Wale wa Linear Algebra tunapita wapi ?
Sisi tulioishia la tano B tu comment wapi?
Mimi sina wenzangu, alafu mimi sio MD. Infact bora hao hata wameenda kuomba ajira jeshini, je nyie mangwini hali yenu ikoje?Hahaha, kakaaa daahh.
Wenzako wanaojiita wenye IQ(MD) walikwenda kuomba ajira za jeshi ktk kambi ya mgulani.
Hayo tuu.
Duu umenikumbusha mbali sana differential equation nilipenda sana hizo makituWakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
Malengo yetu pata ujuzi gawia umma[emoji16][emoji16]Kumbe upo hapa Pugu boy(Pondi boy) mwenzangu
Hahaha nawaona mapond boysKumbe upo hapa Pugu boy(Pondi boy) mwenzangu
Mimi nilikula kande na ugali wa faza Minaki boysWakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
HahahaaaaNikiona namba namba au nikihisi maswali ya hesabu yataibuka hua nachochora kama ifuatavyo...
Full bata mzeeMimi sina wenzangu, alafu mimi sio MD. Infact bora hao hata wameenda kuomba ajira jeshini, je nyie mangwini hali yenu ikoje?
Kweli nimezeeka dah. Kumbe watoto mko wengi sana humu halafu mkiandika stori zenu Kama vile kina mama watu wazima!Hayo mavitu hata sitaki kuyakumbuka niliachana nayo 2011 baada ya kumaliza form six
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli nimezeeka dah. Kumbe watoto mko wengi sana humu halafu mkiandika stori zenu Kama vile kina mama watu wazima!
QM for economists eeee second year hiyo.Niliyakimbia kwenye BAM nikaja kutana nayo kwenye 218 QM
Yamenitoa jasho kama nini mpaka leo najiuliza ilikuwaje sikupata sup