Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,405
- 1,845
Hatari noma sana, ila ukitaka usome vizuri economics, advance piga egmkwenye uchumi chuo zimenijambisha sana hiz esabu[emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari noma sana, ila ukitaka usome vizuri economics, advance piga egmkwenye uchumi chuo zimenijambisha sana hiz esabu[emoji23][emoji1787]
Niliyakimbia kwenye BAM nikaja kutana nayo kwenye 218 QM
Yamenitoa jasho kama nini mpaka leo najiuliza ilikuwaje sikupata sup
magnetism moja ya topic rahis mno mi nina maswali 300 nimeyasolve yote ya only magnetismIntegration, huku differential equation, pale complex numbers, kule kuna cordinate geometry. Like Physics, kufaulu hayo masomo kunategemea zaidi huruma ya mtunga mtihani kuliko uwezo wa mfanya mtihani.
Sanasana physics, mtungaji akiamua asitoke mtu, hatoki mtu kweli. Ukute swali la Magnetism limevimba sijui unaambiwa toroid imefanyajefanyaje, thubutuuuuu. Hata usolve hilo swali ukiwa uchi huchomoki.
MTC Enzi hizo, huko Mbeya...Wakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
Sasa magnetism kwenye ELECTRICAL MACHINES.... acha tu..magnetism moja ya topic rahis mno mi nina maswali 300 nimeyasolve yote ya only magnetism
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikunywa sanaWakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
basi mzee nisomag hge advnceHatari noma sana, ila ukitaka usome vizuri economics, advance piga egm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wasio zijua someni hapa chini :-Wakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
Mimi zinani saidia kutengeneza softwaresZina kusaidia nn kwenye maisha yako ya kila siku.
Mmmmh mam una comment hapa tyuuuhWale tuliosoma pure mathematics lakini si pcm wala Tabora boys tunacoment wapi?
Mambo ya Sir Isaac Newton f (x,y) dy\dx first derivative, linear integration.