Tunawasubiri CHADEMA mje na sababu zenu Igunga!

Utaunganaje na CUF wakati tayari yeye kaungana na CCM? namashukuru Mtatairo aliyekiri wazi propaganda zimewaangusha sana CUF,ushauri kama CUF inataka kuwa Chama ni lazima iepuka kutumia BAKWATA.Prof Lipumba mwenyewe kaona uzushi kaenda zake kupiga research,coz aliona Igunga hana lake.

Haiwezekani kuwa CCM wawe wao ndio wenye kutangaza matokeo. Wao wamechukua wadhifa wa kwa kujifanya ni NEC. Hakuna "transaprency" katika kura hizi.
CUF hawaiamini CDM kwa sabau zinazojulikana. Lau CUF na CDM walishikamana, CCM wasingeambua kitu.
iGUNGA IMETUSOMESHA MENGI. kAMA TUNATAKA KUIBWAGA ccm 2015, LAZIMA UPINZANI USHIKAMANE VINGINEVYO, ccm WATASHINDA KWA MIAKA MIA INAYOKUJA.
 
Kushinda kwa mbinde Igunga ni matokeo ya vijana kuanza kupiga kura kwa hiyo kama una akili iliyosalia angalau kidogo you can imagine nini tutawafanya mwaka 2015. CHADEMA imepanda kutoka 0-42%, nyinyi mafisadi mmeshuka kutoka 76%-48% na wake zenu CUF wamekaribia kufutika kutoka 21%-6%. Mwaka 2015, CHADEMA itakuwa 72% na nyie wengine mtajua mtakavyogawana wazee na wakina mama.

Vijana tunasema ukisikia paaaaaaaaaaaaaaa....................................................pole sana najua hivi sasa na homa juu !
 
Hongera yenu ccm, cdm mjipange na muandikishe wanachama vijijin na jengen ofice kwenye wilaya na kata. Maandamano yanayohusisha mashabiki siyo kura. Mkijua idadi ya wanachama wenu ndo kura zenyewe.

tumia kichwa kufikiri, ccm imekuwepo igunga tangu uhuru, cuf pia ndiyo iliyokuwa inajulikana kule, niambie tofauti ya kura ya ccm na cdm ni ngapi, mpaka hapo hakuna uhusiano wa mandamano na kupiga kura ? unajifunza siasa au upeo wa kuelewa mambo ndo umefikia hapo ?
 
Kata 24 hadi sasa matokeo bado maana yake ni nini???au hadi tuition ndo muelewe kuwa hawa ni wezi na wahujum nchi! Subiri ipo siku mtapanda ndege kujib tuhuma!
 
We ni dk wa nini au mganga wa kienyeji!kama phd basi mi sisomi tena!make hazina maana hizo phd!
 
Hakuna sababu zaidi ya ujinga wa wananchi wa Igunga.

Mnaonesha ni kwa jinsi gani CDM msivyo faham maana ya demokrasia.Wanaigunga wamekua wajinga kwa kutokuichagua CDM?
Kwa m2 makini na mkomavu kisiasa ni wakati wa kukaa chini na kutafakari amekosea wapi.Wewe umewaita wanaigunga wajinga,wanzako waliwaita maislam mbumbu,
hivi ni kweli samaki mmoja akioza wote wameoza?Mlikua na uhakika gani kama waislam wote wa Igunga walifuata kauli ya mashehe?Haya ni moja ya mambo yalio changia kuangushwa kwa CDM Igunga.Nenda ujifunze maana ya demokrasia acha u-juhah!
 
Kuhusu wapinzani kuungana mimi siungi mkono, tukumbuke hatutaki kuiondoa ccm tu bali sccm ikiondoka tuone mabadiliko ya kweli kielimu, afya na kiuchumi yatakayoletwa na chama mbadala. Kuliko kuiondoa ccm halafu kumbe tunawaingiza wakina chiluba tutakuwa watu wa kulalama tu. Hivi kwa mtazamo wako CDM iungane na CUF,TLP, NCCR - MBATIA AU UDP? kweli? Pamoja na Udini na ukabila wanaoz
singiziwa CDM na CUF bado unataka waungane? Wana Igunga wamekupa jibu kuwa CDM ndio tumaini jipya kumbuka 2010 oct CUF wallipata kura 11000 na ktk uchaguzi mdogo wakasema wana mtaji wa hizo kura 11000, jiulize mtaji wamekura au wamekopesha kwa ccm? CDM wameingia na mtaji wa kura 0 hadi kura elfu 22 ( kwa matokeo ya NAPE) hivyo ujue wananchi wamewaunga mkopo kupitiliza. Dalali na CCM wataendelea na mambo yao maana ukila nyama ya mtu uachi kula hivyo 2015 jimbo hilo limeenda upinzani kazi ya CDM sasa ni kujijenga ngazi zote kusubiri 2015, kumbuka uchaguzi mdogo Biharamulo Mh Mbassa (CDM) alibwagwa na CCM lakini oct 2010 jimbo likaenda CDM. Vita mbinu ndugu yangu sio kazi ndogo ndugu zangu, kutoka kura 0 hadi above 22000.
Kwani Igunga 2010 chadema mliweka mgombea?Siasa ni upepo mbona Tarime 2005-2008 ilikuwa chini ya CDM lakini 2010 jimbo likarudi CCM? CDM hamjagundua jipu linaivia wapi ili lipasuliwe.
 
tumia kichwa kufikiri, ccm imekuwepo igunga tangu uhuru, cuf pia ndiyo iliyokuwa inajulikana kule, niambie tofauti ya kura ya ccm na cdm ni ngapi, mpaka hapo hakuna uhusiano wa mandamano na kupiga kura ? unajifunza siasa au upeo wa kuelewa mambo ndo umefikia hapo ?
CCm ilizaliwa 1977 sio 1961. Kabla ya hapo wooote walikuwa TANU hata Dr Slaa, Ndesamburo, Mbowe(tena huyu baba yake alikuwa rafiki na swaiba mkubwa wa Nyerere) mama wa Mbowe alimpa zawadi ya vikombe vya chai set moja mama maria Nyerere.
wilaya ya Igunga imeanza mwaka 1990 haikuwepo kabla. Ukijua matokeo hutakurupuka kutoa majibu hovyo. Wewe hujui siasa kaa kimya.
 
Haiwezekani kuwa CCM wawe wao ndio wenye kutangaza matokeo. Wao wamechukua wadhifa wa kwa kujifanya ni NEC. Hakuna "transaprency" katika kura hizi.
CUF hawaiamini CDM kwa sabau zinazojulikana. Lau CUF na CDM walishikamana, CCM wasingeambua kitu.
iGUNGA IMETUSOMESHA MENGI. kAMA TUNATAKA KUIBWAGA ccm 2015, LAZIMA UPINZANI USHIKAMANE VINGINEVYO, ccm WATASHINDA KWA MIAKA MIA INAYOKUJA.

Mkuu husu nkuungana kwa wapinzani si ungi mkono. Sioni kama sera za cdm zinaweza kuchanganywa na za cuf. Sera zinaweza lakini mitazamo iko tofauti. Halafu je ni kura kiasi gani ambazo wapinzani wengine huwa wanapata ambazo zingeweza kuufanya upinzani ushinde? Mimi sioni kura za vyama vingine ni kiduchu sana hazisaidii.

Sioni tatizo kila chama kupambana kivyake maana hiyo ndo demokrasia..

Mkuu usivilaumu vyama vimefanya kazi kubwa ya kuwahubiri watu ukweli lakini bado wengi hawaamini kuwa huo ndo ukweli.
Mwlimu aliwahi kusema ukiwa mjinga unaweza ukanyanyang'anywa hata almasi yako kwa kubadilishiwa na kipande cha chupa. Wananchi wa Igunga bado hawajui kama ccm ya sasa si ile ya nyerere.

Pia watu wamekata tamaa eti hata kama wakipiga kura ccm itapita tu maana lazima ichakachuwe. Mpaka hawa wananchi waliojiandikisha ili tu wapate vitambulisho laikini si kwa ajili ya kupigia kura. Hawa ndo wako wengi kama chadema wakiweza kulishawishi hili kundi Basi wanauhakika wa kushinda maana hawa ni watu walioichoka ccm mpka wakakatamaa.

Kuna kundi lingine halipigi kura kwa sababu wanasema hata chadema wakipata madaraka na wawo wanaweza kuwa kama ccm baada ya muda fulani

Chadema wanahaja ya kuliangalia hili kundi Iliwalishawishi kuwa wao itakuwa tofauti.
 
CDM kwa CCM hana tofauti na mtoto mdogo tena uliemlea mwenyewe tabia zake lazma uzifaham.Sisi tumewazoea haya vp kelele zenu zimeishia wapi?Vipi CCM wameingiza tena kontena la vipodoz?
Ushindi ni strategy sio kulalama!

toa shanga zako hapa maana zaweza kumwagika toka kiunon
 
CDM kwa CCM hana tofauti na mtoto mdogo tena uliemlea mwenyewe tabia zake lazma uzifaham.Sisi tumewazoea haya vp kelele zenu zimeishia wapi?Vipi CCM wameingiza tena kontena la vipodoz?
Ushindi ni strategy sio kulalama!

assume kama wewe si ngumbalu:

26000 - 35000 = -9000


23000 - 0 = 23000
 
Umeshindwa, umeshindwa tu. Huna sabau za msingi. Unaanza kulekule ulikofanya makosa. Mkitaka kushinda muache kuongea sana muanze action. Siasa za kuongea sana zilikuwa za kina Nyerere na hazikuleta tija kwa nchi, siasa za sasa ni action. Fanyeni muiendeleze nchi kama wapinzani. Na si kupiga kelele.

mbinu waliyobaki nayo ccm ni kupata kura za wanakijiji ambao kwa makusudi wanawanyima elimu bora na uelewa wa mambo pia mbinu nyingine ni kupanda mbegu ya udini kila wanapoona wanazidiwa nguvu bila kusahau vyombo vya dola LAKINI maeneo ya mjini wanapokaa wajanja na walioelimika umaarufu wa ccm unaporomoka kwa kasi kubwa sana! hizi kura za mnazotegemea za wanakijiji maajuza pia zina mwisho wake.
 
CDM kwa CCM hana tofauti na mtoto mdogo tena uliemlea mwenyewe tabia zake lazma uzifaham.Sisi tumewazoea haya vp kelele zenu zimeishia wapi?Vipi CCM wameingiza tena kontena la vipodoz?
Ushindi ni strategy sio kulalama!
Kwangu mimi ccm hawapaswi kufurahia ushindi huu mwepesi walioupata Igunga kwani kwa juhudi walizotumia; helikopta 2, rais mstaafu, viongozi wa serikali, mawaziri, viongozi wa chama, viongozi wa kiislam'mashekhe', polisi, msajili wa vyama vya siasa, tume ya uchaguzi n.k lakini bado ushindi haulingani na nguvu iliyotumika. Chadema kimedhihirisha kuwa bado kinakubalika ndani ya jamii ya watanzania na kwa idadi hii ya kura ilizopata hakika 2015 njia ni nyeupe kuchukua jimbo la Igunga. Hongera Chadema, mwanzo mzuri.
 
ccm bila wizi haiendi!angalieni sana ccm mnaojidhania kuwa mmesimama sasa kwani ipo siku mtaanguka kwa kishindo!
 
assume kama wewe si ngumbalu:

26000 - 35000 = -9000


23000 - 0 = 23000

yani unanikumbusha zamaaani,unachomaanisha ni sawa na ''kufungwa tumefungwa lakini chenga twawala''.CCM ni chama makini hili limeoneka na lazma litafanyiwa kazi.
Tatizo lenu CDM mlivyo majuhah hii rate ya ushindi mlio upata licha ya kua mmeshindwa imewalevya,hivi siku 2kiwapa nchi sitampagaw a!
 
acha upumbavu wewe!!!!! inaonyesha un unafki toka ndani ya familia yenu!!mazingra ya uchaguzi uliyaona au upumbavu na wako ndio unakusababisha uropoke!!UTALIKUTA LI MTU LINA MAISHA DUNI SANA THN LINASHABIKIA CCM!!NA KULAUM CDM WAKATI NDIO CHAMA KINACHOTETE WANYONGE!!! WE UMEROPOKA UKUTE HATA UJI HUNYWI KWA KUKOSA SUKARI!!! KUNA WATU TUMEZARIWA NDANI YA CCM LAKIN HATA KUKIPENDA CHAM HATUKIPENDA INAKUAJE WEWE MBWA MDOGO TU!!UANAKOMAA

NYINYI NDO WALE MNAWEZA LETA NCHI KTK MATATIZO MAKUBWA KWA UNAFK WENU!!KILA KITU BEI JUU!!UNAFURAHIA NIN SASA
 
Umeshindwa, umeshindwa tu. Huna sabau za msingi. Unaanza kulekule ulikofanya makosa. Mkitaka kushinda muache kuongea sana muanze action. Siasa za kuongea sana zilikuwa za kina Nyerere na hazikuleta tija kwa nchi, siasa za sasa ni action. Fanyeni muiendeleze nchi kama wapinzani. Na si kupiga kelele.
Acha kumwingiza Nyerere katika hili. He was a founding father, aliweka misingi mizuri ambayo mafisadi sasa mnaikanyagakanyaga. Lakini itawatokea puani!
 
Slaa yuko wapi? Pole mzee wa watu, sasa nenda kalee hicho kitoto chako.
 
Acha kuwatukana wana Igunga hiyo ndio demokrasia tatizo lenu CHADEMA mmetumia nguvu nyingi sana Igunga , sijui helikopta nk na mmeangukia pua kinyume na matarajio yenu lazima iwaume sana ! jipangeni 2015

CCM hamjatumia nguvu nyingi? kama chama tawala msingetakiwa kutumia nguvu nyingi kiasi hicho,kama mngekuwa mmefanya mambo mazuri miaka 50 ya uhuru basi mazuri hayo yangewauza,hakukua na haja ya kutumia nguvu nyingi kiasi hicho.Helicopter hiyo ni kawaida yetu kutumia,wewe mwenyewe unajua kwamba mmeiga kutoka kwa CDM.Ukweli mnaujua kwamba hamna lenu tena. MMESHINDA AT A DECREASING RATE.

Last;Acha kutumia picha ya President wetu mpendwa,manake hata hayo makapi unayoongea na kuandika haustahili kabisa kutumia picha ya mtu makini kama huyo.
 
Back
Top Bottom