Jof3
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 663
- 323
mimi binafsi UHUNI wa CHADEMA umenichosha
hata mm pia,hii inasababishwa na kupelekwa wasanii wa bongofleva wasiojitambua bungeni
mimi binafsi UHUNI wa CHADEMA umenichosha
Mkuu Nasari, asante kwa info.Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Mkuu huo ndio upeo wa uongozi wa CDM.
Profesa Baregu juzi juzi kawapakia lakini hawamwelewi maana tatizo ni upeo wao wa form four.
Ndio sifa ya mtoto wa kiume ila wewe wakike upo tayari kumsaliti rafiki yako kwa kutembea na mme wake.,ndio sifa yako mama chauruma...Shujaa kwa kumtetea mbowe? ninabaki na maswali mengi inakuwaje mtoto wa kiume uko radhi uumie na kudhalilika kisa mbowe asichukuliwe hatua.
Nasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
Hivi Dr.Kigwangala na udr.wake anatofauti gani na barmaid.,toka unasoma mpaka umemaliza unamchango gani kwenye hii dunia ukumbukwe kama msomi zaid ya kujaza choo cha mwenye nyumba..Mkuu komaa nao hao vilaza kama Sugu.
Asiyefunzwa na mma yake ndo tunaona hadharani kama ya Sugu, kuadhiriwa dunia nzima inaona.
Halafu wenye akili fupi wanamfananisha form four failure na Mandela!!
What stupidity!
ndio mwisho wa akili za makada wa cdm, halafu mnatanga kuongoza taifa mliambiwa tanzania ni uwanja wa fisi mpaka tutake viongozi walio na midomo michafu kama huyo sugu.
Akiahirisha bunge jioni hii Ndugai ameonesha kuwa kwa kitendo alichofanya Sugu hakina kinga na kqa sababu hiyo sheria itachukua mkondo wake. Alishangiliwa sana na wapambe wake. Mary Nagu amemsifia sana kwakuendesha bunge kishujaa na kwa ufanisi mkubwa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nasikia Ndugai ni mrwanda
Sio bure utakuwa si rizkiNdio sifa ya mtoto wa kiume ila wewe wakike upo tayari kumsaliti rafiki yako kwa kutembea na mme wake.,ndio sifa yako mama chauruma...
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari