Tunaokumbuka ' Differential Equations na Integral ' tukutane hapa..

Tunaokumbuka ' Differential Equations na Integral ' tukutane hapa..

Msingi mkuu wa hii topic ni from the fact that in every action, there is a reaction on it. Hii topic tunapima ukubwa wa reaction kutokana na action iliyofanyika. Tunaweza kuitumia pia kupima output due to input iliyotumia.

Marginal Product, Marginal Revenue, Marginal Costs, Marginal Profits, Marginal Sales zote hizi ni application ya Calculus.
Dah....[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Integration, huku differential equation, pale complex numbers, kule kuna cordinate geometry. Like Physics, kufaulu hayo masomo kunategemea zaidi huruma ya mtunga mtihani kuliko uwezo wa mfanya mtihani.

Sanasana physics, mtungaji akiamua asitoke mtu, hatoki mtu kweli. Ukute swali la Magnetism limevimba sijui unaambiwa toroid imefanyajefanyaje, thubutuuuuu. Hata usolve hilo swali ukiwa uchi huchomoki.
[emoji23] [emoji23] Eti ata ukiwa uchi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati tupo Tech School enzi hizo,kuna mambo tuliyasoma wenzetu wa secondary za kawaida waliyakuta form 5. Kwa mfano topic ya Magnetism kwenye Engineering Science tuliisoma form4,pia topic ya Angular Motion,Projectile Motion enzi hizo. Sina hakika kama mitaala hiyo imewekwa kwa wanaosoma physics kwa secondary ya kawaida kwa miaka hii.
Baadae tulikuja kurudia pale DIT first year tena kwenye Advanced Physics. Nikasema hii mitaala ya ufundi inaoverdose sana watu.
Nimeyaweka hayo nikikumbuka Engineering Science ilivyokua ina derive equations katika Magnetism in resembkance na Electronics ambayo pia tulisoma O -Level. Ili kujenga hoja mwalim aliyetufundisha alisema hayo mambo yanashabihiana katika namna fulani. Hapo ndipo alipoonyesha kwa kusema kuna kitu kile ambacho kwenye Physics huitwa Electro-Magnetic Forces(E.M.F). Huko kwenye Magnetism kuna Magneto-Motive Forces(M.M.F) na ilikua na mahesabu hatari(kwa sababu ni miaka zaid ya 20) naanza kuashau,lakini ilikua ni shidaaa. Physics ni theory,practical na more analysisi(calculations chache), wakati Engineering Science ni Calculations tupu. Hakukua na Paper 1 na Paper 2.
Tech schools hazikutengenezwa ili watu waende advance. Mkakati ilikuwa ni kutengeneza technicians wa kutosha ila si unajua tena mambo ya Tanzania.
 
Hiyo ni kweli tupu. Na kwa bahati mbaya,ukiwa DIT kwa mfano,matumizi ya hesabu hizo unakutana nayo hapo hapo. Kwa mfano,kwenye masomo ya Strength of Materials,kwenye First and Second Moment of Inertia nk,bila kujua hizo dx or dy ili kupata xtreme fibre points kama zile Modulus,Y and X Bar(Centroid and centroidal axis perpendicular distances) perpendicular to X or Y Axis,ndugu yangu lazima ubebeshwe virago kwa Supplementary na discontinuation.

Kwa mfano,unaambiwa locate centre of mass au Centroid ya maumbo yafuatayo
1. Triangle
2. Rectangle& Square
3. Cycle
4. Composite figure
Na maumbo hayo unapewa vipimo vyake ni kwa mfano Upana 'w' na urefu 'l', pembetatu unapewa kitako 'b' na kimo 'h', hakuna namba wala nini. Hapo anakuambia locate hiyo Centroid about X- Axis na Y- Axis. Hakika kama hujui Intergral,lazima utoe macho.
Kwa mfano majibu kwa pembe tatu ni h/3, 2h/3 na b/3 na 2b/3 kutegemea swali limetaka nini. Lakini kwanza lazima ukate umbo lako katoka infinite small portion dx au dy ikiwa na limit 0-h au limit 0-b. Nimeanza kusahau,kwa sababu ni muda mrefu.
Ulisoma kozi gani pale DIT?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom