Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
dah anajuta kwenda huko manake kachemka mia kwa mia.
dah anajuta kwenda huko manake kachemka mia kwa mia.
hahaha weka video hapa.Kamanda, jikite kwenye hoja.Huyo anayejua kiingereza kachemka kujibu maswali.
Nazani kajivua nguo yeyeKuna watu wanaenda kuvuliwa nguo
View attachment 1000516
Rejea maazimio ya EU. Unadhani bunge la Ulaya linaweza kufanya maamuzi na kufikia maazimio kwa base less allegations?Ndugu zangu,
Kama wazungu wanatambua kuwa tuhuma za akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wenzao kuwa ni za 'kutengeneza' basi wabadili mbinu.
kitendo cha waandishi wa media za kimataifa kuyaita madai ya Lissu kuwa ni ''base less allegations'' au ''inflamatory statement ni dhahiri wapo uchi.
Huenda Zitto Kabwe naye hajatupa mrejesho wa Mwenyekiti wa jumuiya za madola baada ya kuambiwa ''your allegations against Hon.Ndugai with respect to CAG are utter baseless''
Tuliwahi kusema hapa uongo haudumu na ndicho kilichotokea na zaidi umewaumbua watu mchana.
Ni dhahiri hata ule mpango wa akina Ngurumo kutafuta ''hadi ya ukimbizi'' Finland umeshindwa.
Tanzania yetu sote, tuipende,tuikumbatie.
Kuna kitu Umeelewa kwenye hard talk au umepewa tafsiri kama atavyopewa kilaza Mkuu?Tuwe wakweli tu BBC Hard talk leo imegeuka mwiba wa mgunga kwenye nyayo za Tundu anaejiita learned counsel.
Kila alichosema alitakiwa kuthibitisha nikaona anabakia tu Magufuli, Magufuli.
Hivi Magufuli kujenga airport Chatto ndio umfananishe na Mobutu?.
Mtwara, Songwe, RUKWA, LINDI, Ruvuma almost all over the country Airports zinajengwa nako ni kwao Magufuli?
Serikali isimjibu Lissu kama ilivyosema hapo awali kuwa inatambua ni mgonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao ndio BBC,wana uzoefu mkubwa wa maswala ya nchi zetu.Ungemsikiliza kwa makini mwendesha mjadala, ungeelewa kuwa jamaa anajua mambo mengi Sana kuhusu Tanzania.
Wenzetu wanachofanya ni kwamba, kwa sababu serikali haipo, mwongozaji anachukua position ya opponent/serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
kamanda umemsikiliza Tundu Lissu? uliona jinsi alivyohoroja? hayo maazimio kila nchi huazimia inavyotaka ni maoni yaoRejea maazimio ya EU. Unadhani bunge la Ulaya linaweza kufanya maamuzi na kufikia maazimio kwa base less allegations?
Rejea pia waraka wa Kwaresma wa Kanisa Katoliki na KKKT. Unadhani hao viongozi wa kiroho wanaweza kutoa maagizo kwa kutumia base less allegations?
Kwani Lissu amesema nini kipya ambacho hizo taasisi haikukisema.
Hata kama ni ushabiki, tumia tumia zaidi ubongo.
Yani ungejua nchi za wenye akili zinavyochukia hicho chama wala usingeandika huo uharoTundu amezidiwa vibaya saana kwenye interview hii. Akili za wazungu usipime[emoji2][emoji2] Wanatujua kwelikweli. Wanajua namna JPM anavyoibadilisha Tanzania na ambavyo kundi la wabunge wa upinzani wanavyokunwa naye hadi wanahamia kwake CCM. Na jinsi atakavyopita kwa kishindo 2020. Tundu anadai eti wote wananunuliwa. Mtangazaji anamwambia kumbuka wewe ni Mwanasheria Mwandamizi, kwanini unatoa allegations zisizo na evidence[emoji2][emoji2] Tundu anabaki bila hoja[emoji2]
Hahahahahh mbombo jilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhihirisha kiwango cha ujinga wako.*LISSU ATAABIKA SANA, AISHIA KUAIBIKA LONDON, ABANWA VIKALI NA KUTOA MAPOVU*
_NA Mwamba wa Kaskazini_
Leo ndio msemo kuwa Kiingereza sio maarifa umethibitika.
Tundu Lissu ana uwezo wa kutosha tu kuongea Kiingereza lakini asubuhi ya kuamkia leo kukosa maarifa kujawa na umbea, uongo na uzushi na uzandiki dhidi ya nchi yake kumemtokea puani akifanya mahojiano na Kipindi cha Hard Talk cha BBC.
Sikiliza haya.
*1.Aonesha Chuki Binafsi Kwa Magufuli*
Kosa la kwanza ni kutojadili hoja bali mtu.Kila alipoulizwa aliishia kutaja jina la Magufuli hata asipohusika.
Mtangazaji mzungu akabaki anashangaa na kumbana kwa maswali zaidi akaishia kutoa macho maskini.
*2.Lissu Hakutegema*
Hakika hata mimi sikutegema kama yule mzungu angefanya utafiti kiasi kile na kuyajua mengi ya Tanzania kiasi cha Lissu mwanzoni tu kubabaika na kuanza kuzusha uongo.
*3. Jaribio la kumdanganya Mzungu lakwama*
Baada ya kuzoea kuandika viwaraka vyake na kuwapa akina Martin Malera wa Tanzania Daima au Ibrahim Yamola wa Mwananchi leo Tundu Lissu kakutana na mwanahabari wa level nyingine.
Akajikuta anakosa ushahidi...anaambiwa unalalamika kila siku Serikali imekushambulia, unaushahidi gani anasema niliona gari inanifuatafuata, mzungu akambana kwani gari ziko ngapi na mtu yeyote si anaweza kukufuatilia kwani umeshafanya kazi ngapi za kukuweka katika risk ikiwemo kuwa wakili, Lissu akajikuta anakiri kuwa ni kweli hana ushahidi wa moja kwa moja bali ushahidi wa mazingira.
Asante sana mzungu, huyu Bwana leo baada ya mbwembwe nyingi sasa kakiri hana ushahidi zaidi ya mazingira tu ambayo pia yanaweza kuonesha chama chake kinahusika au hata dereva wake.
*4.Akosa maarifa kwenye madini*
Maskini hapa ndio jamaa alitoa mimacho tu baada ya mzungu kumbana kuwa yeye alipigania sana masuala ya nchi kufaidika na madini haoni kuwa JPM anachukua hatua nzuri?
Kwa hakika na mimi hapa nilipoteza Kiingereza changu
Sikumbuki hata Lissu alikuwa anajibu nini, aliishia maskini kutaabika na kuruka ruka huku na kule.Mzungu akaona isiwe shida, akahamisha mada!![]()
Kwa kifupi hapa Lissu alijikuta anatamani kumpinga Magufuli, lakini pia akawaza anampinga kwa lipi?Kurekebisha mikataba ili nchi ifaidike? Akabaki anataja taja tu majina mara uwanja wa ndege Chato wakati nchi nzima vjwanja zaidi ya 15 vinajengwa![]()
![]()
*5.Mtangazaji aamua kutaja mwenyewe mazuri ya Tanzania.*
Baada ya kuona Lissu hana analolikubali katika nchi yake mzungu wa watu akaamua kutaja mwenyewe mageuzi makubwa yanayoendelea Tanzania.
Akataja mapambano dhidi ya rushwa, akataja kuongezeka kwa mapato akataja kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kijamii na miundombinu.
Usiniulize wakati wote huu mzungu anashusha nondo Lissu alikuwa kwenye hali gani
Kumbuka mwenyewe kisa cha chura aliyebanwa na mlango![]()
![]()
*6. Atoa mfano wa kitoto, wamuumbua*
Akieleza kwa nini wapinzani wenzake wamekuwa wakirejea CCM kuunga mkono juhudi za JPM Lissu aliishia kirusha matuhuma ambayo hadi mtangazaji akamuonya aache kuropoka bil ushahidi.
Lakini yotrme hii ni kwamba alishachanganyikiwa. Sasa sikia hii: akapewa mfano wa Masha aliyetoka CCM na kwenda upinzani (ingawa badae alirudi CCM) kama naye alihongwa huko upinzani? Usiniulize Lissu alikuwa katika hali gani hapa tena![]()
*7.Akata fahamu, aunga mkono ushoga*
Akiwa hoi bin taaban na kisaikolojia akionekana mtu anayetamani mahojiano yaishe tu, Lissu akaulizwa ukiwa kiongozi wa upinzani na siku ukiingia Ikulu utafuta sheria zinazoelezwa kuwa kandamizi zinazoufanya ushoga kuwa kosa la jinai?
Maskini, mwisho wa zama ukatimia, baba la watu likajikanyagaaaa mwishowe likaingia kingi eti litafuta sheria zote zinazozuia ushoga nchini.Maweeeee![]()
Rasmi Lissu kaunga mkono ushoga. Hakika ametaabika sana.
Kwa nini utaabike lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmebaki kujitetea hapo tu, ila umesahau kwamba jamaa akikuwa anatoa swali kwa data.Ungemsikiliza kwa makini mwendesha mjadala, ungeelewa kuwa jamaa anajua mambo mengi Sana kuhusu Tanzania.
Wenzetu wanachofanya ni kwamba, kwa sababu serikali haipo, mwongozaji anachukua position ya opponent/serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unafikiri wazungu hawajui kinachoendelea Tanzania ? Jiwe anavyo soma meseji za wengine na wao wanasoma zake! Kwa akili ya kawaida kabisa haiwezekani mbunge akaachia ubunge wake akagombee tena ubunge sehemu nyingine. Na hakuna anae hoji hizo garama za kurudia uchaguzi ni nani anae zibeba.Tundu amezidiwa vibaya saana kwenye interview hii. Akili za wazungu usipime[emoji2][emoji2] Wanatujua kwelikweli. Wanajua namna JPM anavyoibadilisha Tanzania na ambavyo kundi la wabunge wa upinzani wanavyokunwa naye hadi wanahamia kwake CCM. Na jinsi atakavyopita kwa kishindo 2020. Tundu anadai eti wote wananunuliwa. Mtangazaji anamwambia kumbuka wewe ni Mwanasheria Mwandamizi, kwanini unatoa allegations zisizo na evidence[emoji2][emoji2] Tundu anabaki bila hoja[emoji2]
Hahahahahh mbombo jilipo
Sent using Jamii Forums mobile app