Asee hata mimi nikiwa unguja nakuwa bored sana, kuliko nikiwa Dar, sijuk kwa nini ila nahisi mtu umiwa bored maana yake kuna energy hauitumii ipasavyo hapoulipoHuku ni home
Kwani hii id sio ya kike?
Cheko limepoa mnoSijalipenda kwa kweli. Linanifanya nisicheke
Mhmmm itabidi niwe makini mno humu😅😅😅
Nilidhani ni mie tu naliona hivyo, cheko halina mashamsham kabisaCheko limepoa mno
Naweza fall in love hapa kumbe broMhmmm itabidi niwe makini mno humu
Cheko la hovyo kabisa la mtu anae pitia maumivu ila anajikaza tuNilidhani ni mie tu naliona hivyo, cheko halina mashamsham kabisa
Ni kama vile mtu anacheka hi hi hi huku kakenua menoNilidhani ni mie tu naliona hivyo, cheko halina mashamsham kabisa
Sure ila madam mimi na masifa kinouma hasa nikilewa usije niweka ignore tu🤣🤣Naweza fall in love hapa kumbe bro
Ukilewa usiniquoteSure ila madam mimi na masifa kinouma hasa nikilewa usije niweka ignore tu🤣🤣
Nitaku quote ila kwa umakini mkubwa , coz hata hapa nilishalewa kitambo madam wangu mzuri 😅Ukilewa usiniquote