Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo.

Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama wanaelewa nafasi ya tume katika mchakato wa uchaguzi.

Pikipiki aka bodaboda?

Yaani hawajui hata sheria zao wenyewe! Polepole ndiye amekuwa mkurugenzi wa tume sasa!
 
Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo.

Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama wanaelewa nafasi ya tume katika mchakato wa uchaguzi.

Pikipiki aka bodaboda?
HIVI NEC NA ofisi ya msajili ni kitukimoj
 
Sawa Mkuu nashukuru... ila eti nikifungulia kwenye VLC zinasoma vizuri tu
 
Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo.

Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama wanaelewa nafasi ya tume katika mchakato wa uchaguzi.

Pikipiki aka bodaboda?
Naamini unafahamu unachoki-instigate.

Unaongea kama hayawani kwa sababu unaamini wapo low minded watakaokubaliana na hoja zako
 
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Back
Top Bottom