Tunapigwa sana na Wachina 🄲

Tunapigwa sana na Wachina 🄲

Unajua nchi inapokuwa haina "usalama wa taifa wa taifa" hapo bado sana. Nchi yetu kwasasa haina kabisa watu wenye uchungu na taifa. Ndo hayo alikuwa anayasema HP kuwa makundi ya kihuni huwa yana tabia za kuzipiga copy taasisi za serikali yaani mnakuta mna JWTZ ambayo kwa nje mnaiona kama ni kwa ajili ya wananchi kumbe ilishatekwa inawatumikia watu wengine kabisa au kikundi fulani ndani ya nchi au hata nje kwa lengo la kujinufaisha wao akatolea mfano wa Futungo huko Angola.

Sijui kama taifa titafanyaje kujinasua na hawa wahuni maana ni kama wameota mizizi ambayo haiwezi kutolewa kilelemama
 
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..

Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..

SAMIA WHAT IS THIS

Britanicca

Halafu kila siku wako busy wanahubiri UZALENDO .... Hivi hawa watu wanajua maana ya Uzalendo kweli.
 
Mchina kaja na gunia lenye hela. Mmoja alikuwa anafanya expansion ya eneo la leseni. Nikamwambia nipe 200, wala hakijiuliza mara 2
 
KWAKWELI HILI JAMBO HUWA NAJIULIZA SANA..HIVI SERIKALI IMESHINDWAJE KUWAPA WAZAWA HAYA MACHIMBO? HAWA WAGENI KAZI YAO INGEKUWA KUNUNUA TU NA SOKO NA BEI INGEKUWA JUU.
Mengi kwenye kitabu chake alisema watu wa nchi za nje wanapendelewa na serikali kwenye fursa za uwekezaji kuliko sisi wabongo MONEY IS NOT EVERYTHING
 
Watanganyika tunalalamika sana,hakuna nchi nyepesi kupata leseni za uchimbaji na utafiti wa madini kama Tanzania,wakati sisi tunaendelea kulalamika na kupambana na Mama Samia wenzetu wachina wanasomba kila kitu kwa sababu hawana muda na siasa,

Mimi nipo Katavi na kama wewe unahitaji kuwekeza huku tuwasiliane ila kulalamika haitotusaidia ndugu zangu tuchukue hatua,sekta ya madini inaweza kutubadili maisha yetu kwa haraka sana ila wengi wanaogopa licha ua wizara kuhamasisha sana kwenye mitandao na kampeni nyingi tu,

Wachina wapo kweli ila wana faida na hasara kubwa ila bado tuna nafasi tukiacha kulalamika.
 
Waziri wa Madini, Antony Mavunde amewataka wachimbaji wadogo wa madini kuacha tabia ya kuruhusu raia wa kigeni, hususan Wachina, kuingia na kufanya shughuli za uchimbaji kinyume na sheria, kisha kuilaumu Serikali.
 
Back
Top Bottom