- Thread starter
- #21
usichokijua ni kwamba IEBC imesema hayo matokeo yanayojumlishwa hawahusiki nayo. Sasa tusubiri mkeka wa TumeAmbacho huelewi ni kwamba,kila chombo cha habari kina maripota wake kwenye maeneo yote, kwahiyo taarifa za matokeo ya awali haziwezi kulingana. Ila matokeo ya jumla yatalingana,shida unaonekana umemzoea mfumo mfu wa CCM kufanya uhesabuji wa kura kuwa siri.
Kama kweli Tanzania inapenda democracy,ijifunze kutoka Kenya,no janja janjaa.