Don Nzoko
JF-Expert Member
- Jan 6, 2020
- 290
- 297
imetokea ajali lengo lilikuwa asijulikane bahati mbaya ikawa sivyo ni sawa kuwanga karibu na asubuhiNimeona video katika mtandao wa twitter,video inayodaiwa ni ya Msajili Msaidizi akiwa kwenye bodaboda karibu kabisa na ofis za Makao Makuu ya chama kinachotajwa kupelekewa barua hiyo.
Kilichonishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa Msajili Msaidizi(sura inaonekana kwenye video akiongea na wakazi wa eneo hilo na wanaomtambua watamfahamu wakiona video hiyo) akihojiwa na mtu pembeni mwa barabara opposite na ofisi za chama husika akikiri kufika katika ofisi hiyo kwa bodaboda(utadhani ni comedy fulani ukiona hiyo video).
Kilichinishangaza ni mtu huyo anaedaiwa kuwa ni Msajili Msaidizi anapeleka barua katika ofisi za chama tajwa na kisha anahojiwa na raia mtaani na kukiri kufanya hivyo na kisha anaondoka na bodaboda.Hii ni sawa kwa ofisi kubwa kama hiyo kufanya mambo kama haya?
Hakika inashangaza sana!!
Mods msifute huu uzi watu wajue kinachoendelea vinginevyo wahusika wakanushe ingawa teyari sura ya muhusika iko wazi akiwa na tai yake.