Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Yeah... Sasa bongo ukipata ajali ya baskeli polisi aje kufanya nini Mi mwenyewe nilikua natetemeka wasinipime pombe maana fine ingenihusu...luckly hakukuwa na gari nyuma yangu
Dah kwakweli yani
Lakini pole sana ndugu,
Yani kumbe hata majuu waweza kunywa tu kama huku bongo,!
Lakini huko angalau wako vizuri hadi unapelekwa hospital na ambulance tena kwa msaada wa police.

Huku bongo ajali ya baiskeli hawaihesabu kabisa.
 
Nakumbuka kaka yangu alikuwa katoka kuninunulia ndala yangu ya umoja soko mida ya jioni kama saa kumi 11 hivi

Baada ya kutoka sokoni akaja kuchukuwa ringi lake akaanza kukimbiza njiani nikawa na mimi nakimbiza langu kukimbiza umbali kidogo

Nilikutana na wanafunzi kama watatu wanaweka miguu kwenye shimo lile shimo lilikuwa limechimbwa kwa mduara upana kama ndoo kubwa tu ila refu kama mita 4 wakawa wanasema kuna joto zuri paka raha wakawa wanaweka miguu kwa pembeni tu wanatoka mm nikawa nawapimia tu walivyo toka tu na mimi nikaenda kufanya kama wao.

Kuweka mara ya kwanza nikatoka yapili ndala moja ikaanguka ndani kwa akili zangu nikasema ngoja nifate ndala yangu nilishuka kidogo tu nikanasa siendi chini siwezi kupanda juu nikawa nalia sauti ikawa inatoka ndogo sana nilikaa nikaanza kuishiwa nguvu

Nikajitaidi kulia tena ndio bahati nzuri kuna wanafunzi walikuwa wanapita wakasikia ndio kuja walijaribu kuniokoa wapi walipiga kelele ndio watu wakaja kunivuta wapi ilibidi wachimbe pembeni walichimba paka saa mbili usiku ndio nikatolewa nikiwa hoi uwa nikikumba pale nilinusa kifo kabisa ata kupumua ilikuwa kwa shida sana namshukuru Mungu paka leo bado nipo hai
 
Nakumbuka kipindi Nipo shule ya msingi ..shule yetu haikua mbali sana na mto ..tulikua na tabia kila tukitoka shule lazima twende kuogelea basi bwana siku hiyo tukabebana wenyewe hadi mtoni..na kipindi icho kilikua kipindi cha mvua nyingi na mto ulikua umejaa sana

Tukafika eneo husika tukaanza kuoga bana..Mimi nikawa najifanya muogeleaji niliekubuhu nikawa naelekea kwenye maji mengi.. Sasa kumbe kuna sehemu kulikua na shimo..nimefika hilo eneo naona nazidi kushuka chini..nilikua najiona kabisa ile siku ndio nakufa ..bahati nzuri kuna wadada walikua wanafua mmoja akaona tumkono twangu tunaelea..alitupa beseni la nguo akaja kuniwahi akanibinya nilitapika maji siku hiyo..siwezi isahau tangu hapo wenzangu walikua wakinambia kuogelea nabaki kuwashikia mabegi tu.
 
Story yangu inaanza kama ifuatavyo baada ya kumaliza shughuli zangu za kuuza chipsi usiku napita karbu na nyumba ya jiran namsikia bwana mifugo akimwambia jiran yangu ambae ngombe wake alkuwa kasha dead amzike Mara moja kwani alkuwa ana anthrax basi nikaendelea kupeleleza nkaona alpomzka walipomaliza walivyoondoka nikaenda mfukua skuwa na gloves nikavaa mifuko ya Rambo maana nlsikia akisema ugonjwa ni hatar unaambukzwa na bacteria aina ya bacillus anthrax sjui kama nimepatia spelling au laa ila hayanihusu basi tuendelee na story basi bwana nikamuosha nikamkatakata vipande kesho nikamuuze mishkak vipande vilivyobakia nikampa mshkaj aweke kwenye freezer lake maana anatuchaj per day bwana nikauza wee mara watu wakaanza kuanguka baada ya kula wengne kutapika na kuhara palepale RAIA waliponishtukia wakaanza nikimbiza na mapanga wengine magongo sauti zilisikika zikisema "lazma tukukate vipandevipande" kwa bahat nzur kulikuwa kuna fuso sjui Lori hata skumbuk vzr lilikuwa linaanza kuondoka sjui lilikuwa linaenda WAP bas bwana nikalidandia baada ya masaa mawil mule ndan ya fuso simu yangu inaita mama mwenye nyumba anasema upo WAP mbona kuna polis wanakutafuta hapa nikakata Sm mara tena simu inaitaa kapiga RFK take yule mshkaj anatuifadhia nyama akasema nyama yako ina nn jamaa alikuibia kdogo kaenda itumia gheto sahiv ninavyokwambia tumemuwahisha hospital nikakata Sm .gar likiwa linaenda ktk kukaguakagua mule ndan nikakuta magunia kuyacheck ndani naona bangi pia kulikuwa na madawa mengne syajui kumbe skudandia fuso nilidandia kifo Mara gar likasimama kumbe hlo eneo kulikuwa na police patrol nkasikia shuken wote tukague gari
Upo kuzimu sehemu gani hii story uwezi kupona kabisa lazima ufe tu
 
wengi wenu humu mngekufa kwa kuharisha..

okey mimi wakati niko na miaka mi5 nikiwa na pacha wangu, marehemu kwa sasa, niliwasha kiberiti tukiwa kitandani, moto ukaniunguza nikakitupa godoro likashika moto, nikashuka nikatoka mbio kumwita baba ambaye alikuwa nje, kurudi ndani dadayangu alikuwa ndio anajitahidi kutoka mle ndani, lakini alikuwa amevuta moshi mwingi, baada ya muda alipatwa na ugonjwa flani anakuwa anakakamaa hivi, na baada ya siku tatu alifariki dunia..nikabaki mimi apa...kwa msaada wa bi mkubwa ndio alikuja nihadithia baada ya kuwa na akili timamu..
Dah. Uliua dada yako
 
Dah kwakweli yani
Lakini pole sana ndugu,
Yani kumbe hata majuu waweza kunywa tu kama huku bongo,!
Lakini huko angalau wako vizuri hadi unapelekwa hospital na ambulance tena kwa msaada wa police.

Huku bongo ajali ya baiskeli hawaihesabu kabisa.
Walicheki ubongo na uti wa mgongo yani x-rays ct-scan na MRI .. Nakuniambia tutakulaza for 2 days tuone kama kuona effect yoyote.. Ulaya kupelekwa ICU ni kitu simple tuu... Kunywa pombe unaendesha ni hatari huku utapigwa fine ya mshahara wako wa miezi mingi na jela unaweza kwenda unaruhusiwa kunywa 1glass ya wine au bia chupa moja tu.. Ukizidisha ni kosa
 
Nakumbuka kaka yangu alikuwa katoka kuninunulia ndala yangu ya umoja soko mida ya jioni kama saa kumi 11 hivi

Baada ya kutoka sokoni akaja kuchukuwa ringi lake akaanza kukimbiza njiani nikawa na mimi nakimbiza langu kukimbiza umbali kidogo

Nilikutana na wanafunzi kama watatu wanaweka miguu kwenye shimo lile shimo lilikuwa limechimbwa kwa mduara upana kama ndoo kubwa tu ila refu kama mita 4 wakawa wanasema kuna joto zuri paka raha wakawa wanaweka miguu kwa pembeni tu wanatoka mm nikawa nawapimia tu walivyo toka tu na mimi nikaenda kufanya kama wao.

Kuweka mara ya kwanza nikatoka yapili ndala moja ikaanguka ndani kwa akili zangu nikasema ngoja nifate ndala yangu nilishuka kidogo tu nikanasa siendi chini siwezi kupanda juu nikawa nalia sauti ikawa inatoka ndogo sana nilikaa nikaanza kuishiwa nguvu

Nikajitaidi kulia tena ndio bahati nzuri kuna wanafunzi walikuwa wanapita wakasikia ndio kuja walijaribu kuniokoa wapi walipiga kelele ndio watu wakaja kunivuta wapi ilibidi wachimbe pembeni walichimba paka saa mbili usiku ndio nikatolewa nikiwa hoi uwa nikikumba pale nilinusa kifo kabisa ata kupumua ilikuwa kwa shida sana namshukuru Mungu paka leo bado nipo hai
Aisee pole mkuu
 
Nakumbuka kipindi Nipo shule ya msingi ..shule yetu haikua mbali sana na mto ..tulikua na tabia kila tukitoka shule lazima twende kuogelea basi bwana siku hiyo tukabebana wenyewe hadi mtoni..na kipindi icho kilikua kipindi cha mvua nyingi na mto ulikua umejaa sana

Tukafika eneo husika tukaanza kuoga bana..Mimi nikawa najifanya muogeleaji niliekubuhu nikawa naelekea kwenye maji mengi.. Sasa kumbe kuna sehemu kulikua na shimo..nimefika hilo eneo naona nazidi kushuka chini..nilikua najiona kabisa ile siku ndio nakufa ..bahati nzuri kuna wadada walikua wanafua mmoja akaona tumkono twangu tunaelea..alitupa beseni la nguo akaja kuniwahi akanibinya nilitapika maji siku hiyo..siwezi isahau tangu hapo wenzangu walikua wakinambia kuogelea nabaki kuwashikia mabegi tu.
Haha ukabaki kuwa mbeba mabegi. Pole dear
 
Story yangu inaanza kama ifuatavyo baada ya kumaliza shughuli zangu za kuuza chipsi usiku napita karbu na nyumba ya jiran namsikia bwana mifugo akimwambia jiran yangu ambae ngombe wake alkuwa kasha dead amzike Mara moja kwani alkuwa ana anthrax basi nikaendelea kupeleleza nkaona alpomzka walipomaliza walivyoondoka nikaenda mfukua skuwa na gloves nikavaa mifuko ya Rambo maana nlsikia akisema ugonjwa ni hatar unaambukzwa na bacteria aina ya bacillus anthrax sjui kama nimepatia spelling au laa ila hayanihusu basi tuendelee na story basi bwana nikamuosha nikamkatakata vipande kesho nikamuuze mishkak vipande vilivyobakia nikampa mshkaj aweke kwenye freezer lake maana anatuchaj per day bwana nikauza wee mara watu wakaanza kuanguka baada ya kula wengne kutapika na kuhara palepale RAIA waliponishtukia wakaanza nikimbiza na mapanga wengine magongo sauti zilisikika zikisema "lazma tukukate vipandevipande" kwa bahat nzur kulikuwa kuna fuso sjui Lori hata skumbuk vzr lilikuwa linaanza kuondoka sjui lilikuwa linaenda WAP bas bwana nikalidandia baada ya masaa mawil mule ndan ya fuso simu yangu inaita mama mwenye nyumba anasema upo WAP mbona kuna polis wanakutafuta hapa nikakata Sm mara tena simu inaitaa kapiga RFK take yule mshkaj anatuifadhia nyama akasema nyama yako ina nn jamaa alikuibia kdogo kaenda itumia gheto sahiv ninavyokwambia tumemuwahisha hospital nikakata Sm .gar likiwa linaenda ktk kukaguakagua mule ndan nikakuta magunia kuyacheck ndani naona bangi pia kulikuwa na madawa mengne syajui kumbe skudandia fuso nilidandia kifo Mara gar likasimama kumbe hlo eneo kulikuwa na police patrol nkasikia shuken wote tukague gari
hii Kali kinyama
 
Nakumbuka kaka yangu alikuwa katoka kuninunulia ndala yangu ya umoja soko mida ya jioni kama saa kumi 11 hivi

Baada ya kutoka sokoni akaja kuchukuwa ringi lake akaanza kukimbiza njiani nikawa na mimi nakimbiza langu kukimbiza umbali kidogo

Nilikutana na wanafunzi kama watatu wanaweka miguu kwenye shimo lile shimo lilikuwa limechimbwa kwa mduara upana kama ndoo kubwa tu ila refu kama mita 4 wakawa wanasema kuna joto zuri paka raha wakawa wanaweka miguu kwa pembeni tu wanatoka mm nikawa nawapimia tu walivyo toka tu na mimi nikaenda kufanya kama wao.

Kuweka mara ya kwanza nikatoka yapili ndala moja ikaanguka ndani kwa akili zangu nikasema ngoja nifate ndala yangu nilishuka kidogo tu nikanasa siendi chini siwezi kupanda juu nikawa nalia sauti ikawa inatoka ndogo sana nilikaa nikaanza kuishiwa nguvu

Nikajitaidi kulia tena ndio bahati nzuri kuna wanafunzi walikuwa wanapita wakasikia ndio kuja walijaribu kuniokoa wapi walipiga kelele ndio watu wakaja kunivuta wapi ilibidi wachimbe pembeni walichimba paka saa mbili usiku ndio nikatolewa nikiwa hoi uwa nikikumba pale nilinusa kifo kabisa ata kupumua ilikuwa kwa shida sana namshukuru Mungu paka leo bado nipo hai
Duh pole sana mkuu, kwahyo unataka kusema ulitanguliza kichwa shimoni miguu juu ndo ukanasa ukiwa hvyo??
 
Nakumbuka kipindi Nipo shule ya msingi ..shule yetu haikua mbali sana na mto ..tulikua na tabia kila tukitoka shule lazima twende kuogelea basi bwana siku hiyo tukabebana wenyewe hadi mtoni..na kipindi icho kilikua kipindi cha mvua nyingi na mto ulikua umejaa sana

Tukafika eneo husika tukaanza kuoga bana..Mimi nikawa najifanya muogeleaji niliekubuhu nikawa naelekea kwenye maji mengi.. Sasa kumbe kuna sehemu kulikua na shimo..nimefika hilo eneo naona nazidi kushuka chini..nilikua najiona kabisa ile siku ndio nakufa ..bahati nzuri kuna wadada walikua wanafua mmoja akaona tumkono twangu tunaelea..alitupa beseni la nguo akaja kuniwahi akanibinya nilitapika maji siku hiyo..siwezi isahau tangu hapo wenzangu walikua wakinambia kuogelea nabaki kuwashikia mabegi tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daa ulinyooka
 
USHUHUDA wangu mimi :

Mimi mwaka 1998, nikiwa nasoma primary huko Arusha tulikuwa na tabia ya kutoroka kipindi cha dini siku ya ijumaa na kuondoka na wanafunzi wa kiislam waliokuwa pekee wanaruhusiwa kwenda nje ya campus ya shule kwenda msikitini.

Tulikuwa tunatembea na manati kulenga ndege na kwenda kuogelea mto themi. (Wakati huo ulikuwa na maji mengi sana hata kuuvuka ni tabu)

Siku moja tukaenda kuogelea wanne...mmoja alikuwa mdg zaidi wakati wa kuogelea tukafika mahali penye kina kirefu haswa na kuogelea penyewe hatujui vizuri...nilikunywa maji haswa mpaka tumbo likajaa tukaja nikaja kutapishwa maji na jamaa mmoja alikuwa anakata ndizi shambani.

Wakati nipo nje natetemeka baridi nikakumbuka yule dogo alikuwa kwny maji...akaibuka mara moja na kuniambia kwa sauti

"MUAGE MAMA YANGU" wakati huo mimi nilikuwa na begi lake la sport, viatu na soksi miguuni kwangu.

Rafiki yangu tena alihamia kutoka shule ya msingi huko Moshi na tulikuwa tunakaa siti moja alifia palepale....sintosahau anaitwa ROMAN ARMANDO MLAKI.

Siku ya kumzika tulienda wanafunzi wa karibu darasa zima na yawezekana hata hapa wapo wanaomkumbuka na siku ya kuvunja matanga nikapewa vile viatu vyake, sox na madaftari.

Ilikuwa ni Mazishi ya KWANZA mimi kuhudhuria na nlikuwa kama naota vile.

Watu wakawa wanasema hajafa kachukuliwa na Chunusi...mpk leo sijui chunusi ni nini.
ilikua shule gani Mani!?
 
Nakumbuka kipind niko sekondari tulikua tunapita shortcut njia ya mtoni siku hyo mvua imenyesha mto ukajaa na ujeur wetu tukasema acha tupite huko huko.

Tumevuka kidaraja cha kwanza cha mnazi fresh tu sehem ya pila daraja ni chasis ya roli, tunapita kwa kuruka ruka huku na huku hamadi nmeangusha kiatu.

Nkasema ngoja nikiwah ahaa wapi nilibebwa na maji ya mvua nikazama na kuibuka kama mara mbili hvi ya tatu naona matete haya hapa nikayakamata.

Kumbe ule upande wenye matete ni upande wapil wenzangu wako ng'ambo ikabd washikane mikono kuja kunivuta aisee nmetoka pale nmepoteza viatu vyote na begi la madaftari nkarud home kimyaa mpka leo sijawah kusema kwa familia kama nilnusurika kubebwa na Maji.
 
Haha pole mdau ila pamoja na hayo bado hujaacha utundu unataka hadi upatwe na nini?
 
Back
Top Bottom