Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Kuna siku niliumwa tumbo nikiwa alone nikasema leo nakufa nikawa naomba toba kimoyomoyo tena ukifkiria sku hiyo hiyo nilikua na mgonjwa ndugu yang hosp anafanyiwa operation ya tumbo.

Baada ya kumaliza kuomba nikajisemea kimoyo moyo liwalo naliwe nkapanda kitandan baada ya masaa 2 likapoa. Nilishukuru sana
Aisee pole sana
 
Story yangu inaanza kama ifuatavyo baada ya kumaliza shughuli zangu za kuuza chipsi usiku napita karbu na nyumba ya jiran namsikia bwana mifugo akimwambia jiran yangu ambae ngombe wake alkuwa kasha dead amzike Mara moja kwani alkuwa ana anthrax basi nikaendelea kupeleleza nkaona alpomzka walipomaliza walivyoondoka nikaenda mfukua skuwa na gloves nikavaa mifuko ya Rambo maana nlsikia akisema ugonjwa ni hatar unaambukzwa na bacteria aina ya bacillus anthrax sjui kama nimepatia spelling au laa ila hayanihusu basi tuendelee na story basi bwana nikamuosha nikamkatakata vipande kesho nikamuuze mishkak vipande vilivyobakia nikampa mshkaj aweke kwenye freezer lake maana anatuchaj per day bwana nikauza wee mara watu wakaanza kuanguka baada ya kula wengne kutapika na kuhara palepale RAIA waliponishtukia wakaanza nikimbiza na mapanga wengine magongo sauti zilisikika zikisema "lazma tukukate vipandevipande" kwa bahat nzur kulikuwa kuna fuso sjui Lori hata skumbuk vzr lilikuwa linaanza kuondoka sjui lilikuwa linaenda WAP bas bwana nikalidandia baada ya masaa mawil mule ndan ya fuso simu yangu inaita mama mwenye nyumba anasema upo WAP mbona kuna polis wanakutafuta hapa nikakata Sm mara tena simu inaitaa kapiga RFK take yule mshkaj anatuifadhia nyama akasema nyama yako ina nn jamaa alikuibia kdogo kaenda itumia gheto sahiv ninavyokwambia tumemuwahisha hospital nikakata Sm .gar likiwa linaenda ktk kukaguakagua mule ndan nikakuta magunia kuyacheck ndani naona bangi pia kulikuwa na madawa mengne syajui kumbe skudandia fuso nilidandia kifo Mara gar likasimama kumbe hlo eneo kulikuwa na police patrol nkasikia shuken wote tukague gari
Duh !! Previously mkuu imekwendaje !?
 
Niloenda hospital kutoa jino... Niligongwa sindano 3 za ganzi zote zikagoma ..jamaa wakaanza kungoa kibishi nikawaambia naskia maumivu... Wakaforce kulitoa nilipata maumivu hatar... Hayo yalikuwa cha mtoto sasa ile nafika home nilianza kuhisi maumivu ambayo hayaelezeki...(nikafungulia redio ..volume mpaka mwisho) Na utu uzima wangu wote huu nililia sana yani nilipiga kelele sana nilihisi kufa hiyo siku ..
Haha mimi hii ilinipata nikiwa kidato cha kwanza nilienda kung'oa jino nimechomwa sindano ya ganzi haijakolea hata naona jamaa anachukua machuma, niko mbona bado akasema kwa hiyo unataka tusing'oe? (Dr alikuwa ndugu yangu) akaning'oa hivyohivyo aisee nilipiga makelele hadi wagonjwa wengine walikuja kuangalia kunani huku
 
Niloenda hospital kutoa jino... Niligongwa sindano 3 za ganzi zote zikagoma ..jamaa wakaanza kungoa kibishi nikawaambia naskia maumivu... Wakaforce kulitoa nilipata maumivu hatar... Hayo yalikuwa cha mtoto sasa ile nafika home nilianza kuhisi maumivu ambayo hayaelezeki...(nikafungulia redio ..volume mpaka mwisho) Na utu uzima wangu wote huu nililia sana yani nilipiga kelele sana nilihisi kufa hiyo siku ..
Leo hii mtu akikwambia mapenzi yanauma sidhani ka utaamini
 
Tehteh..mama kumbe karibia ufwe?

Bwana mimi Kwa wanaoijua Galanos basi watanijua na usinitaje labda nicheke PM.

Bendera ya ule mlingoti pale mbele ilinasa pale juu kwenye kitundu ule mlingoti ni mrefu saana. Chini ni mnene juu ni mwembamba.

Sasa ikabidi atafutwe mtu anayeweza kupanda miti na na mdogo mdogo mwenye uzito mkubwa ataanguka nao.

Nikaitwa kamvua kalikuwa kananyesha ila kakawa kamekata..na inabidi tuitoe maana mkuu wa wilaya soon anakuja. Nikapanda ila kwa shida saana maana chokaa ikiwa na majimaji huteleza.

Ile nimefika juu na kuishika bendera kumbe kuna zenge la nyingu limefunda hapo. Lote likanizingira na kunin'gata ila sikuiachia bendera nikateleza nayo chini nikaanguka "Paaa".

Mkuu wa shule aliogopa akajua nimefariki maana dakika 20 sijielewi. itaendelea.
 
Hivi kumbikumbi wanapimwa kwa lita au kilo?
Inategemea na eneo kila eneo lina kipimo chake maarufu na zaidi vijijini mambo ya kilo hatuyajui
 
Inategemea na eneo kila eneo lina kipimo chake maarufu na zaidi vijijini mambo ya kilo hatuyajui
Kijijini wanajua. Kipimo cha kilo na lita ni vitu viwili tofauti. Wanaweza kuwa wanaita kivingine ila wanayoakili ya kutofautisha maji na unga.
 
Ya pili.

Ya pikipiki..Napenda kucheza nazo.

Dar wenye pikipiki hawazifurahii. Simaanishi boxer wala Toyo wala King lion au sanLG.

Hii barabara ya Mwl nyerere imenyooka bhana. Siku nimeenda kurekebisha Pikipiki pale Banana kijiweni kuna fundi alikuwa anaitwa Rasta (RIP). Tukabebana huyu jamaa nimeskia juzi kati kafariki chuga akiwa anacheza na Baja akaingia ndani ya Scania...walichofanya ni kuokota vipande vya mwili wake na kwenda kuzika.

Sasa tumefika hapa kiwanda cha Sabuni akaipa..mbele kuna Eicher jamaa akataka kui-overtake na tulikuwa upande wa kushoto mwa barabara....Baja hazina side mirror kama inayo yako katoe.

ile kuingia kumbe nyuma yetu gari ya taka jamaa kaipa yote inawahi mataa ya vingunguti...daah ilipita vuuuu abiria wa eicher hadi wakapiga kelele...yaani ilibaki sekunde tuchotwe na nilikuwa nyuma.

Huyu jamaa kafariki chuga kwasababu hii.
 
Niloenda hospital kutoa jino... Niligongwa sindano 3 za ganzi zote zikagoma ..jamaa wakaanza kungoa kibishi nikawaambia naskia maumivu... Wakaforce kulitoa nilipata maumivu hatar... Hayo yalikuwa cha mtoto sasa ile nafika home nilianza kuhisi maumivu ambayo hayaelezeki...(nikafungulia redio ..volume mpaka mwisho) Na utu uzima wangu wote huu nililia sana yani nilipiga kelele sana nilihisi kufa hiyo siku ..
Hhahahaha..Pole sana na punguza pombe.
 
Duuh
Unaendesha pikipiki kwenda Kawetere hill pikipiki ni Bajaj CT 100 umetoka zako Mwanjelwa unapita ya mkato ukatokee Isanga uendelee na safari ukiwa moto mwingi huku umeongozana na Bajaj miguu mitatu anakunja kulia bila indication nawe ulikuwa unamovateki unamgonga ubavuni maana ulikuwa machafu kapikipiki kanarushwa kule na wewe unatupwa mtaroni unazimia izraeli anakuja anakufikisha mlango wa kaburi Mungu anakuokoa...unazinduka kutoka kuzimia unajikuta upo rufaa kitengo cha mifupa umetundikiwa madripu...unawauliza "eti nilikufa?...wanakujibu hapana ISHIA KUSIKIA KWA WENZIO YASIKUKUTE
 
Back
Top Bottom