Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Huu mkataba una matatizo ingawa sio mbovu kama hawa wanaoupinga. Kuna mambo mengi yamezushwa katika kupush agenda zao.
 
Nina maswali kadhaa kwako ndugu mleta hoja;

1. Ndugu Lord denning, hivi Tanzania mpaka sasa tumeingia makubaliano ya mashirikiano (IGA)na Dubai pekee au zipo IGA za mashirikiano na nchi zingine pia kama Canada, Kenya, Uganda, USA nk nk?

2. Kama ziko IGA zingine, unadhani ni kwanini hii inapingwa na kuleta mjadala mkali unaotugawa kama taifa? Unadhani ni kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan ni muislam au Mzanzibari na kwa sababu hizi anafanyiwa mtima nyongo tu?

3. Je, unaweza kuleta IGA kati ya Tanzania na nchi nyingine yoyote mfano USA au Canada ili tujaribu kulinganisha na hii ya Dubai tuone shida iko wapi?

LA MWISHO NA LA MUHIMU ZAIDI NI HILI👇👇👇

4. Hii IGA inayoleta mjadala is very confusing. It's confusing because haiko specific and straight kiasi cha kuwaacha watu in dilemma Kwa kujiuliza kuwa hivi haya ni makubaliano ya mashirikiano ya kiuchumi na kijamii (interGovernmental Agreements - IGA) kati ya nchi na nchi au ni mkataba wa kibiashara (business contract) kati ya TPA na DP WORLD?..

Nakuuliza swali hili kwa sababu hata nyie watetezi wa hii kitu mnapata shida kueleweka kwa sababu haileweki mnatetea IGA au mkataba wa kibiashara kati ya Tanzania na DP world au nchi ya Dubai kiasi cha kujichanganya mara kwa mara. Hata Bunge la Dr Tulia asiyeweza kutulia mpaka sasa halijui lilipitisha mkataba au makubaliano..!!

Hata hivyo, maandishi hayo yanaonesha moja Kwa moja kuwa huo ni mkataba wa kibiashara kwa sababu unataja eneo specific ambalo DP world watakakalo deal nalo yaani UWEKEZAJI KATIKA BANDARI ZETU ZOTE..

Na kama ndiyo hivi, basi huu ni mkataba wa kibiashara huo na hivyo basi hoja na maswali ya tunaoukataa mkataba huo ni lazima yajibiwe ndani ya mkataba (kisheria tunasema mkataba sharti ujisemee na kujitetea wenyewe). Wewe Lord denning na wenzako hamwezi kutetea mkataba kama wenyewe hauwezi kujitetea....!!

Maswali yetu ni mengi. Lakini makubwa ni kama vile; hivi mwekezaji anakuja (wekeza kiasi gani?), ukomo wa mkataba, wajibu wa mwekezaji ni upi, na sisi kama nchi wajibu na haki zetu ni zipi, nini matarajio ya manufaa (ajira, mapato nk) tukayopata sisi kama nchi nk nk..

Mwisho, unahangaika bure ndugu Lord denning. Hii kitu iko very clear kwamba kuna shida mahali. Na shida kubwa ni rushwa Kwa viongozi wetu tuliowapa dhamana kutuongoza kwenda Kanaani, lakini cha ajabu hawa watu wametuongoza kututumbukiza kwenye shimo la uchafu..

Kama hutaki kuelewa, basi let's go to war na mwisho wa siku itajulikana mshindi ni nani. Je, ni hawa wajiitao viongozi wetu au ni wananchi wenye nchi yao. And just to remind you, NGUVU YA UMMA - WANANCHI haijawahi kushindwa..!!
Msamehe bure huyo mleta mada. Alileta ligi ya kijinga na akakutana na mimi mjinga zaidi yake. Sasahivi uzi aliyeuanzisha mwenyewe anauogopa kama corona. Pumbavu zake
 
Nina maswali kadhaa kwako ndugu mleta hoja;

1. Ndugu Lord denning, hivi Tanzania mpaka sasa tumeingia makubaliano ya mashirikiano (IGA)na Dubai pekee au zipo IGA za mashirikiano na nchi zingine pia kama Canada, Kenya, Uganda, USA nk nk?

2. Kama ziko IGA zingine, unadhani ni kwanini hii inapingwa na kuleta mjadala mkali unaotugawa kama taifa? Unadhani ni kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan ni muislam au Mzanzibari na kwa sababu hizi anafanyiwa mtima nyongo tu?

3. Je, unaweza kuleta IGA kati ya Tanzania na nchi nyingine yoyote mfano USA au Canada ili tujaribu kulinganisha na hii ya Dubai tuone shida iko wapi?

LA MWISHO NA LA MUHIMU ZAIDI NI HILI👇👇👇

4. Hii IGA inayoleta mjadala is very confusing. It's confusing because haiko specific and straight kiasi cha kuwaacha watu in dilemma Kwa kujiuliza kuwa hivi haya ni makubaliano ya mashirikiano ya kiuchumi na kijamii (interGovernmental Agreements - IGA) kati ya nchi na nchi au ni mkataba wa kibiashara (business contract) kati ya TPA na DP WORLD?..

Nakuuliza swali hili kwa sababu hata nyie watetezi wa hii kitu mnapata shida kueleweka kwa sababu haileweki mnatetea IGA au mkataba wa kibiashara kati ya Tanzania na DP world au nchi ya Dubai kiasi cha kujichanganya mara kwa mara. Hata Bunge la Dr Tulia asiyeweza kutulia mpaka sasa halijui lilipitisha mkataba au makubaliano..!!

Hata hivyo, maandishi hayo yanaonesha moja Kwa moja kuwa huo ni mkataba wa kibiashara kwa sababu unataja eneo specific ambalo DP world watakakalo deal nalo yaani UWEKEZAJI KATIKA BANDARI ZETU ZOTE..

Na kama ndiyo hivi, basi huu ni mkataba wa kibiashara na hivyo basi hoja na maswali ya tunaoukataa mkataba huo kuwa hauko sawa ni lazima yajibiwe ndani ya mkataba (kisheria tunasema mkataba sharti ujisemee na kujitetea wenyewe). Wewe Lord denning na wenzako hamwezi kutetea mkataba kama wenyewe hauwezi kujitetea....!!

Maswali yetu ni mengi. Lakini makubwa ni kama vile; hivi mwekezaji anakuja (wekeza kiasi gani?), ukomo wa mkataba, wajibu wa mwekezaji ni upi, na sisi kama nchi wajibu na haki zetu ni zipi, nini matarajio ya manufaa (ajira, mapato nk) tukayopata sisi kama nchi nk nk..

Lakini maswali ni mengi zaidi Kwa viongozi wetu. Mfano kama hili ni jambo zuri ikawaje kufanya kama Siri hadi mkataba huu ulipovujishwa tu na serikali kukurupuka kujifanya kupekeka bungeni? Ni wapi na lini tenda ya kukaribishwa wawekezaji kwenye bandari zetu ilitangazwa? Kampuni gani ziliomba? Kwanini ni bandari za upande mmoja tu wa muungano - Tanganyika wakati bandari ni suala la muungano? Kwanini mwekezaji apewe bandari zote za bahari na maziwa yetu??? Kwanini??

Mwisho, unahangaika bure ndugu Lord denning. Hii kitu iko very clear kwamba kuna shida mahali. Na shida kubwa ni rushwa Kwa viongozi wetu tuliowapa dhamana kutuongoza kwenda Kanaani, lakini cha ajabu hawa watu wametuongoza kututumbukiza kwenye shimo la uchafu..

Kama hutaki kuelewa, basi let's go to war na mwisho wa siku itajulikana mshindi ni nani. Je, ni hawa wajiitao viongozi wetu au ni wananchi wenye nchi yao. And just to remind you, NGUVU YA UMMA - WANANCHI haijawahi kushindwa..!!
Hili swali ungewauliza hao wanaoipinga kuwa wana agenda gani?

Sio mimi!! Mimi nimeweka hoja mezani kama hauna majibu pita kama huioni!!
 
Usihamishe magoli. Toa majibu acha longolongo
Sijui akili zako huwa unazipeleka wapi wakati mwingine. Tukiondoa kipande hicho unachodandia wewe huo mkataba utakuwa mzuri?

Unakuja hapa na kujipiga piga ka-kifua kana kwamba umegundua jambo la maana sana, kumbe huna chochote?
 
Huu mkataba una matatizo ingawa sio mbovu kama hawa wanaoupinga. Kuna mambo mengi yamezushwa katika kupush agenda zao.
Ofcoz, huu mwanya wameuruhusu wenyewe waliotenda jambo hili baya kabisa. Wangekuwa na akili, wangeshachukua hatua sahihi mapema kulirekebisha kabla ya uharibifu zaidi kuwapata..

Lakini cha ajabu, wamekomaa na zigo lao la mavi kichwani wanatembea nchi nzima kujitetea na kila wapojitahidi kujitetea ndivyo wanavyoshindwa kueleweka kwa umma!!

These people are truly very stupid..!

Na kwa kuwa walioboronga ni wanasiasa wanaongoza serikali, it's obvious wanasiasa walio nje ya serikali na kwa kuwa nao lengo lao ni kuchukua dola, basi ni fursa kwao kutumia makosa yao hayo kama agenda ya kisiasa kuwapiga nayo mpaka wakose credibility na imani kwa umma...!!!

Hiyo ndiyo siasa brother. Do mistakes, then your opponent uses your mistakes to knock you down. Hata kama watakuwa wana exaggerate kama unavyodai, Yes, siasa ndivyo ilivyo. Hata wao wanajaribu kwa kila njia kufunika uchafu wao Kwa uongo juu ya uongo!!..... Hivyo, hili si la kushangaza kwenye siasa..!..
 
Hili swali ungewauliza hao wanaoipinga kuwa wana agenda gani?

Sio mimi!! Mimi nimeweka hoja mezani kama hauna majibu pita kama huioni!!
Umeweka hoja gani?

Umeanza kupotea na kushindwa kujibu maswali ya jambo ulilolianzisha mwenyewe, au siyo?
 
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Kwahiyo sisi ambo tumesha verify identity tukijibu utatufanyia kipi?
 
Angalia mikataba ya wenzenu inavyoshiba.
 
Attachments

  • sha_eng_hga_host_government_agreement_azerbaijan__english_.pdf
    245.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom