimejaa mavi wanashindan kutunga post za kishoga shoga tu.
 
Aliwahi ulizwa hata BBC kwanini ulipoona unafuatiliwa hukusimama na kwenda polisi?Majibu yake sasa mmmmmh ni vituko vitupu. Yaani wao wanaamini kupayuka ovyo,kuongea kiingilishi na kuituhum serikali ndio hoja za mcng.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
haiwezekani wauaji wakufuatilie wiki sita mfululizo halafu ushindwe kutoa ushahidi usio na mashaka. Dereva aliposema analijua gari na aliwaona, eti akaenda kumkinga Lissu na risasi badala wamuache aende kuhojiwa wamemkimbiza ubelgiji kutibiwa ugonjwa wa saikolojia.
 
Lissu kapiga nondo za kufa mtu pale BBC. Jiwe anajinyeanyea tu huku. Na huo ndo mwisho wa Jiwe 2020 hana chake.
 
Muasisi wa Taifa la Tanzania , Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa tumuogope kama ukoma mtu anayetaka kwenda ikulu kwa gharama yeyote. Mtazamo huu wa Mwalimu juu ya watu wa namna hiyo unafikirisha sana na kufanya tutafakari sana na kujiuliza maswali yafuatayo: kama mtu ana ndoto ya kuwa rais, si ataipigania ndoto yake kwa namna yeyote ili aende ikulu kuwa rais? Je, mwalimu aliona nini mpaka kufikia kutoa kauli kama hiyo?

Nimetafakari na kuona kuwa maneno ya Mwalimu Nyerere yalikuwa sahihi ya kwamba tumuogope mtu wa namna hiyo kwa sababu kuna wengine wanapelekeshwa na tamaa ya kuwa Rais kuliko matarajio yao na hivyo kutumia kila njia kutimiza tamaa zao na si matarajio yao. Moja ya watu wenye Tamaa hiyo ni Tundu Lissu, tamaa hiyo inampeleka puta haswa hata kufikia hatua ya kuichafua nchi yake na Rais wake.

Kiukweli kwenye mahojiano aliyofanya kwenye kipindi cha BBC HARDTALK kimeonesha ni kwa namna gani Tundu Lissu akipelekeshwa na tamaa ya urais mpaka kufikia hatua ya kuichafua nchi yake na Rais wake. Ni mara nyingi katika kipindi hicho alikuwa akiulizwa kama ana ushahidi wa yale anayoyasema dhidi ya serikali yake kwa shutuma kama hizo na yeye kusema inafahamika hivyo kama jibu.

Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa mtu kama Tundu Lissu ambaye ni msomi wa sheria kuishutumu serikali imehusika na hiki na kile kwa shutuma kubwa za kuhatarisha amani na usalama bila kuwa na ushahidi. Ni vile tu mwandishi hakusema ila angepata nafasi angemwelezea kuwa kwa kosa kama hilo la kuishutumu serikali bila ushahidi kwa hapa uingereza ni kosa kubwa sana na adhabu yake ni kubwa.

Mwandishi wa kipindi kile kasaidia kwa namna kubwa sana kuamsha hisia za watanzania kwa kufichua ubabaishaji wa Tundu Lissu kwa dunia na uhatari wa anayoyafanya kuwa yanaweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi. Shutuma anazozipeleka kwa rais wetu ni kubwa na zinahitaji ushahidi wa kutosha kuzitoa kwa sababu zinasababisha wawekezaji na watalii kupungua kutokana na hali mbaya ya kiusalama na uvunjifu wa amani unaoratibiwa na serikali kama Tundu Lissu anavyotaka iwe .

Serikali kama mlinzi namba moja wa usalama na amani ya nchi na raia wake hauna sababu za kueleza sababu za kiusalama kisiasa hasa zile ambazo hawana kithibitisho kuwa zimesababishwa na nini. Katika suala la Tundu Lissu kuna nadharia nyingi juu ya kushambuliwa kwake hivyo Lissu kuishutumu serikali kufanya hivyo moja kwa moja ni kosa na hivyo wenye akili inabidi tujiulize ni kwa nini serikali tu?

Jibu ni kwamba, Tundu Lissu anapelekwa puta na mawazo ya kuwa Rais hivyo ameanza kujipanga taratibu kwa kujenga chuki kwa wananchi kuwa CCM ndio wahusika hivyo wanapata nguvu ya kufanya fujo pale CCM inapowashinda kwenye uchaguzi mkuu wakisaidiwa na wanaowatuma kufanya hivyo.

Tundu Lissu , Dunia nzima sasa inajua lengo lako si zuri kwa nchi yako na waandaaji wa BBC hardtalk wameona aibu kumuhoji mtu ambaye hana data wala ushahidi wa tuhuma anazozitoa kwa serikali ambazo kwao wenyewe wanajua kwa tuhuma kama zile kwa nchi kama uingereza ni makosa makubwa. Umeamua kuichafua nchi yako kwa kupelekwa puta na urais ambao huna hakika utapata ama laaa .

Ushauri

i. Tundu Lissu asinyamaziwe, kwa nguvu ile ile anayoitumia kuichafua nchi kwa shutuma za kuokoteza zisizo na ushahidi ni vyema serikali ikatumia nguvu hiyo hiyo kumjibu . Tundu Lissu ajibiwe kisiasa na kitaalamu.

ii. Tundu Lissu atakapo rudi Tanzania kuandaliwe mdahalo kati ya Tundu LIssu na mwanaCCM mmoja ,watumie jukwaa hilo kumjibu kwa sababu Tundu Lissu hajaichafua serikali katuchafua pia CCM kwa kuwa ndio tunaongoza serikali.

Hitimisho

Tundu Lissu anajiona anajua sana kwa sababu anaamini hakuna mwanaCCM mwenye uwezo wa kumjibu ila akijibiwa atanyamaza kimya. Kila mtanzania mwenye akili timamu anamjua Tundu Lissu anafanya anayoyafanya kwa sababu ya tamaa ya Urais na anatengeneza mazingira mapema ili kushindana na nguvu ya Lowassa ndani ya CHADEMA.

na Karlo Mwilapwa
Kwa bahati mbaya sana ni kwamba wapiga kura wa urais pamoja na ubunge hawaishi ughaibuni.
 
Vitendo vya rushwa haviwezi kuwa na ushahidi wa moja kwa moja, nashauri ufuatilie vipindi vya huyu jamaa uamwelewa tu. Always anatafuta kitu cha kuwa tofauti na wewe unayehojiwa ili kuleta mantiki ya HARD TALK, otherwise the program would be boring. That is journalism
Kuna tofauti kati ya siasa na sheria.
 
Mnatuchosha...!
Naona ni Usajiri mpya huu toka Lumumba kwa ajiri ya 2020!
Sijui mmeokotwa wapi, Maneno mengi hafu pointless!

Nyie si ndo wenye Kila kitu....! Mpelekeni Mahakani mkamshtaki kwa kusema Uongo na kuleta Taharukuki mixer kupandikiza chuki kwenye JAMII..... kama ambavyo imefanyika huko nyuma!
Sasa Tundu alalamike, nyie pia wenye Chama Dola mlalamike.....Mnatuchosha.
 
Masikini vibwengo wa ccm hamjaelewa mchezo uliochezwa, Steve yuko well informed na hali halisi iliyopo hapa bongo ila alikuwa ana mprovoke Lissu ili afunguke zaidi na dunia ijue kinachoendelea hapa nyumbani.

Hicho ndo kitu watu wasichotambua, wamezoea waandishi wetu wasiofanya maandalizi
 
Ndugu zangu,

Kama wazungu wanatambua kuwa tuhuma za akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wenzao kuwa ni za 'kutengeneza' basi wabadili mbinu.

kitendo cha waandishi wa media za kimataifa kuyaita madai ya Lissu kuwa ni ''base less allegations'' au ''inflamatory statement ni dhahiri wapo uchi.

Huenda Zitto Kabwe naye hajatupa mrejesho wa Mwenyekiti wa jumuiya za madola baada ya kuambiwa ''your allegations against Hon.Ndugai with respect to CAG are utter baseless''

Tuliwahi kusema hapa uongo haudumu na ndicho kilichotokea na zaidi umewaumbua watu mchana.

Ni dhahiri hata ule mpango wa akina Ngurumo kutafuta ''hadi ya ukimbizi'' Finland umeshindwa.

Tanzania yetu sote, tuipende,tuikumbatie.
Leo mmepigwa chenga ya mwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lugha iliyotumika naamini kabisa mmeita wakalimani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a
Kama una akili timamu utagundua mleta mada hajaonesha au hata kunukuu maneno ya Lissu kuthibitisha kuwa anaichafua nchi yake.

Naheshimu mawazo ya kila mtu ila huu ni upuuzi.
shutuma za lissu kwa serikali bila ushahidi na kusingizia mambo ya uongo ndio kuichafua nchi huko. Mwambie ajipange , wazungu si rahisi maneno ya mbabaishaji hasa kwenye kuishutumu serikali. amejuta kweli anaweza ni bora ningeends kwa milard ayo nisingeulizwa maswali magumu vile
 
Back
Top Bottom