Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

Kenya 2022 General Election
Ambacho huelewi ni kwamba,kila chombo cha habari kina maripota wake kwenye maeneo yote, kwahiyo taarifa za matokeo ya awali haziwezi kulingana. Ila matokeo ya jumla yatalingana,shida unaonekana umemzoea mfumo mfu wa CCM kufanya uhesabuji wa kura kuwa siri.

Kama kweli Tanzania inapenda democracy,ijifunze kutoka Kenya,no janja janjaa.
usichokijua ni kwamba IEBC imesema hayo matokeo yanayojumlishwa hawahusiki nayo. Sasa tusubiri mkeka wa Tume
 
Matokeo lazima yapishane kwa sasa maana kila chombo kina ma reporter kutoka maeneo tofauti tofauti ambako takwimu nazo ziko tofauti tofauti, ila yale ya mwisho yanaweza kulandana kwa kiasi kikubwa.
Masisiemu hayawezi kukuelewa mkuu, yana akili ndogo kama uchi wa sisimizi.

Yanama aibu kwa ujinga uliofanyika nchini mpaka wakazima mitandao.
 
HAKUNA SHIDA, FINAL SAY NI IEBC. MEDIA ZOTE ZINASISITIZA KUWA FINAL RESULTS NI IEBC, THEY ARE GIVING A WARNING TO THEIR VIEWERS, TENA ZOTE
But remember supporters believes everything good or positive the media says about their candidate no less no more.
 
Matokeo lazima yapishane kwa sasa maana kila chombo kina ma reporter kutoka maeneo tofauti tofauti ambako takwimu nazo ziko tofauti tofauti, ila yale ya mwisho yanaweza kulandana kwa kiasi kikubwa.
concern yangu ni kwamba team ya odinga na team Ruto wanajengewe mazingira na media kwmaba kila mtu anashinda. sasa matokeo ya IEBC ambayo ni final.
 
Ambacho huelewi ni kwamba,kila chombo cha habari kina maripota wake kwenye maeneo yote, kwahiyo taarifa za matokeo ya awali haziwezi kulingana. Ila matokeo ya jumla yatalingana,shida unaonekana umemzoea mfumo mfu wa CCM kufanya uhesabuji wa kura kuwa siri.

Kama kweli Tanzania inapenda democracy,ijifunze kutoka Kenya,no janja janjaa.
AFADHALI UMELIAMBIA UKWELI
 
But remember supporters believes everything good or positive the media says about their candidate no less no more.
My point is, they are being warned not to bank on these results! All media insist that the reliable, final and conxclusive results are from IEBC. sasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!
 
source ya mgogoro itakuwa hapa maana kuna watu wanajumlisha ,final IEBC wakiboronga wanazichapa
 
kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.

Mkuu mbona una mashaka sana,,,,Kwanini usiwaze Positive...??? Kwanini ufikirie kuwa Tume itatoa matokeo tofauti...

Nini hasa reasoning yako behind huo wasiwasi..???
 
My point is, they are being warned not to bank on these results! All media insist that the reliable, final and conxclusive results are from IEBC. sasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!
kwenye kuwaacha hapo ndo vurugu hutokea
sasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!
sio jambo jepesi sana mkuu
 
Mkuu mbona una mashaka sana,,,,Kwanini usiwaze Positive...??? Kwanini ufikirie kuwa Tume itatoa matokeo tofauti...

Nini hasa reasoning yako behind huo wasiwasi..???
wasiwasi ni kwamba media zinajengea watu kuamini juu ya jambo...sasa ikiwa vinginevyo itakuwa changamoto.
 
kwenye kuwaacha hapo ndo vurugu hutokea

sio jambo jepesi sana mkuu
najua kwa watu unreasonable na reactionaries, wataingia barabarani! kama haki imetendeka, sioni kwanini ufanye fujo. Consequences anazijua Mungu!
 
Kitu kimoja watu wasichojua ni kwamba wote wanachukua data kutoka chanzo kimoja IEBC website. Wanacho tofautiana kati ya chombo kimoja na kingine ni kupost more data za strong hold ya chama fulani ambapo kitamfanya mgombea wake kuonekana anaongoza.

Lakini ukweli ni kwamba hawatafofautiani na mwisho wote watafikia same outcome.

Pili, huu unaweza kuwa mkakati wa National security organs kila upande uwe na winning hopes kusiwe na vurugu ili kwenye last outcome ambapo tume ndio itatangaza pasi kuegemea upande.
 
Habari wakuu!

Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.

Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.

Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.

ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.

NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.

View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
yaani haya mataahira ya ccm ni mavi kabisa

hii ndio justification ya kuzuia freedom of speech?

bure kabisa

ndio mnapewa somo,na sisi watanzania tunataka hivi hivi....mpende msipende....uhuru wa uchaguzi mtajijua majambazi nyie
 
kuwa na akiba ya maneno kijana......
 
HILI NI COMMENT YA BARAZA LA HABARI NCHINI (MCT)
MCT.jpeg
 
My point is, they are being warned not to bank on these results! All media insist that the reliable, final and conxclusive results are from IEBC. sasa kama jitu halitaki hilo, basi mwache afanye anavyofikiria kama mpenzi wake hatatangazwa mshindi!
Sasa hapo unaposema mtu amesha onywa kuwa matokeo ya mwisho yatatolewa na tume. Na tume ikatangaza vinginevyo. Kenya is much politically volatile state. Hivyo Tafadhali ni muhimu. Vinginevyo Umenena vyema.
 
Kwa sasa serikali ya Kenya hawana wasiwasi maana hakuna wa kufanya fujo kwani mfanya fujo amepewa backup na mkikuyu Uhuru
 
Back
Top Bottom