Tunaweza kupiga story?

Tunaweza kupiga story?

Watu wasionazo huwa wanadhani pesa ni kila kitu!
Pesa ni muhimu lakini sio kila kitu, mtu anayehisi pesa ni kila kitu ni yule ambaye bado anajitafuta hata kwenye mahitaji ya msingi hajakidhi,
Pesa inanunua Chakula, Malazi, Mavazi inasaidia pia kwenye matibabu na kukupa chaguzi mbali mbali, lakini pesa haiwezi kukupa Afya njema, Furaha, Amani, Mapenzi ya kweli, Heshima, Utu, Maadili.....
 
Back
Top Bottom