MjuviKitambo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 711
- 817
Ati wabunge wako wanachapa kazi????!!!!
Non sense,ndo kilichowapeleka bungen hko?
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Mimi nawashangaa sana na hizi account zenu za 2013 ambazo zina reply topic za chadema tu. Hivi kama kweli unaakili timamu na hujaruka hata darasa moja wala hujawahi kuugua kichaa, kati ya askari waliokuwa wakipigana na askari na wabunge waliokuwa wakishangilia vurugu nani aliekuwa akishabikia fujo na aibu zilizotokea bungeni kama unavyodai. kama huna jubu basi mpuuzi namba moja na ambae hana la kufanya ni wewe na ukoo wako wote unaoshindwa kukufunza hekima na adabu ya kifikra
Tunakushukuru tumekusikia kwa kutuita wapuuzi sisi wananchi tuliowachagua Wabunge wetu watuwakilishe Bungeni,una lingine la kuchangia zaidi ya kutukana?
Huo ni mtazamo wako.....hauendani uhalisia.Kama uliangalia bunge unaweza ukajua nani alivuta bangi.
Mnapenda kujipeleka polisi ijumaaBaada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Duh umejiongelea we mwenyew mpaka ukamaliza,walidai kura zihesabiwe wakazidiwa sasa alichokuwa anataka kukisema n. Kip wakat uchangiaji ulitakiwa kufanya na alitakiwa aongee Mzee Mrema?bongo lala ya mwenyekiti wako aliemuaibisha Sugu ndo umewafikisha hapo mlipoa,na msahau kuona ikulu 2015,,,,,waTz sio wapuuuz kias hko kama ww ulivo
anda shame on you gamba!
Ni vzr ktk sentensi yako ya mwisho unaonesha kukubali kuwa kuna wavuta bangi ndani ya bunge. sitaki kuwataja lkn kwa kuwa matendo ya wavuta bangi yanajulikana basi kila mwenye kuyajua ataweza kuwatambua.Huo ni mtazamo wako.....hauendani na uhalisia.Kama uliangalia bunge unaweza ukajua nani alivuta bangi.
We unaakili ya elton john...Chadema wengi wanaakili ya kunguni