Tunawasubiri CHADEMA mje na sababu zenu Igunga!

Hivi CCM imefanya kipi cha kuendeleza nchi kama chama kilichopo madarakani? Nchi iko gizani huku ikiendelea kufilisiwa na wajanja waliomo ndani ya nchi na wa kutoka nje ya nchi, unaweza kuorodhesha machache yaliyofanywa na CCM katika kuiendeleza Tanzania?

mimi nafikiri yaliyopo ni yale yakuibomoa kama
1. Udini na ukabila walioanzisha chini chini
2. Uingiaji wa mikataba feki unaoigarimu nchi kama dowans na richimondi
3. Kukumbatia weze wa rasilimali zetu
na mengineyo mengi
 
Haiwezekani kuwa CCM wawe wao ndio wenye kutangaza matokeo. Wao wamechukua wadhifa wa kwa kujifanya ni NEC. Hakuna "transaprency" katika kura hizi.
CUF hawaiamini CDM kwa sabau zinazojulikana. Lau CUF na CDM walishikamana, CCM wasingeambua kitu.
iGUNGA IMETUSOMESHA MENGI. kAMA TUNATAKA KUIBWAGA ccm 2015, LAZIMA UPINZANI USHIKAMANE VINGINEVYO, ccm WATASHINDA KWA MIAKA MIA INAYOKUJA.
 
Hivi aliyetangaza kwamba chama flani kimeshinda ni nani mpaka sasa hivi?. Naona ni propaganda na mabishano ya u Simba na Yanga tu!
 
sababu za nini kwani kuna nini ambacho hamjakiona, je hamjakubali tu kuwa ccm iko kwenye chumba cha wagonjwa mahututi?
 
Haiwezekani kuwa CCM wawe wao ndio wenye kutangaza matokeo. Wao wamechukua wadhifa wa kwa kujifanya ni NEC. Hakuna "transaprency" katika kura hizi.
CUF hawaiamini CDM kwa sabau zinazojulikana. Lau CUF na CDM walishikamana, CCM wasingeambua kitu.
iGUNGA IMETUSOMESHA MENGI. kAMA TUNATAKA KUIBWAGA ccm 2015, LAZIMA UPINZANI USHIKAMANE VINGINEVYO, ccm WATASHINDA KWA MIAKA MIA INAYOKUJA.
Kuhusu wapinzani kuungana mimi siungi mkono, tukumbuke hatutaki kuiondoa ccm tu bali sccm ikiondoka tuone mabadiliko ya kweli kielimu, afya na kiuchumi yatakayoletwa na chama mbadala. Kuliko kuiondoa ccm halafu kumbe tunawaingiza wakina chiluba tutakuwa watu wa kulalama tu. Hivi kwa mtazamo wako CDM iungane na CUF,TLP, NCCR - MBATIA AU UDP? kweli? Pamoja na Udini na ukabila wanaoz
singiziwa CDM na CUF bado unataka waungane? Wana Igunga wamekupa jibu kuwa CDM ndio tumaini jipya kumbuka 2010 oct CUF wallipata kura 11000 na ktk uchaguzi mdogo wakasema wana mtaji wa hizo kura 11000, jiulize mtaji wamekura au wamekopesha kwa ccm? CDM wameingia na mtaji wa kura 0 hadi kura elfu 22 ( kwa matokeo ya NAPE) hivyo ujue wananchi wamewaunga mkopo kupitiliza. Dalali na CCM wataendelea na mambo yao maana ukila nyama ya mtu uachi kula hivyo 2015 jimbo hilo limeenda upinzani kazi ya CDM sasa ni kujijenga ngazi zote kusubiri 2015, kumbuka uchaguzi mdogo Biharamulo Mh Mbassa (CDM) alibwagwa na CCM lakini oct 2010 jimbo likaenda CDM. Vita mbinu ndugu yangu sio kazi ndogo ndugu zangu, kutoka kura 0 hadi above 22000.
 
Umeshindwa, umeshindwa tu. Huna sabau za msingi. Unaanza kulekule ulikofanya makosa. Mkitaka kushinda muache kuongea sana muanze action. Siasa za kuongea sana zilikuwa za kina Nyerere na hazikuleta tija kwa nchi, siasa za sasa ni action. Fanyeni muiendeleze nchi kama wapinzani. Na si kupiga kelele.
Are u serious? na siasa za kuchekacheka zina tija gani? vyandarua tunavyopewa kwa kubadilishana na dhahabu alizotuhifadhia mzee wetu?. Alijenga viwanda, vimebaki vingapi sasa kwa siasa zenu za kuchekacheka. alijenga Tanesco ninyi tija yenu ni madili ya dharula (Richmond na DOWANS), NBC, TRC etc yeye aliweza kwa siasa zake za kuongea. za kuchekacheka zimeuza na kuingia mikataba ambayo hata wao wanaona aibu kuisemea.
FF wewe bunafsi unaonekana ni mnufaika mkubwa na ufisadi unaoendelea Tz. Nyerere was a true leader who fought for all Tanzanians. hakuwanufaisha kwa hila hata watoto zake wa kuwazaa, ndio maana akina Makongoro Nyerere ni watu wa kawaida sana na wanafightia maisha kivyaovyao tu. hakuna hata mwanae mmoja au member wa familia yake aliyebebwa na Nyerere ama chama, kama tulivyoshuhudia kwa akina Ritz1 na January etc. Leo hii Ritz1 na mission zake za kimjinimjini (i.e wiziwizi) anaendesha magari ya kifahari "yakuazima" (- bila shaka wanaomuazima ndio wale ambao babayake aliwasamehe kwenye wizi wa EPA.)
FF usitafute laana kwa kumsema vibaya baba wetu wa Taifa. Kumbuka Nyerere aliibariki CDM kabla ya kufa na alitamka kuwa katika vyama vyote vya upinzani ni CDM ndicho chenye mwelekeo na sera mzuri na kwamba kitafika mbali. Leo tunayashuhudia kwa jinsi CCM wasivyolala kwa kuifikiria CDM.
Siasa za ushindani aina ya CCM na CDM ni afya kwa Taifa. Kwa CDM kupata kura nyingi katika jimbo ambalo ni kama mmeingia kwa mara ya kwanza huku mkishambuliwa na CCM na washirika wake (CUF na BAKWATA), mlichopata ni ushindi mkubwa na hakuna sababu ya kuhuzunika, safari huanza kwa hatua moja.
 
Acha ujinga weweee! Strategy ni wiziiiiiiiii? kila kitu ni wizi huoni huo ni udumazi wa fikra kushangilia wizi?????
 
avatar43551_2.gif

CCM sasa wapanga kuvirudi vyombo vya habari nchi kwa sababu ya kuwabana sana nafasi za kuchakachulia uchaguzi Igunga hivyo kuwafanya waumie sana na kutumia gharama kubwa mno kifedha - Azimio la dk Hamisi Kigwangalla.

Wewe Mama unazungumzia vipi hayo mawazo mgando ya CCM yenu hiyo????????? Tanzania is BIGGER THAN CCM hivyo hizo ndoto za Alinacha zikome kabla hayajawa mabaya zaidi kwanza CCM haina ubavu wa kufanya hivyo kwa kuwa hamna POLITICAL LEGITIMACY wowote tangu wizi wa kura mwaka jana.

Umeshindwa, umeshindwa tu. Huna sabau za msingi. Unaanza kulekule ulikofanya makosa. Mkitaka kushinda muache kuongea sana muanze action. Siasa za kuongea sana zilikuwa za kina Nyerere na hazikuleta tija kwa nchi, siasa za sasa ni action. Fanyeni muiendeleze nchi kama wapinzani. Na si kupiga kelele.
 
Hongera yenu ccm, cdm mjipange na muandikishe wanachama vijijin na jengen ofice kwenye wilaya na kata. Maandamano yanayohusisha mashabiki siyo kura. Mkijua idadi ya wanachama wenu ndo kura zenyewe.
hayo ndiyo mawazo yanyayojenga, maandamano, kumwagiana tindikali, kuteka magari siyo siasa hizo labda kundi la MAFIA.
 
Kuna makontena ya kura yameingizwa Igunga yakitokea Manyoni!
 
Hujui unachokisema,na dhahiri wewe ni mmoja wa mliokumbwa na laana ya kudhulumu nasfi za wenye kutabika kwa maisha.
CCM mnajifanya Mungu mtu?hujui unachokisema na huenda umetumwa tu,au yawezekana haupo hapa Tanzania.
 
siasa za watoto bwana! hivi ukifiwa na baba unahama ukoo?
CCM ndio chama pekee kinachoweza kuongoza wananchi na nchi, wengine mtabaki kuimbaa taarab tu mara yule kaolewa mara huyu kaachika, hebu jengeni nchi acheni kulalama kama mke aliyechika.

Hongera CCM
 
Magwanda huwa hawana sababu za maana, wao wanasusa tu, ngoja uone watavyosusa.

Nawapa pole sana Magwanda kwa kujeruhiwa kisiasa Igunga. Igunga ilikuwa ni turufu ya 2015. Majeraha yaliyowakumba Igunga si madogo yasipelekee kifo chenu, yatafutieni tiba za haraka haraka. Niwajuavyo magwanda wataanza kutafuta machawi kwani katika chaguzi zilizopita tuliona walivyokuja na kusema Zitto ni msaliti anaongea na Rostam Aziz na Jack, hata vielelezo vya sms vikaletwa, sasa safari hii sijui mchawi ni nani, kwani walijisifu sana humu wamedhibiti kila mahali na ushindi ni wao. Napenda kuwajulisha kuwa mchawi wao ni ufinyu wao wa maarifa na wamekuwa wakiongelea watu badala ya mambo muhimu. Hata Igunga ilikuwa ni hivyo hivyo, niliwasikiliza hotuba za Slaa na Mbowe, nikadhani ni wachungaji wanaohubiri Jangwani, walibadili hata sauti zao na kuzifanya za kixhungaji walipohuburi, sijui ni nani aliwadanganya kuwa ukitumia sauti za kichungaji utawapata wengi, well, wamewapata wengi lakini haikuwa good enough.

Mrembo, nadhani hapo kwenye red ulianza vema na kwa uungwana sana. In the same tune - Nawapongeza kwa ushindi. Nawaomba mjiandae kwa 2015 maana hatutakubali kushindwa. Daftari ni lazima liboreshwe ili vijana wenye umri stahiki wasikose haki yao. Nawaomba mjipange tunyang'anyane hao vijana. Mkiendeleza mtaji wenu wa wazee 2015 mhesabu maumivu. In loosing the Igunga elections CHADEMA has no much pain on the contrary there is much to gain. We have recruited and invested the knowledge of freedom into the younger generation. CCM has continued to boast on the old generation. In so to say; you have just "won a battle but not the war". The young will continue to fight for their freedom. They are CHADEMA's strength.
Psalms 127:3 - 5 says: [SUP]3[/SUP]
Children are a blessing and a gift from the LORD. [SUP]4[/SUP]Having a lot of children to take care of you in your old age is like a warrior with a lot of arrows. [SUP]5[/SUP]The more you have, the better off you will be, because they will protect you when your enemies attack with arguments.
So FF and your colleagues, fasten your sit belt.
 
ili kuweza kupata ushindi huu mwembamba CCM imebidi isaidiwe kwa kiasi kikubwa na Serikali, polisi, Usalama wa Taifa, Mgambo, Bakwata,
kununua watu kwa mahindi na sukari, kuzua matukio ya kutengeneza, kuweka wabunge ndani hivi vituko vyote ni kinyume na demokrasia
ambayo wamekuwa wakihubiri kila siku.

ushauri wangu kwa chadema:
jipeni muda mufanye analysis yenu kujua what really happened? kama mnaona kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi
basi muende mkafungue kesi mahakamani ili mahakama itengue matokeo haya ambayo binafsi naona kama Selikali ilishiriki kinyume
kabisa na sheria za uchaguzi kwani viongozi wa serikali hawaruhusiwi kujiusisha moja kwa moja na uchaguzi na hasa kwa kutoa ahadi
za kutumia kodi za wananchi kuwafanyia watu hiki na kile hiyo ni Hongo ya mchana na pia inaondoa fairness kwenye election kwani
vyama vingine visivyo na serikali havina nafasi ya kufanya hivyo.

kweli kabisa, kugawa sukari, magunia ya mahindi, polisi, mgambo, usalama wa taifa ishiii..... Sory usalama wa CCM, madiwani kukamatwa na shahada za kura, kuonga BAKWATA, kununua shahada kwa 40,000 kila moja, kununua kura za CUF na mwisho ya yote kuchakachua, du u thnk this is FREE & FAIR ELECTION kwa mazingira haya yote..
 
Magwanda huwa hawana sababu za maana, wao wanasusa tu, ngoja uone watavyosusa.

Nawapa pole sana Magwanda kwa kujeruhiwa kisiasa Igunga. Igunga ilikuwa ni turufu ya 2015. Majeraha yaliyowakumba Igunga si madogo yasipelekee kifo chenu, yatafutieni tiba za haraka haraka. Niwajuavyo magwanda wataanza kutafuta machawi kwani katika chaguzi zilizopita tuliona walivyokuja na kusema Zitto ni msaliti anaongea na Rostam Aziz na Jack, hata vielelezo vya sms vikaletwa, sasa safari hii sijui mchawi ni nani, kwani walijisifu sana humu wamedhibiti kila mahali na ushindi ni wao. Napenda kuwajulisha kuwa mchawi wao ni ufinyu wao wa maarifa na wamekuwa wakiongelea watu badala ya mambo muhimu. Hata Igunga ilikuwa ni hivyo hivyo, niliwasikiliza hotuba za Slaa na Mbowe, nikadhani ni wachungaji wanaohubiri Jangwani, walibadili hata sauti zao na kuzifanya za kixhungaji walipohuburi, sijui ni nani aliwadanganya kuwa ukitumia sauti za kichungaji utawapata wengi, well, wamewapata wengi lakini haikuwa good enough.

Kushinda kwa mbinde Igunga ni matokeo ya vijana kuanza kupiga kura kwa hiyo kama una akili iliyosalia angalau kidogo you can imagine nini tutawafanya mwaka 2015. CHADEMA imepanda kutoka 0-42%, nyinyi mafisadi mmeshuka kutoka 76%-48% na wake zenu CUF wamekaribia kufutika kutoka 21%-6%. Mwaka 2015, CHADEMA itakuwa 72% na nyie wengine mtajua mtakavyogawana wazee na wakina mama.
 
Hakuna sababu zaidi ya ujinga wa wananchi wa Igunga.
 
ili kuweza kupata ushindi huu mwembamba CCM imebidi isaidiwe kwa kiasi kikubwa na Serikali, polisi, Usalama wa Taifa, Mgambo, Bakwata,
kununua watu kwa mahindi na sukari, kuzua matukio ya kutengeneza, kuweka wabunge ndani hivi vituko vyote ni kinyume na demokrasia
ambayo wamekuwa wakihubiri kila siku.

ushauri wangu kwa chadema:
jipeni muda mufanye analysis yenu kujua what really happened? kama mnaona kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi
basi muende mkafungue kesi mahakamani ili mahakama itengue matokeo haya ambayo binafsi naona kama Selikali ilishiriki kinyume
kabisa na sheria za uchaguzi kwani viongozi wa serikali hawaruhusiwi kujiusisha moja kwa moja na uchaguzi na hasa kwa kutoa ahadi
za kutumia kodi za wananchi kuwafanyia watu hiki na kile hiyo ni Hongo ya mchana na pia inaondoa fairness kwenye election kwani
vyama vingine visivyo na serikali havina nafasi ya kufanya hivyo.

Sikulaumu ni uchanga wa mawazo yako. Hebu sema Serikali ipi ilikuwa kwenye kampeni ? najua utazungumzia wakina Magufuli, Wassira nk elewa hawa ni wajumbe wa kamati kuu/ halmashauri kuu wanayo haki yakukipigania chama chao
 
Mwendo mzuri CHADEMA njia yeupe TABORA peleke operesheni ya kujijenga zaidi, mnapo pa kuanzia,2015 si mbali,ahadi nyingi za CCM walizoahidi Igunga hazitekelezeki ukizingatia wanatakiwa kuwalipa DOWANS, Nchi iko gizani, wafanyakazi vilio vitupu, songa mbele CDM
Tanzania ni yetu sote
 
Hakuna sababu zaidi ya ujinga wa wananchi wa Igunga.

Acha kuwatukana wana Igunga hiyo ndio demokrasia tatizo lenu CHADEMA mmetumia nguvu nyingi sana Igunga , sijui helikopta nk na mmeangukia pua kinyume na matarajio yenu lazima iwaume sana ! jipangeni 2015
 
Hongera yenu ccm, cdm mjipange na muandikishe wanachama vijijin na jengen ofice kwenye wilaya na kata. Maandamano yanayohusisha mashabiki siyo kura. Mkijua idadi ya wanachama wenu ndo kura zenyewe.
Dr. ukiangalia tofauti ya kura za vituoni ni wazi zile figures si ushabiki wa maandamano, watu walioipigia kura Chadema ni wengi.
 
Back
Top Bottom