Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,371
- 111,643
Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!Ni kijana mdogo sana ana miaka 32 tu . Mnaweza mkamcheki kwa facebook kupitia jina hilo hapo. Username yake hakutaka kuniambia ila ni mwanachama hai wa jf nina uhakika asilimia 100.
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.
ts possible mana mtu ataki labda uione michago yake na awe huru, mbona mim nina rafiki zangu kibao na tunajuana kama tupo JF lakini kila mtu ajamwambia mwenzake username yake.Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!
Non sense.
uchawi huu!!! au Ukenge kabisa!Poleni sana, Shehena yenu ya JF t-shirts za kuvaa msibani mshaagiza?
hii khabari ninaitilia shaka sana kwa sababu yaani binamu yako usijue hata jina lake ndani ya JF?
very fishy? Sasa tutajuaje wasema ukweli au umejitungia tu......
Wacha ujinga wewe nani kakutuma watu tuna majonzi wewe unaleta za kuleta, ushindwe!!!!!!!!!Poleni sana, Shehena yenu ya JF t-shirts za kuvaa msibani mshaagiza?
mbona ni rahisi sana jamani, unajua kitu ambacho kwako akiwezekani kwa mwenzako kinawezekana.hii khabari ninaitilia shaka sana kwa sababu yaani binamu yako usijue hata jina lake ndani ya JF?
very fishy? Sasa tutajuaje wasema ukweli au umejitungia tu......
Tulia mkuu in long run tutajua ukweli Mods wata search adress tupate jibu ni nani kwa ID yake!!!!!!!!!!!!!!Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!
Non sense.
Poleni sana, Shehena yenu ya JF t-shirts za kuvaa msibani mshaagiza?
Inawezekana asijue username. hata mimi kuna watu nawafahamu tunafanya nao kazi, na wengine ni rafiki zangu, najua ni members JF lakini sijui username zao, nao hawajui ya kwangu.............. ngoma droo...........Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!
Non sense.