Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

namtumia salamu mama na baba na ukoo wote wa watu8 popote ulipo hapa nchini chitchat

namtumia salamu ndugu yangu wa karibu tuliyepotezana naye miaka mingi iliyopita mathematics pokea :nimekataa

natuma salamu kwa wana chitchat woooote popote mlipo muwe
* nchi iliyojaa asali na maziwa yaani - cc
* nchi yenye ukengeufu na upotofu wa wanadamu - ...........................
* nchi yenye vijimambo vyenye kushangaza na kustaajibisha INTELLIGENCE
* nchi yenye usodoma na ugomola MMU
* nchi iliyojaa stress za kubamizwa na kuwekezwa pasipo na sababu - SIASA
* nchi yenye virutubisho vingi vya kujenga na kubomoa mwili - MAPISHI
* nchi iliyojaa vioja , vitimbi, vimwamba, ukengeufu wa maadili na kupenya kwa digitale - JUKWAA LA PHOTO

Wote mtokeao maeneo niliyoyataja na nisiyoyataja

UJUMBE: Tupendane na kudumisha urafiki wa chitchat salamu club
 
Last edited by a moderator:
Asante sna swahiba nami pia natuma salamu sana kwako chief mwenzangu Madame B, Elnino bila kumsahau Bacha, Superman, na wengine wooote wa jukwaaa tuamu Big Lady upo dia mic uuuuu....
Ujumbe bila M b oo hakuna K um aaa:madgrin:

Hapo kwa Bold...ndo mana yakeeeeeeeeeeeeee.
 
natuma salam kwa elzabeth maico bila kumsahau MAdam B na member wote wa jf. Ujumbe utu mbele fedha nyuma
 
Ha ha ha.. shansarie hebu ukuje hapa umuambie huyo jamaa yako kama wewe hujadukuliwa..

ucha ushankupe huwezi na hutaweza si unatarajia mapacha wewe ssa yanini kutaka kubemenda watoto kabla hawajazaliwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom