Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

nitumie salamu basi. wewe naye!...hadi nikulazimishe?. mia

hahahaaa...... Haya poa.
Natuma salamu kwa kaka yangu kipenzi figganigga, kabanga, Mr Rocky. Mtambuzi, MziziMkavu

Washkaji zangu Chimbuvu, Vin Diesel, Mapi, Himidini, grand amour, WA-UKENYENGE, Wisest man, Simplicity, mwungwana, The Boss, mathematics, Jiwe Linaloishi

na mashostito... Madame B, farkhina, The secretary, Sista, miss chagga, Ablessed, MwanajamiiOne, tinna cute, DEMBA, AshaDii christine ibrahim

UJUMBE: TUKUMBUKANE KWENYE POLL: MISS CHIT-CHAT 2013.

figganigga nimetumia fursa aisee maana safari moja huanzisha nyingine lol!
 
Last edited by a moderator:
Salaam zangu za kufungia Mwaka ziwaendee Mzee wa Rula ingawa kaninyima keki ya birthday, Pacha wangu wa ukweli ASAKuta Same, Shemeji Evelyn Salt, Ex-Zilipendwa wangu Madame B, Mkuu KakaKiiza, Mkuu Baba V, Mzee wa Majanga a.k.a Mganga wa Kienyeji MziziMkavu, The Robot himself Invisible, dada yangu wa ukweli AshaDii, Ritz akiwa na Mkuu wake chama, Wazee wa lile Jukwaa pale chini kabisa kina KIBANGA ampiga mkoloni, bacha, Lekanjobe Kubinika, Maria Roza, grafani11, Sumba-Wanga na wengineo weeengi tu!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa...... Haya poa.
Natuma salamu kwa kaka yangu kipenzi figganigga, kabanga, Mr Rocky. Mtambuzi, MziziMkavu

Washkaji zangu Chimbuvu, Vin Diesel, Mapi, Himidini, grand amour, WA-UKENYENGE, Wisest man, Simplicity, mwungwana, The Boss, mathematics, Jiwe Linaloishi

na mashostito... Madame B, farkhina, The secretary, Sista, miss chagga, Ablessed, MwanajamiiOne, tinna cute, DEMBA, AshaDii christine ibrahim

UJUMBE: TUKUMBUKANE KWENYE POLL: MISS CHIT-CHAT 2013.

figganigga nimetumia fursa aisee maana safari moja huanzisha nyingine lol!

Naomba rushwa.....
 
Natuma salamu kwa wanajeiefu wooote wanipendao na wanichukiao.

Mimi nawapenda nyinyi.

Ujumbe: ukiona mvua inanyesha sana, tunakumbushwa kupanda na kupalilia.
 
Natuma salamu kwa wanajeiefu wooote wanipendao na wanichukiao.

Mimi nawapenda nyinyi.

Ujumbe: ukiona mvua inanyesha sana, tunakumbushwa kupanda na kupalilia.
Angel Nylon mi nakupenda

ujumbe: brilliant future is based on forgotten past
 
Last edited by a moderator:
Ameen..... charminglady naomba sangara!

Haya jisevie....

7591882_orig.jpg

Sangara%2Bwasio%2Bkidhi%2Bvigezo%2B2.jpg
 
Last edited by a moderator:
Yani nimekuja mbio nikajua umenisalimu, kumbe unaniitia ziraili mtoa roho.

Moo yako ishike mwenyewe.

Sichezi tena na wewe.

Si nimeona full maupako nkajua Babu yangu kaokokaaa???

Afu yangu nshaishika mpaka basi.....

Uache kucheza na mimi uchekwe!!!!
 
salamu za mwanzo kabisa ziwadikie wake zangu wapenzi AshaDii gfsonwin na mke mupya kabisa barafu wangu DEMBA, akiwa pembeni yangu

Pili zimfikie homeboi wangu Asprin, akiwa kaunta ya juu Kingstaa, tatu zimfikie msiri wangu mwaJ, akiwa kule Sirari na Mwita Maranya. Tatu zimfikie mtawa mwallu akiwa parokiani, Heaven on Earth akiwa kinondoni shamba na bila kumsahau mwalimu wangu kipenzi wa vitendawili Madame B akiwa darasani 6B.

Bila kuwasaua wana CC woote.

Ujumbe: Jiko la shamba halichagui kuni

Wimbo: Neema wa DDC mlimani park

Salamu zimefika kwa shida kweli Kaizer. Kuna jirani alikuwa mjini ndio akazisikia. Huku redio haishiki mawimbi sawasawa.

Ujumbe: Ukimwona rafiki yangu best wa mabest papaaa Bujibuji msalimie na umwambie Mwita Maranya akipata pesa baada ya kuuza wale ng'ombe wa wizi atanipa nauli nije mjini.
 
Last edited by a moderator:
Natuma salamu zangu kwa kipenzi changu Chocs
Ujumbe: Nakupenda sana chunga sana na wanaokuvizia...hawana nia njema na penzi letu.
Take care eeh
mwaaaaaah

Pia natuma salamu kwa mke wangu wa ZAMANI Amyner nakumiss sana mpenzi...i miss everythng...i real miss those days...!

Natuma salamu kwa Arushaone na mkewe Lady doctor ,salamu kwa Vin Diesel , Dena Amsi , Mr Rocky Arabela YNNAH ( All the best) KOKUTONA , Dark City (Shikamoo babu) salamu kwa Avemaria
Dah ujumbe nawapenda woote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom