kuna shamba langu la heka 20, naliuza lina kisima kirefu 75miters, heka 3 zina drip, deasel engine na outonater, nyumba ya wafanyakazi pamoja na vijana wawili wapo shamba, kila kitu kipo tayari kuanza kulima hata kesho. nauza 30million tu. Lipo 5km from kibiti secondary gari ndogo inafika mpaka Shamba, pia kuna majirani kutoka dar na wanaendelea na projects. Mazungunzo yapo
Kwa muitaji tuwasiliane pm
Ekari 12 zina mbaazi ambazo zimevunwa Mara moja tu
 
Maana kuna watu uuza maeneo baada ya kuona eneo ilo lipo katika hifadhi za serikali kama barabara kubwa, baada ya kuziona ramani za mipango miji
Apana ilo halina tatizo lolote unakua huru kufutulia popote kupata taarifa za Eneo husika.hakuna.ubabaishaji.unakagua Eneo kwanza na unajiridhisha kila idara.utaqnzaje kulipa bila kujua Eneo husika kwa kina Mkuu?
 
873b324046e60d32ebb324500e064272.jpg
db4349a5d161f1a7e26d893b7a8c121c.jpg
9c5cf93df32305d891e93f468dc16ee4.jpg

Hili Shamba lako zuri mkuu nadhani tukutane tuongee
 
je unaweza kuuza kwa hekari chache yaani heka 5 hivi au unauza lote kwa bei hiyo maana hiyo bei ghali sana mkuu ungekuwa unakataka heka
 
je unaweza kuuza kwa hekari chache yaani heka 5 hivi au unauza lote kwa bei hiyo maana hiyo bei ghali sana mkuu ungekuwa unakataka heka
Lote Mkuu.maana apo ukisema ukate.kila mtu atataka kwenye kisima aweze kunufaika na maji.ngoja tuangalie namna kama itafaa kufanya hivyo nitakujulisha
 
Back
Top Bottom