Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Story yangu inaanza kama ifuatavyo baada ya kumaliza shughuli zangu za kuuza chipsi usiku napita karbu na nyumba ya jiran namsikia bwana mifugo akimwambia jiran yangu ambae ngombe wake alkuwa kasha dead amzike Mara moja kwani alkuwa ana anthrax basi nikaendelea kupeleleza nkaona alpomzka walipomaliza walivyoondoka nikaenda mfukua skuwa na gloves nikavaa mifuko ya Rambo maana nlsikia akisema ugonjwa ni hatar unaambukzwa na bacteria aina ya bacillus anthrax sjui kama nimepatia spelling au laa ila hayanihusu basi tuendelee na story basi bwana nikamuosha nikamkatakata vipande kesho nikamuuze mishkak vipande vilivyobakia nikampa mshkaj aweke kwenye freezer lake maana anatuchaj per day bwana nikauza wee mara watu wakaanza kuanguka baada ya kula wengne kutapika na kuhara palepale RAIA waliponishtukia wakaanza nikimbiza na mapanga wengine magongo sauti zilisikika zikisema "lazma tukukate vipandevipande" kwa bahat nzur kulikuwa kuna fuso sjui Lori hata skumbuk vzr lilikuwa linaanza kuondoka sjui lilikuwa linaenda WAP bas bwana nikalidandia baada ya masaa mawil mule ndan ya fuso simu yangu inaita mama mwenye nyumba anasema upo WAP mbona kuna polis wanakutafuta hapa nikakata Sm mara tena simu inaitaa kapiga RFK take yule mshkaj anatuifadhia nyama akasema nyama yako ina nn jamaa alikuibia kdogo kaenda itumia gheto sahiv ninavyokwambia tumemuwahisha hospital nikakata Sm .gar likiwa linaenda ktk kukaguakagua mule ndan nikakuta magunia kuyacheck ndani naona bangi pia kulikuwa na madawa mengne syajui kumbe skudandia fuso nilidandia kifo Mara gar likasimama kumbe hlo eneo kulikuwa na police patrol nkasikia shuken wote tukague gari
 
Halafu ikawaje

Malizia story
 
Unaendesha pikipiki kwenda Kawetere hill pikipiki ni Bajaj CT 100 umetoka zako Mwanjelwa unapita ya mkato ukatokee Isanga uendelee na safari ukiwa moto mwingi huku umeongozana na Bajaj miguu mitatu anakunja kulia bila indication nawe ulikuwa unamovateki unamgonga ubavuni maana ulikuwa machafu kapikipiki kanarushwa kule na wewe unatupwa mtaroni unazimia izraeli anakuja anakufikisha mlango wa kaburi Mungu anakuokoa...unazinduka kutoka kuzimia unajikuta upo rufaa kitengo cha mifupa umetundikiwa madripu...unawauliza "eti nilikufa?...wanakujibu hapana ISHIA KUSIKIA KWA WENZIO YASIKUKUTE
 
Near death experiance ilinikuta darasa la 4 hiyo,tumechukuana wanne tukaogelee posta hapa pembeni ya pastoni.

Sasa pale kina chake tofauti na sehemu nyingine, hatua tano tu unazama ukizingatia nilikuwa mdogo.

Nakumbuka tulivua sare zetu za shule ya msingi maana tulitoroka shule siku hiyo.Hazikupita hata dk.10 nilikuwa naogelea maji ya kifuani si ndo nikarudi nyuma,kumbe hukohuko kwenye maji kuna shimo ghafla nilivyorudi nyuma hatua moja nikatumbukia.Nilipiga vikombe vyangu vya kutosha bahati nzuri mmoja kati yetu alikuwa darasa la 7 halafu ni mtoto wa bagamoyo,maji anayajua,basi ndo akaja niokoa,nikatoka nje nikawa nimekaa nalinda nguo macho mekundu nimetulia kama ndezi vile.Nashangaa shangaa
Haha pole mkuu nimecheka ulivyomalizia hapo mwisho
 
Back
Top Bottom