Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,309
Sisi ni wale Wazee wa Mjini😂Hamna Babu hapa.
Ww ni Babu Janja 😂
Pamoja na kwamba umri umetutupa Mkono, lakini bado tunaweza kuwafanyia ukaguzi Wajukuu 😜
Sisi ni wale Wazee wa Mjini😂Hamna Babu hapa.
Ww ni Babu Janja 😂
ng'ombeNaaaaam! Karibu Sana Ndugu Mh. Mwananchi.
Umelikumbuka jina alilokuwa anakuita yule binting'ombe
Usd auNaunga mkono hoja , mbona mimi hapa nina 5000 ila nipo bored
Kwasababu haupo dar😅Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey!
Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar.....
Sawa ufanya unilushie manamba hata matatu nijaribu bahati, siku nikija huko uhakika upo siyo nakuja kichwa kichwa.Pisi za kipemba zipoooo, wewe tu na ushawishi wako
Mimi pia katika vitu vilivyonishinda ni urojo, nimejaribu wee lakini wapiHivi hayo mnawezaje kuyanywa?
T shUsd au
Yes Boss
Hii ni kweli, huku hakuna uhuru kama nikiwa DarKwasababu haupo dar😅
Nipo vedee jirani, khofu kwako tu tajiriiiiJirani yangu 😎 mambo vipi 😎 upo gudi?
😀😀 imebidi maana sikumbuki ilikuaje, halafu nakuona peace tu nikajisemea may be nilikosea au ilitokea tu rabsha ya bahati mbaya.
Umepata vyoteeee utakuja kuvichukua feri pale msikitini😀Niletee harua, mashoki-shoki na karafuu.
Kuna mchumba wangu huko zenji ukimuona msalimieNipo vedee jirani, khofu kwako tu tajiriiii
Karafuu, Vanila, HilikiPanafaa kilimo gani hapo