Tunaokumbuka ' Differential Equations na Integral ' tukutane hapa..

Tunaokumbuka ' Differential Equations na Integral ' tukutane hapa..

Nipo, leta mambo

Hizi baadhi ya kozi ninazozikumbuka mkuu:

- Applied Functional Analysis
- Computer Programming
- Advanced Mathematical Statistics
- Ordinary Differential Equations
- Statistical Inference
- Fluid Dynamics I & II
- Population Dynamics
- Partial Differential Equations
- Advance Linear Algebra
 
Wakati tupo Tech School enzi hizo,kuna mambo tuliyasoma wenzetu wa secondary za kawaida waliyakuta form 5. Kwa mfano topic ya Magnetism kwenye Engineering Science tuliisoma form4,pia topic ya Angular Motion,Projectile Motion enzi hizo. Sina hakika kama mitaala hiyo imewekwa kwa wanaosoma physics kwa secondary ya kawaida kwa miaka hii.
Baadae tulikuja kurudia pale DIT first year tena kwenye Advanced Physics. Nikasema hii mitaala ya ufundi inaoverdose sana watu.
Nimeyaweka hayo nikikumbuka Engineering Science ilivyokua ina derive equations katika Magnetism in resembkance na Electronics ambayo pia tulisoma O -Level. Ili kujenga hoja mwalim aliyetufundisha alisema hayo mambo yanashabihiana katika namna fulani. Hapo ndipo alipoonyesha kwa kusema kuna kitu kile ambacho kwenye Physics huitwa Electro-Magnetic Forces(E.M.F). Huko kwenye Magnetism kuna Magneto-Motive Forces(M.M.F) na ilikua na mahesabu hatari(kwa sababu ni miaka zaid ya 20) naanza kuashau,lakini ilikua ni shidaaa. Physics ni theory,practical na more analysisi(calculations chache), wakati Engineering Science ni Calculations tupu. Hakukua na Paper 1 na Paper 2.
Hakika umenikumbusha mbali kiasi, japo sio muda mrefu kama wewe. Engineering science nilililewa sana hili somo
 
Hizo nyanga nilipiga kwenye additional mathematics nikiwa o'level, musoma tech kabla ya kukutana nazo tena advanced level, pcm...mitaa ya mazengo technical school
Acha uongo , additional mathematics ya o'level haina differential equation
 
Wale tuliosoma price action ,support nd ressistance , wave na tunapiga tu hela mtaani through that tunacomment wapi ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya price action, elliot wave, sl, tp haya chagui kozi... Unaweza kuwa MD, accountant, nesi na bado ukayapiga...

Infact, under the hood, hayo mambo ya sl, price action kuna hesabu kali sana pamoja na mathematical algorithms zinazo operate each milli second!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya price action, elliot wave, sl, tp haya chagui kozi... Unaweza kuwa MD, accountant, nesi na bado ukayapiga...

Infact, under the hood, hayo mambo ya sl, price action kuna hesabu kali sana pamoja na mathematical algorithms zinazo operate each milli second!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Good news siyo lazima kutazama screen siku nzima. Unaweza kuprogramme expert advisor inayotekeleza trading strategy yako kwa kutumia mql5 language. EA inatuma buy/sell push notification kwenye simu yako whenever trade rules are satisfied.Kazi na bata Saana!
 
Hio PCM , afu nikaja kupambana nayo tena kwenye Engineering mathematics 3 Chuo hatar sana hayo madubwasha akili lazima ikukae sawa...unagonga triple integral afu unaambiwa uchange order acha bhana...
 
Back
Top Bottom