Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,312
- 28,487
.Watu tupo field tunayaona haya wachina ni wababaishaji hawana ubinadamu na watesaji tu iyo.migodi wangepewa wazungu watu wangefaidika sana apo kwa kulipwa vizuri na kufanyiwa baadhi ya maendeleo kwenye eneo husika
Kwa ufupi Asians wana roho ya kimaskini kama watu weusi tu. Ubaya zaidi wachina ni abusive sana