Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitawaanzishia uzi wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitawaanzishia uzi wenu
Hayo mavitu hata sitaki kuyakumbuka niliachana nayo 2011 baada ya kumaliza form six
Usisahau kutumia reverse power ruleI will
Ndio mkuuMkuu umemaliza six 2011? Daahh!!
LockedUsisahau kutumia reverse power rule
Mfano huu hapoZina kusaidia nn kwenye maisha yako ya kila siku.
When you differentiate constant the ans is zero.!!!
Hayo mengine manyoka nyoka hata sikuwahi kuyaelewa.
Daa,enzi hizo FTC tulikula sana kitabu cha Gupta. Ilikua ni hatari kubwa.Wale wa DIT like hapa
Nowadays DIT kama una nawaDaa,enzi hizo FTC tulikula sana kitabu cha Gupta. Ilikua ni hatari kubwa.
Elimu ya mbele huko ndo usiseme.Kuanzia Probability& Statistics(Testing Hypothesis) hadi Fourier Series,cheza mbali na watoto hayo mavitu aisee.
Hata ukitest Second Derivative.?Locked
Fafanua hapo. Maana DIT siyo mchezo.Nowadays DIT kama una nawa
Fanya second derivative mkuu[emoji23][emoji23] haipendezi kuishia hapoy = 2x²+4x-1
Find dy/dx
Solution:
y =2x²+4x-1
dy/dx = 4x + 4
Alikuwa bint kigor kabisaMkuu umemaliza six 2011? Daahh!!
Mimi niliyasoma kwenye Addition mathematics, nikaja kuyasoma kwenye BAM nikawa nateleza tu.Hizo nyanga nilipiga kwenye additional mathematics nikiwa o'level, musoma tech kabla ya kukutana nazo tena advanced level, pcm...mitaa ya mazengo technical school