Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

Salamu zangu zimfikie babu Asprin, ujumbe finali uzeeni

Aburudishwe na wimbo ujana maji ya moto
 
Last edited by a moderator:
natuma salamu......kwa vichwa pazi wote wa jf,ambao wakinywa bia mbili tu wanaropoka mambo yao yote hazari. pili napenda kutuma salamu kwa dada zangu wote wa jf ambao ukiwa na gari tu hata ambulance hakukatai...tatu na mwisho napenda kutuma salamu kwa wazee wote wa jf walio zidi miaka hamsini wake/waume ambao bado meno ipo na wanakula mifupa wanatafuna vijana wa dogo....ujumbeUSINGIZI NI MWAZO WA UMASIKINI. naomba jimbo ya CHEUSI MAGALAA
 
Napenda kutuma salam kwa MziziMkavu,The boss,mimi49,Arushaone pamoja na wewe unaesoma hapa..ujumbe Tupendane
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
asante bestito kwa kunikumbuka katika kipindi cha RTD REDIO TANZANIA SALAMU CLUB
Natuma salam kwa mume wangu kipenzi Arushaone, shemeji zangu wa ukwee Erickb52, Mwanyasi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, PakaJimmy, @crushwise, sosoliso, kiwatengu, Mokoyo

bila kuwasahau dada zangu Passion Lady, ladyfurahia, charmingly, sweetlady, Ladymasa, my wii Heaven on Earth, mke mwenza Chocs Paloma mamy measkron na daddy watu8 pamoja na shemeji yangu mtarajiwa 24hrs.

Ujumbe: NAWAPENDA SANA
 
Ahsante kwa salaam, hata mimi nakupenda sana shem, hata brother yangu Arushaone anajua

hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
asante bestito kwa kunikumbuka katika kipindi cha RTD REDIO TANZANIA SALAMU CLUB

Halafu wewe mbona hujanipa salaam?
salaam zangu kwa ladyfurahia Arushaone King'asti Filipo Ladymasa KOKUTONA Mtambuzi na member wengine wote!
 
Last edited by a moderator:
Natuma salam kwa mume wangu kipenzi Arushaone, shemeji zangu wa ukwee Erickb52, Mwanyasi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, PakaJimmy, @crushwise, sosoliso, kiwatengu, Mokoyo

bila kuwasahau dada zangu Passion Lady, ladyfurahia, charmingly, sweetlady, Ladymasa, my wii Heaven on Earth, mke mwenza Chocs Paloma mamy measkron na daddy watu8 pamoja na shemeji yangu mtarajiwa 24hrs.

Ujumbe: NAWAPENDA SANA

Ahsante shem wangu wa ukweli Lady doctor.. Mie ninapenda kumsalimia adui wangu kwa muda huu kiwatengu.. Namuambia kila kiendacho mzunguko kinarudi mzunguko..
 
Last edited by a moderator:
Napenda kumtumia salamu mdogo Wangu mwekundu akiwa humu Jf.
Pili kwa kungwi wangu Lisa akiwa humuhumu Jf, Tatu na za mwisho napenda ziwafikie swahiba zangu wa Jukwaa letu la wakubwa... bacha, asakuta same, Evelyn Salt, Maria Roza, Polisi, Shark, SILENT WHISPER, Kimbweka na funzadume.
Ujumbe: MKONO MTUPU HAULAMBWI, LABDA UPAKWE ASALI
Wimbo: Solemba

As ante ndugu mtangazaji.

Asante sna swahiba nami pia natuma salamu sana kwako chief mwenzangu Madame B, Elnino bila kumsahau Bacha, Superman, na wengine wooote wa jukwaaa tuamu Big Lady upo dia mic uuuuu....
Ujumbe bila M b oo hakuna K um aaa:madgrin:
 
Natuma salamu kwa wabunge wote tz pamoja na Mawaziri na viongozi wote wastafu n.a. marais wastaaru nawatakia mchana mwema amin
 
Natuma salamu kwa familia ya Mr. watu8 na Mrs. wake measkron, sis wooooooote wanajijua bana hata wale wasiojulikana wote nawatumia salamu.

Pia nawakumbuka wana Chitchat wooote...
UJUMBE: Tukumbukane kupitia Chit Chat salamu club!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom