Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Hiyo nafasi siyo nyeti kihivyo
Mtu wa kawaida tu anaweza
CCM hawana mpinzani, hata sisi wananchi wa kawaida hatuhitaji saana kushawishiwa ili tuunge mkono juhudi
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Yaani ni mbulala kweli au unafikiri huku kuna wajinga kama wewe??? Huo ujinga peleka Kwa wajinga mwachawa wenzio ambao mnahangaika kila siku kumsifu malikia Ili mpate mnachotaka na hamkipati. CCM haina sifa ya kuongozwa kiongozi mwenye msimamo wa HAKI Kaa ukijua hilo
 
CCM ishafitinika.

Samia hana masimamo na Chama hakijajua mwelekeo wa mwenyekiti.

Wasemaji haielewi falsafa ya mwenyekiti.

Ndani ya miaka mitatu wasemaji wanne.
Wanapandisha mabega mama nae hataki mtu mwenye mabega makubwa
 
Nape atolewe huko serikalini na arudishwe chamani akawe muenezi. Uwaziri ni mkubwa sana kwake, ni mzigo mzito, Rais amtue. Nape anaweza kazi ya propaganda tu!

Ushahidi, angalieni majibu anayotoa kwenye maswali magumu juu ya wizara yake huko X.
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Muda umefika wa kutafuta Mwenyekiti mwingine.
 
Umefika wakati sasa Mama aniangalie maana nimeusoma mchezo huku nje najua pa kutokea. Aje PM
 
Back
Top Bottom