O'Level ulipigia wapi kiongozi?Mimi niliyasoma kwenye Addition mathematics, nikaja kuyasoma kwenye BAM nikawa nateleza tu.
Chuoni nikakutana nayo kwenye Pharmacokinetics
O'Level ulipigia wapi kiongozi?Mimi niliyasoma kwenye Addition mathematics, nikaja kuyasoma kwenye BAM nikawa nateleza tu.
Chuoni nikakutana nayo kwenye Pharmacokinetics
wakazi wa mapinduzi mwendo wa kuvuta hewa safi ya beto.........[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nakumbuka kipindi hicho nilikunywa sana uji yani
Dah...unayajua maisha yake ya kila siku? Kwa taarifa yako...Kama hujui...hisabati ndilo som opekee linalotusaidia katika kufanya maamuzi yenye tija katika shughuli zetu za kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zina kusaidia nn kwenye maisha yako ya kila siku.
Wale wa Linear Algebra tunapita wapi ?
Ndiyo aisee najivunia na nilichokipataNdyo maana uli rotate umepelekwa kusoma ukaanza kukalia kunywa uji
BAM hawasomi differential equations mkuu.Kwenye BAM pia zipo hizo.
Mkuu had uko unapakumbuka ongera yakoWale wa Linear Algebra tunapita wapi ?
Msingi mkuu wa hii topic ni from the fact that in every action, there is a reaction on it. Hii topic tunapima ukubwa wa reaction kutokana na action iliyofanyika. Tunaweza kuitumia pia kupima output due to input iliyotumia.Wakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
Hii course wakati wako ulifundishwa na nan??Ujakosea mkuu udsm iyoo
Kwa wale wa HGE kama mimi alafu BAM zero tulipata tabu sana
Ila yashapita
Ahsante mchumi mbobezi,mchumi msomiMsingi mkuu wa hii topic ni from the fact that in every action, there is a reaction on it. Hii topic tunapima ukubwa wa reaction kutokana na action iliyofanyika. Tunaweza kuitumia pia kupima output due to input iliyotumia.
Marginal Product, Marginal Revenue, Marginal Costs, Marginal Profits, Marginal Sales zote hizi ni application ya Calculus.
Hii course wakati wako ulifundishwa na nan??
Msingi mkuu wa hii topic ni from the fact that in every action, there is a reaction on it. Hii topic tunapima ukubwa wa reaction kutokana na action iliyofanyika. Tunaweza kuitumia pia kupima output due to input iliyotumia.
Marginal Product, Marginal Revenue, Marginal Costs, Marginal Profits, Marginal Sales zote hizi ni application ya Calculus.
Mashindano alinifundisha EC116,Nimemaliza juzi tu bro
Course coordinator alikuwa Dr Mashindano baada ya kuchaguliwa na mkuu akashika Dr Ngasamiaku ni juzi tu
Kuna mkitabu wa muhindi unaitwa "Gujurati"Umegusa mule mule bro izo marginal nini sio poa
Kuna kitabu nilikuwa na tumia kinaitwa mathematics for economics kama sikosei kiko vizuri sana ukiachana na chan ambacho ma lecturers wengi wa udsm wanapenda kukitumia
Ukiachana na hii kuna econometric mambo ya ku derive formula sio poa