Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,839
- 38,736
Acha kutumiwa kindezindezi wewe...hahahahaha..naunga mkono hoja,kazi kwenu wapiga kura...huyu si MTU WA MPIRA,hahahahaha
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Acha kutumiwa kindezindezi wewe...hahahahaha..naunga mkono hoja,kazi kwenu wapiga kura...huyu si MTU WA MPIRA,hahahahaha
Shilawadu mkubwa wewemuite kwa jina kongwe Bishanga Classic
Hii match Okwi angekuwepo mikia ingeshinda.Ubaya wa Malinzi umeanzia hapa...
Chezea katerero weee!
Kama unazungumzia utendaji wake, mambo ya UHAYA yametoka wapi?MKUU USILETE SIASA ZA SIMBA NA YANGA. tunazungumzia utendaji wake kwa ujumla na wala si mechi za team hizo
Malinzi sasa ndio kiboko yaoHata kwa tenga tulisema hivi hivi
Akikujibu nishtue Mkuu sababu hao wote ni waganga njaa.Tukimtoa unataka tumweke nani? Funguka
Kama unazungumzia utendaji wake, mambo ya UHAYA yametoka wapi?
Nyinyi mmevurugwa na kamati ya masaa 72 iliyotaka kutengua katerero. Mpira ni uwanjani, mezani tunakunywa kahawa. Manara anawadanganya na mkakubali, hadi mkadanganywa FIFA sijui wametuma soseji sijui kitu gani. Sasa hivi mmebadilishiwa upepo, mnajadili Niyonzima, tahamaki ligi imeanza mnapigwa tena mabao mnaandamana
Unazani ilo jina la wanjiru si ls Jf tu iloWewe utakuwa Mhaya wa Chole sio wa Bukoba.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Wewe jina lako la wapi,la kwenye mataputapu mbona sio verified user?Unazani ilo jina la wanjiru si ls Jf tu ilo
Ndio maana mikia mkamsajili sio ili aje apambane na Malinzi uwanjani?kweli nyie ni Mambumbumbubora jamal mwambeleko kuliko Jamal Malinzi
Hafai kwa lipi?toa sababuJamaa kwa kifupi tangu aondoke Tenga pale tumerudi hatua mia nyuma hafai kabisa
Tangu achaguliwe hakuna maendeleo ya soka aliyoleta
Umetumwa na wagombea wenzake, haondoki mtu hapa. JF haipigi kura and moreover humu zimejaa takataka kama weweHuyu mtu hafai kuendelea kuwa Rais wa TFF. Uhuni aliofanya ni mwingi sana likiwepo suala la migogoro katika maamuzi ya mech za Ligi Kuu kwa team zote.
Huyu jamaa ameamua kujijenga yeye na kundi ka watu flan wa karibu yake na kusahau maslah ya taifa kwa ujumla.ni mbabaishaji hakuna alilolifanya zaidi ya kuharibu hata mazuri ya leodgar tenga kwa sabab ya chuki na kutojiamini kwake.
Humu JF alikimbia baada ya kupata urais TFF akaona hamna maana tena ingawa aliitumia hii JF Kujinadi na kuomba kura. Sasa anarudi kwa ID weng hamzifaham kuja kujitetea.
MALINZI NI JANGA LA MAENDELEO YA MPIRA HAPA NCHINI. TUBADILISHE TUMWEKE MWINGINE. NA HAPA SIMPIGII DEBE YEYOTE
Na pia toa vipimo vya hivyo unavyoviita maendeleo ya soka.Tangu achaguliwe hakuna maendeleo ya soka aliyoleta