Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Mpanda miti mwenzio audacious
Poleee sana,

Kwa upande wangu, kuna simbilis moja almanusra inifanye nipak vitu vyangu niondoke duniani, shenzi sana, mapenzi haya

Anyway.. tuyaache hayo

miaka ya Nyuma kidogo hapo, nikiwa kama standard three hv au two, nikiwa kwa babu mzaa mama moshi vijijin huko, siku moja nimepanda juu ya mti wa mmerez, (kwa wanao ifahamu hii miti ukiwa umekomaa n mrefu sana) nilikua naupunyua matawi, bwana wee huku na huko nimekata tawi lina kama V hv, hiyo V si ikaja ikanivaa shingon kama tai hv... nilijaribu kulivua weee lakn wapi, huku na huko wapi (nilikua bado mdogo, chini ya miaka 10) so uamuz wa haraka ukanijia nijiachie tu nidondoke nalo, nikaachia panga likatangulia kwanza... Yaan ilitokea kama miujiza vile, ile nataka kujiachia tu likanivuka lenyewe, niko hoi bin taaban hapo, nguvu zenyewe zalisha anza kuisha, nikashuka nikaenda kulala
 
Nilivyokuwa mdogo niliingia barabarani ghafla kuna Landrover ilikuwa spidi balaa , breki ya kwanza ikaja kusimama mbele ya bichwa langu hadi leo nakumbuka mvuke wa ile injini watu walikuwa wanafoka lakini sikumbuki chochote Zaidi ya ule mvuke na jinsi mwili ulivyokuwa unatetemeka.

Ya pili sitaki hata kuongelea japo siamini dini kihivyo lakini kuna Mungu na Guardian angel somewhere.
 
Story yangu inaanza kama ifuatavyo baada ya kumaliza shughuli zangu za kuuza chipsi usiku napita karbu na nyumba ya jiran namsikia bwana mifugo akimwambia jiran yangu ambae ngombe wake alkuwa kasha dead amzike Mara moja kwani alkuwa ana anthrax basi nikaendelea kupeleleza nkaona alpomzka walipomaliza walivyoondoka nikaenda mfukua skuwa na gloves nikavaa mifuko ya Rambo maana nlsikia akisema ugonjwa ni hatar unaambukzwa na bacteria aina ya bacillus anthrax sjui kama nimepatia spelling au laa ila hayanihusu basi tuendelee na story basi bwana nikamuosha nikamkatakata vipande kesho nikamuuze mishkak vipande vilivyobakia nikampa mshkaj aweke kwenye freezer lake maana anatuchaj per day bwana nikauza wee mara watu wakaanza kuanguka baada ya kula wengne kutapika na kuhara palepale RAIA waliponishtukia wakaanza nikimbiza na mapanga wengine magongo sauti zilisikika zikisema "lazma tukukate vipandevipande" kwa bahat nzur kulikuwa kuna fuso sjui Lori hata skumbuk vzr lilikuwa linaanza kuondoka sjui lilikuwa linaenda WAP bas bwana nikalidandia baada ya masaa mawil mule ndan ya fuso simu yangu inaita mama mwenye nyumba anasema upo WAP mbona kuna polis wanakutafuta hapa nikakata Sm mara tena simu inaitaa kapiga RFK take yule mshkaj anatuifadhia nyama akasema nyama yako ina nn jamaa alikuibia kdogo kaenda itumia gheto sahiv ninavyokwambia tumemuwahisha hospital nikakata Sm .gar likiwa linaenda ktk kukaguakagua mule ndan nikakuta magunia kuyacheck ndani naona bangi pia kulikuwa na madawa mengne syajui kumbe skudandia fuso nilidandia kifo Mara gar likasimama kumbe hlo eneo kulikuwa na police patrol nkasikia shuken wote tukague gari
Wee jamaa ni story kunogesha jukwaa au kweli???
 
Kijijini wanajua. Kipimo cha kilo na lita ni vitu viwili tofauti. Wanaweza kuwa wanaita kivingine ila wanayoakili ya kutofautisha maji na unga.
I want to say something but am holding back. Ni wapi nimesema hawajui kutofautisha kilo na lita? Someone help me...hivi ni kweli hakuna sehemu amnayo wanapima mahindi, maharagwe viazi n.k kwenye lita? Hivi mtu wa kijijini ametoka shambani na njegere zake au huyo muokota kumbikumbi ametoka zake huko kuziokota hiyo kilo ya kupimia akaichukulie wapi? Madam why must we argue over something so insignificant? Hivi hata hapa Dar ukipita barabarani humo watu wanauza njegere mbichi kwenye lita moja au nne au mwenzetu mitaa ya huku uswahilini hujawahi kupita we wapitaga tu masaki?
 
Ooh maskini my Daby ningekukosa hivihivi
Ya pili.

Ya pikipiki..Napenda kucheza nazo.

Dar wenye pikipiki hawazifurahii. Simaanishi boxer wala Toyo wala King lion au sanLG.

Hii barabara ya Mwl nyerere imenyooka bhana. Siku nimeenda kurekebisha Pikipiki pale Banana kijiweni kuna fundi alikuwa anaitwa Rasta (RIP). Tukabebana huyu jamaa nimeskia juzi kati kafariki chuga akiwa anacheza na Baja akaingia ndani ya Scania...walichofanya ni kuokota vipande vya mwili wake na kwenda kuzika.

Sasa tumefika hapa kiwanda cha Sabuni akaipa..mbele kuna Eicher jamaa akataka kui-overtake na tulikuwa upande wa kushoto mwa barabara....Baja hazina side mirror kama inayo yako katoe.

ile kuingia kumbe nyuma yetu gari ya taka jamaa kaipa yote inawahi mataa ya vingunguti...daah ilipita vuuuu abiria wa eicher hadi wakapiga kelele...yaani ilibaki sekunde tuchotwe na nilikuwa nyuma.

Huyu jamaa kafariki chuga kwasababu hii.
 
I want to say something but am holding back. Ni wapi nimesema hawajui kutofautisha kilo na lita? Someone help me...hivi ni kweli hakuna sehemu amnayo wanapima mahindi, maharagwe viazi n.k kwenye lita? Hivi mtu wa kijijini ametoka shambani na njegere zake au huyo muokota kumbikumbi ametoka zake huko kuziokota hiyo kilo ya kupimia akaichukulie wapi? Madam why must we argue over something so insignificant? Hivi hata hapa Dar ukipita barabarani humo watu wanauza njegere mbichi kwenye lita moja au nne au mwenzetu mitaa ya huku uswahilini hujawahi kupita we wapitaga tu masaki?
Mimi sijaargue na wewe. Unakuza mambo bila sababu. Ulivyosema kumbikumbi lita moja nimeelewa km ni kitu cha kimiminika. Km kuna chombo cha kipimo kinaitwa lita ni suala la kunielewesha. Najua kuna vipimo km kibaba na vingine. Lkn ukisema tu unga lita moja mimi siwezi elewa. Ungenielewesha tu vzr. Binafsi ndo nimesikia leo.
Sibishani na mtu. Kwaheri!
 
Hata mimi namaanisha hapo kwenye kipimo maana ulivyopashupalia utasema vijiji vyote vya Tanzania wavijua, kama hujawahi kusikia tulia
Hapana inaweza ikawa ni kweli. Ila nimeshangaa maana sijawahi sikia. Tatizo langu ni kipimo sio story yako.
 
Hebu ongelea bwana..watu mnatokewa na Mungu laivu ila bado wabishii
Nilivyokuwa mdogo niliingia barabarani ghafla kuna Landrover ilikuwa spidi balaa , breki ya kwanza ikaja kusimama mbele ya bichwa langu hadi leo nakumbuka mvuke wa ile injini watu walikuwa wanafoka lakini sikumbuki chochote Zaidi ya ule mvuke na jinsi mwili ulivyokuwa unatetemeka.

Ya pili sitaki hata kuongelea japo siamini dini kihivyo lakini kuna Mungu na Guardian angel somewhere.
 
wengi wenu humu mngekufa kwa kuharisha..

okey mimi wakati niko na miaka mi5 nikiwa na pacha wangu, marehemu kwa sasa, niliwasha kiberiti tukiwa kitandani, moto ukaniunguza nikakitupa godoro likashika moto, nikashuka nikatoka mbio kumwita baba ambaye alikuwa nje, kurudi ndani dadayangu alikuwa ndio anajitahidi kutoka mle ndani, lakini alikuwa amevuta moshi mwingi, baada ya muda alipatwa na ugonjwa flani anakuwa anakakamaa hivi, na baada ya siku tatu alifariki dunia..nikabaki mimi apa...kwa msaada wa bi mkubwa ndio alikuja nihadithia baada ya kuwa na akili timamu..
 
Mimi sijaargue na wewe. Unakuza mambo bila sababu. Ulivyosema kumbikumbi lita moja nimeelewa km ni kitu cha kimiminika. Km kuna chombo cha kipimo kinaitwa lita ni suala la kunielewesha. Najua kuna vipimo km kibaba na vingine. Lkn ukisema tu unga lita moja mimi siwezi elewa. Ungenielewesha tu vzr. Binafsi ndo nimesikia leo.
Sibishani na mtu. Kwaheri!
Wewe umesema lita huwa inatumika kupimia kimiminika umejuaje kama hujui kuna hicho kipimo? Wasalimie uendako
 
Back
Top Bottom