min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,106
- 126,789
Nakumbuka ndio , ila nilifuta 😅 ila ni ubishi fulani hivi wa kikorofi wa ulevi tu😅Kweli unakumbuka au unanitania bana
Nakumbuka ndio , ila nilifuta 😅 ila ni ubishi fulani hivi wa kikorofi wa ulevi tu😅Kweli unakumbuka au unanitania bana
Ukilewa usichat, sawa?Nakumbuka ndio , ila nilifuta 😅 ila ni ubishi fulani hivi wa kikorofi wa ulevi tu😅
Anaitwa nani? Naonana na wengi hukuuuKuna mchumba wangu huko zenji ukimuona msalimie
Anaitwa ManagerAnaitwa nani? Naonana na wengi hukuuu
Hakuna shida muhimu ahadi yangu imesimamaNafanya count down, imebaki miezi miwili
Poa poa😃Hakuna shida muhimu ahadi yangu imesimama
Pamoja sana , wewe ni mtu ambae nilikua naumia kuni ignore 🥲Poa poa😃
Am truly sorry.Pamoja sana , wewe ni mtu ambae nilikua naumia kuni ignore 🥲
Nimeshapoa madam wangu mzuriAm truly sorry.
Siku unikumbushe sababu ilikuwa nini, au tusifukue makaburi?Nimeshapoa madam wangu mzuri
Usijali ,tuache makaburi ,nitakukumbusha mwenyewe tu🤣Siku unikumbushe sababu ilikuwa nini, au tusifukue makaburi?
Sawaaa😃Usijali ,tuache makaburi ,nitakukumbusha mwenyewe tu🤣