BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,988
Nilisom bam naijua differ tu hyo minyoo nilikuaga sitak kuionaaWakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
Nilisom bam naijua differ tu hyo minyoo nilikuaga sitak kuionaaWakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
Wakati tupo Tech School enzi hizo,kuna mambo tuliyasoma wenzetu wa secondary za kawaida waliyakuta form 5. Kwa mfano topic ya Magnetism kwenye Engineering Science tuliisoma form4,pia topic ya Angular Motion,Projectile Motion enzi hizo. Sina hakika kama mitaala hiyo imewekwa kwa wanaosoma physics kwa secondary ya kawaida kwa miaka hii.Kati ya topic ambazo nilikuwa sijibu maswali yake ni Magnetism
Ha ha ha ha. We ni kiboko. Wengine tunayakumbuka ya FTC huko kitambo sana. Baadae Chuo hata hivyo tumeshasahau mkuu. Ila kwa wewe uliyepiga kabisa MSc in Mathematics, kweli uko juu.Hivi wapo wenzangu wa level ya MSc (Mathematics) angalau tukumbushane mambo yetu? Maana hii level ya Advanced Maths nawaachia wale wa form six.
Mkuu ulicharaza tech gan??Wakati tupo Tech School enzi hizo,kuna mambo tuliyasoma wenzetu wa secondary za kawaida waliyakuta form 5. Kwa mfano topic ya Magnetism kwenye Engineering Science tuliisoma form4,pia topic ya Angular Motion,Projectile Motion enzi hizo. Sina hakika kama mitaala hiyo imewekwa kwa wanaosoma physics kwa secondary ya kawaida kwa miaka hii.
Baadae tulikuja kurudia pale DIT first year tena kwenye Advanced Physics. Nikasema hii mitaala ya ufundi inaoverdose sana watu.
Nimeyaweka hayo nikikumbuka Engineering Science ilivyokua ina derive equations katika Magnetism in resembkance na Electronics ambayo pia tulisoma O -Level. Ili kujenga hoja mwalim aliyetufundisha alisema hayo mambo yanashabihiana katika namna fulani. Hapo ndipo alipoonyesha kwa kusema kuna kitu kile ambacho kwenye Physics huitwa Electro-Magnetic Forces(E.M.F). Huko kwenye Magnetism kuna Magneto-Motive Forces(M.M.F) na ilikua na mahesabu hatari(kwa sababu ni miaka zaid ya 20) naanza kuashau,lakini ilikua ni shidaaa. Physics ni theory,practical na more analysisi(calculations chache), wakati Engineering Science ni Calculations tupu. Hakukua na Paper 1 na Paper 2.
Ndio mkuuKwenda mjini maana kupita mbele pale ulikuwa msala
Kama ni kweli mzigua mwaka huo ndio umemaliza form six basi wewe ni binti mdogo wa miaka 26 au 27 unapaswa kila ukiamka ukiingia humu uwe unaniamkiaHayo mavitu hata sitaki kuyakumbuka niliachana nayo 2011 baada ya kumaliza form six
Nilichelewa tu shule mkuu mi kibibiKama ni kweli mzigua mwaka huo ndio umemaliza form six basi wewe ni binti mdogo wa miaka 26 au 27 unapaswa kila ukiamka ukiingia humu uwe unaniamkia
Enzi hizo MTWARA TECH MIAKA YA 97/98Mkuu ulicharaza tech gan??
Vipi nawe uliyasoma hayo mavitu ukiwa O-Level?Mkuu ulicharaza tech gan??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji1][emoji1][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28]
Yap nilipiga moshi tech mkuuVipi nawe uliyasoma hayo mavitu ukiwa O-Level?
Na mabanda ya physics ?![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilipiga mabanda ya BAM mengi sana
Nilikomaa sana nikawa nafeli ila Necta nikatoka na BNa mabanda ya physics ?!
Acha kujitetea ukubwa sio mzuri [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unasema wewe kibibi unataka kutunyima nn hasa?Nilichelewa tu shule mkuu mi kibibi
Wakubwa hatunyimani lakiniAcha kujitetea ukubwa sio mzuri [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unasema wewe kibibi unataka kutunyima nn hasa?
Mkuu karibu sanaHivi wapo wenzangu wa level ya MSc (Mathematics) angalau tukumbushane mambo yetu? Maana hii level ya Advanced Maths nawaachia wale wa form six.
Lkn sasa wabibi pumzi inakata mapema [emoji2] [emoji2]Wakubwa hatunyimani lakini
Havina msaada na maishaNiliiva differential ila ilichonifanyia mwaka huu mwezi wa tano sitakaa nisahau mda mwingine ni vyema kukomaa na vitu simple
Umekosa..! Lazima uweke dy/dx [emoji23]Si 4