Kinta Kunte knows all those episodes and those Values of those Big Guys š³š !
i.hate Samia, she is a looserMpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
(61) Mwenge wa Uhuru? Kafara la ākukimbiza motoā linavyoligharimu Taifa | JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru? Kafara la ākukimbiza motoā linavyoligharimu TaifaIla wao wanao mwenge wanaturoga Nchi nzima
Ukifanikiwa kuibq limuenge kwishq habar yaoHaiwezekani kuiroga serikali nzima iliyoko madarakani mkuu?
Historia inajirudia kwa ukamilifuRoho ya mangungo aliyeuza ardhi ya Tanganyika kwa wakoloni nadhani ndio waTanzania wa leo wameirithi.
Watanzania tufanyeje kaka wanajeshi wa Tanganyika wanashirikiana na wanzanzibar kutupiga risasi na kutupeleka mochwari tukiwa haiIla waTanzania hawana habari na wala hawana uchungu kabisa na nchi yao. Inasikitisha sana. Wao waonge hela ndogo tu wape kushabikia muziki, mpira na ujinga wa kina Mwijaku na uwatishe kuwa wapinzani wanaleta fujo na kutaharibia amanai basi the rest you can do whatever you want ata kama kuchukua kipande cha nchi yao wao sawa tu. Hiyo ndo Tanzania
This is Abduli. Who are you?Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
Kuna option mbiliHadi lini rafikiā¦.?
sasa yeye ameongelea kule alikoshuhudia huko kwingineko ongelea wewe kama umeshuhudiaHabari za Jf siku hizi ni kama umbea tu,hakuna details ni mipasho tu!
BTW:Maeneo yote yenye dhahabu kwa sasa wachina huwakosi Geita,Kahama,Chunya.
Airstrips kwenye migodi wala siyo habari,ipo pote tu hata migodi ya wazungu
KWAKWELI HILI JAMBO HUWA NAJIULIZA SANA..HIVI SERIKALI IMESHINDWAJE KUWAPA WAZAWA HAYA MACHIMBO? HAWA WAGENI KAZI YAO INGEKUWA KUNUNUA TU NA SOKO NA BEI INGEKUWA JUU.Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca