Tunaweza kupiga story?

Tunaweza kupiga story?

Hey beautiful, long time hope unaendelea vizuri,

Jibu lako: hapana SICHUKII Wanaume kabisa ila SIVUTIWI KIMAPENZI na Wanaume
Naendelea vema, shukrani sana,
Kitu gani kinakuvutia kwa mwanamke na je ulishawahi kua na mahusiano na mwanaume kabla?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom