Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

Kenya 2022 General Election
Kwanza umecopy hii habari twitter,pili kwa akili yako ilivyo ndogo bila kuichambua ukaileta huku uchukue point lakini umeandika utumbo.

Kenya ni mfano wa kuigwa katika hili hata kama kuna dosari ndogo ndogo zitatokea.
 
Wewe ilitakiwa kipindi magu anakufa na wewe uende naye...akili finyu kabisa hii..ulitaka wafiche kama NEC ili waibe?
 
Habari wakuu!

Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.

Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.

Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.

ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.

NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.

View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747

Kwa hoja kama hizi ndio inaonyesha ni jinsi gani waTz tumepumbazwa kiakili na Serikali ya CCM

Wakenya wote wanajua Tume yao ndio itatoa matokeo halisi baada ya majumlisho yote
Lakini sisi makomdoo ya ccm tunaona bomu linatengenezwa....... hii nchi ya ajabu sana aisee
 
Ambacho huelewi ni kwamba,kila chombo cha habari kina maripota wake kwenye maeneo yote, kwahiyo taarifa za matokeo ya awali haziwezi kulingana. Ila matokeo ya jumla yatalingana,shida unaonekana umemzoea mfumo mfu wa CCM kufanya uhesabuji wa kura kuwa siri.

Kama kweli Tanzania inapenda democracy,ijifunze kutoka Kenya,no janja janjaa.

..ni utaratibu mzuri lakini unahitaji MABORESHO.

..VYOMBO vya habari vinatakiwa viboreshe huu utaratibu ili MATOKEO yakitoka ktk JIMBO fulani, basi vyombo vyote vinapata matokeo hayo kwa WAKATI mmoja.
 
Habari wakuu!

Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.

Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.

Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.

ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.

NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.

View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
Yaani wewe msukule wa ccm una akili kuliko time ya Uchaguzi wa Kenya. Hivi kwenye Uchaguzi kunahitajika usiri ili watu waibe kura. Kwa wenzetu wametuvua nguo kuona walikofika katika kiwango Cha democracy. Katika Uchaguzi huu.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana ndugu The unpaid Seller .
Nimeona uchungu ulionao katikati ya maandishi yako.
Pole sana.
Asante mkuu, Mungu ni mwema kuna faraja kwake japo kuna mida kumbukumbu zikija mtu unahisi kutamani kufa nao wadhulumu yani kama mbwai iwe mbwai.

Mtu unawaza kama amekufa ndugu yako wewe unaishi ili iweje wangekuja wakaniua na mimi nisiteseke kwa kumbukumbu hizi.
 
Habari wakuu!

Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.

Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.

Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.

ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.

NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.

View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
Hongera kwa thread. Kwa mtazamo wako unadhani hawa jamaa wana mtazamo kama wako? Kwamba hawajaliona hilo?
 
Nadhani kuna jambo umeliacha! Na umezongwa na taswira ya chaguzi za Tanzania (mostly). Kinachofanywa Kenya hakitoharibu jambo lolote kwasababu kura hazibadiliki kinachotokea ni vituo vinatofautiana kutokana na speed ya ujumlishaji matokeo! Lakin mwisho vyote zitakua na matoke sawa!
 
Habari wakuu!

Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.

Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.

Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.

ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.

NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.

View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
Wanafiki tu hao wanajifanya wanademokrasia
 
Mimi huwa ninasema hii nchi tatizo ni wananchi wenyewe , wananchi wengi nchi hii ni mazoba Sana na ni reflection ya hata hao mataahira wanajiita viongozi nchi hii , sasa huyo kiazi mtoa mada ameandika Huu upuuz hapa na anautetea kabisa , no wonder ndio Maana hata majeshi na serikali vinaweza kuabuse power any how nchi hii ,Maana wanajua maiti na misukule iliyomo Tanzania haiwezi kureact kivyovyote
Bora ukae kimya kuliko kujidhalilisha

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza umecopy hii habari twitter,pili kwa akili yako ilivyo ndogo bila kuichambua ukaileta huku uchukue point lakini umeandika utumbo.

Kenya ni mfano wa kuigwa katika hili hata kama kuna dosari ndogo ndogo zitatokea.
Mfano upi, kupigana na kuchinjana kila uchaguzi?, Sasa mbona vyombo vyote vimeacha kurusha matangazo baada ya kuonekana Kuna dalili za mparaganyiko?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu!

Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na kutangaza matokeo ya ugombea wa Urais.

Kwa kifupi mchezo uliofanywa na IEBC unaonekana kupongezwa ila ni wa hatari kiusalama kuliko inavyodhaniwa kwani kitendo cha kila chombo cha habari kujumlisha kisha kutangaza matokeo kimesababisha matokeo kupishana na kingine jambo ambalo litaacha mtafaruku mkubwa iwapo Tume itakapotoa matokeo tofauti na mwelekeo wa vyombo hivyo.

Ni kweli Uhuru wa habari ni mzuri lakini lazima uwe na mipaka, hili jambo sio la kuliombea nchini kikubwa ni kuwaombea Mungu matokeo ya Tume yasiwe tofauti sana na matokeo yanayowasilishwa kinyume na hapo majirani watachapana soon.

ANGALIA CHINI TOFAUTI YA TAKWIMU BAINA YA VYOMBO VYA HABARI.

NB: HADI MATOKEO YANAYOENDELEA HAYAHUSISHI KURA ZA MAGEREZANI NA BALOZI MBALIMBALI.

View attachment 2320745View attachment 2320746View attachment 2320747
Hamna bomu mkuu..
Umezoea uchaguzi wa kwenu..
 
Back
Top Bottom