Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
pamoja na yote,ukweli ni kwamba kitendo mlichokifanya jana kimewatia doa.kama hamuamin tafuteni maoni ya wanaCHADEMA wote msikie wanachofikiri kuusu tukio la jana.
si wewe tuu unayeamini wana CDM ndio kipimo cha kila mfanyacho, hata JK na wengine Huwa wanaridhika sana mbowe akikubali kitu..achilia mbali Dr. Slaa ambaye CCM wapo tayari hta kuuza nchi ili awape pongezii..Hongera CDM kwa kuweka uongozi wa kuchoma sindano na kuwapa dawa.