Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,224
- 16,905
Oh no. Pole sana.
Naona Malaika wa siku hiyo alikuambia tulia dogo sipo na wewe leo.
Oh no. Pole sana.
Naona Malaika wa siku hiyo alikuambia tulia dogo sipo na wewe leo.
Mkuu nakuchora tu hapa karibu na monastery ya wale mafaza wa kanzu za mifuko mgongoniHiyo kipindi niko forn one makoko
Sem. Sijajua kuogelea fresh nikaingia kwenye maji nafuata jiwe flani hivi ambalo tulikua tunatumia kusimama halafu lipo kwenye kina kirefu kidogo,
Nikakosea target kuweka miguu chini haifiki,sijakaa vizuri naibuka juu na wimbi linapita,nikazama chini kurudi juu wimbi hiloo.Nikaona hapa kuna kufa halafu washkaji wako mbali wana mishe zao.Ikabidi nizamie,nilipotoka nimeshapiga na vikombe kadhaa,sikumuongelesha mtu yoyote ni kuchukua nguo zangu na kusepa,halafu nikapitisha week nzima bila kukanyaga ziwani.Mpaka leo mimi na kuogelea hata sitaki kusikia.[emoji102][emoji102]
Poleni sana mkuu,maji habari nyingineJana nimepita hapa. Usiku napigiwa CM watoto wawili wamekufa maji. Mmoja mtoto wako ndugu yangu. Imeniuma mno asee
JACQUELINE ni mke wangu sasa hivi usije ukataka mambo ya kulipa fadhilaAisee, mwaka fulani nikiwa form 1 nilitaka kuagana na ugali kimasihara hivi.
Ilikuwa boarding skul, jioni tulikuwa na kawaida ya kwenda kuogelea ziwa Victoria..Nakumbuka hiyo siku ziwani kulikuwa kumechafuka sana, maji jirani na tulipokuwa twaogelea hayakutamanika kwa uchafu, hivyo tukaamua kusonga mbele zaidi ili tupate maji masafi, sikuwa mzuri sana katika kuogelea hivyo nikawa natumia dumu ya litre 5 kupata support (boya) nimefika umbali mrefu nikajaribu kupima kina cha maji, aisee nilihisi kama maji yananinyonga vile, kina kilikuwa kirefu nikakosa pumzi nikipiga yowe nakunywa vikombe vya kutosha, nikakata tamaa ya kuokoka, giza likatanda, nikaanza kujutia dhambi zangu, nikamkumbuka mamangu nyumbani, ndgu zangu, nikaikumbuka hadi ile siku naletwa shule kuripoti machozi yakanitoka nakufa kizembe[emoji22].
Kumbe katika purukushani zile wanafunzi wenzangu waliokuwa nchi kavu waliniona wakawa wanaduwaa hawajui wafanye nini, kuna sister mmoja (alikuwa form 2 alikuwa fundi wa kuogelea) kajitosa kuja kuniokoa....Kafanikiwa kuniokoa ingawa kwa mbinde maana kila alikuwa akijaribu kunipa mkono nimshike naambulia vikombe, ikabidi anyooshe mguu wake nikafanikiwa kuudaka, kafanya machachari yake mara niko mgongoni kwake[emoji120][emoji120][emoji120]
JACQUELINE popote ulipo Mwenyezi Mungu akujalie kila lililo jema. Bila roho mtakatifu kukuongoza giza lingetanda siku hiyo hiyo..
Duh! Pole sana...Hayo maji ya kupwa na kujaa yanahitaji timing, vinginevyo ni habari nyingine.Tulikuwa sehemu pembezoni ya bahari .sasa maji yakikupwa huwa tunaenda kwa miguu kuna kisiwa kidogo kizuri kipo mbali kidogo na ufukwe!
Siku hiyo nilikwenda kwa kuchelewa ... kufika kati ulikuja sijui ni upepo au nini ....nikaelemea sehemu ambayo ni kama kuna shimo...mmh!... nilianza kuzungushwa taratibu na maji...nikiita msaada hawasikii...kote...nilivyoona nafwa...nikajiachia nielee tu ...nilikuja okolewa na wavuvi...baada ya masaa
Mungu yupo....
Mwenzangu mmoja akasema alikuwa ananiona kwa darubini ila alijuwa siwezi kuzama maana najua kuogelea! na nilikuwa pabaya..wasingeweza nifata kirahisi!
Sina hamu! japo naogelea bado@
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]; Fadhila nitalipa tu maana kama Mungu alimuwezesha kuniokoa ndivyo atakavyonitengenezea mazingira ya mimi kukutana na mkeo[emoji3].JACQUELINE ni mke wangu sasa hivi usije ukataka mambo ya kulipa fadhila
Jamanii...Aisee, mwaka fulani nikiwa form 1 nilitaka kuagana na ugali kimasihara hivi.
Ilikuwa boarding skul, jioni tulikuwa na kawaida ya kwenda kuogelea ziwa Victoria..Nakumbuka hiyo siku ziwani kulikuwa kumechafuka sana, maji jirani na tulipokuwa twaogelea hayakutamanika kwa uchafu, hivyo tukaamua kusonga mbele zaidi ili tupate maji masafi, sikuwa mzuri sana katika kuogelea hivyo nikawa natumia dumu ya litre 5 kupata support (boya) nimefika umbali mrefu nikajaribu kupima kina cha maji, aisee nilihisi kama maji yananinyonga vile, kina kilikuwa kirefu nikakosa pumzi nikipiga yowe nakunywa vikombe vya kutosha, nikakata tamaa ya kuokoka, giza likatanda, nikaanza kujutia dhambi zangu, nikamkumbuka mamangu nyumbani, ndgu zangu, nikaikumbuka hadi ile siku naletwa shule kuripoti machozi yakanitoka nakufa kizembe[emoji22].
Kumbe katika purukushani zile wanafunzi wenzangu waliokuwa nchi kavu waliniona wakawa wanaduwaa hawajui wafanye nini, kuna sister mmoja (alikuwa form 2 alikuwa fundi wa kuogelea) kajitosa kuja kuniokoa....Kafanikiwa kuniokoa ingawa kwa mbinde maana kila alikuwa akijaribu kunipa mkono nimshike naambulia vikombe, ikabidi anyooshe mguu wake nikafanikiwa kuudaka, kafanya machachari yake mara niko mgongoni kwake[emoji120][emoji120][emoji120]
JACQUELINE popote ulipo Mwenyezi Mungu akujalie kila lililo jema. Bila roho mtakatifu kukuongoza giza lingetanda siku hiyo hiyo..
[emoji120][emoji120][emoji120]Jamanii...
Pole sana. Unajua huyu Jacquiline aliko kwa sasa? Fanya juhudi umtafute angalau umshukuru tena na tena. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijamaliza kusoma ila nimecheka maana umeandika kichaga fulu. Sasa hebu waelezee watu mwai ni wapi maana hawajakuelewaAiseee... nimeponea scenario 2. Sitakaa nisahau.
Sisi wachagga mito yetu ilivyo na mawe kuogolea wapi na wapi kwamfano?
1. Enzi hizo tukienda moshi likizo bwana kila actuvity hutaki kumiss. Kuna vibarua walikua wanaenda shamba Ibukoni huko. Sina hata kilo za nyama enzi hizo kadogo tu. Bibi alibikataza sana kwani naelewa. Nataka nikale maembe huko mwai. Wooi, tukaenda na binamu yangu haooo tukafika shamba. Miye nahangaika tu huku na huku. Binam yangu alikua na mdogo wake pia mdogooo tena kunizidi. Binamu alikua mkubwa na ana mwili. Muda wa kurudi ukafika. Uuwuuii, mvua iliyokuja utasema huko mbinguni malaika wa zamu alibet mkeka ukachanika. Barabara zote zimejaa maji. Kumbuka hiyo ni kupanda. Nikawa naona kizunguzungu. Tukafika mahali kuna mfereji unaenda kuunganisha na bonde ni kama mto hivi linapeleka maji kenya. Mdogp wake binamu akavuka kwanza, huyoo akachukuliwaa, nikawa nayadharau yale maji. Na mimi nikavukaa. Weeee, nikajikuta hata kusema maa siwezi napambana kujiokoa. Aisee yule binam yangu kwa hofu alirukia kwenye maji akaanza nitoa mimi, then later akamtoa mdogo wake. Yaan angechelewa tukafija kwenye lile bonde ndo basi wangesubiria miili yetu kenya iletwe tena tz kutuzika.
2. Hii nilienda marangu mtoni kwa mamdogo wangu ameolewa huko. Ule mto na kwake pamepakana. Hata maji enzi hizo wanachota huko kuna mifereji ndo huchota maji yake. Siku moja wakawa wanaenda kuogelea. Watu woote wanaogelea. Mimi peke yangu ndo nimebaki kwenye jiwe nawaangalia wanavyodive. Hapo pia kadogo kweli. Nikasema jaman si na mimi naweza? Wooiii si na mimi nikajidumbukiza1[emoji23][emoji23][emoji23] nilikunywa maji apaaaa womii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuna binamu akiwa yuko ndani ya maji akahisi kama ameshika mtu maana miye hapo nasubiria kukata roho tuu[emoji23][emoji23] ila akawa anasita asije akamtoa nguva bure ila akajikaza kisabuni akasema liwalo na liwe, akaninyakua paaaap, kufika nje ya maji si huyu hapa fulani mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msaada wa chap chap. Since then sitaki tabia mbaya na maji. Yaan hata uniue. Lama ni kuogelea natbeaga tu kwenye yale maji mafupu ya wet en world ama popote mahi mafupi
Hahaha nisaidie weweSijamaliza kusoma ila nimecheka maana umeandika kichaga fulu. Sasa hebu waelezee watu mwai ni wapi maana hawajakuelewa
Nacheka maana nimekutana na womii tenaHahaha nisaidie wewe
HahahahahaNacheka maana nimekutana na womii tena
Hap mwai ungeandika ni mashambani either huko Kenya au mbali na nyumbani japo najua mashamba mengi yapo huko KeshoHahaha nisaidie wewe
Pole sana bratan, sina mzaha na maji wala sijawahi kuyachezea.Hii imewahi kunikuta..Nilikuwa sijui vizuri kuogelea..Uogeleaji wangu ilikuwa siangalii ninapokwenda..Kichwa kipo ndani ya maji macho nimefumba..Nikaanza kwenda wrong direction naelekea kwenye kina kirefu bila kujijua..
Imefika stage nataka nisimame miguu haifiki chini then naanza kuzama..Nilidata..Nikianza kupiga mbizi kwa kasi huku sijui naelekea wapi..Hapo nishapanic..Mungu alikuwa upande wangu,nilikuwa naelekea kwenye kina kifupi..
Baada ya kuchoka kabisa na kuona siwezi tena kuendelea nikaamua nisimamame..Nikagusa chini..Maji yapo kifuani..Nilitembea hadi nje nikabeba nguo zangu na kusepa bila kuaga washkaji...
Hii siku siji kuisahau kamwe..