zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Why ?It will end in tears
Why ?It will end in tears
It won'tIt will end in tears
Why ?
right, mapenzi yakikolea wapenzi hushare kila kitu emotionallyUkihisi huzuni unaulizwa tatizo Nini, ukifurahi kidogo Kuna hisia anaipata
So you won't fall In love because of that factor..Everything is temporary
Nikitulia nitausikilizaaDeeply, truly and madly in love. Kupendwa na kupenda raha sana.
Kama masikio na macho Yapo juu VYEMA.Kama ananicheat anajichiti mwenyewe...
Nimezama lakini macho na masikio yote juu...
Zaga fanya mpango na Wewe uexpirience umeona raha hizo?Yaani hizi za kupenda sijui mnazipatae wengine hapa hatujawahi penda wala hatujawahi pendwa tuko kivukoni[emoji848]
Kumbe una nisikitikia Jo dah! Love comes at unexpected time ntapata tu bado time haijafika[emoji6][emoji23]Zaga fanya mpango na Wewe uexpirience umeona raha hizo?
Katibu naangalia wanachama wangu sijamuona Lucas MobutuKumbe una nisikitikia Jo dah! Love comes at unexpected time ntapata tu bado time haijafika[emoji6][emoji23]
Chama gani tena hicho[emoji23]Katibu naangalia wanachama wangu sijamuona Lucas Mobutu
Thats why it happened to meKumbe una nisikitikia Jo dah! Love comes at unexpected time ntapata tu bado time haijafika[emoji6][emoji23]
Raha sana jamani, nilikuwa na zaidi ya muongo mmoja silijui kanisa ila nina zaidi ya mwezi kila wiki lazima nikamshukuru Mungu kwa amani hii nayopitia Sasa, kila kitu nakiona chepesi sana
Amini hali haitabadilika
Angejua hiyo hali mtu unajikuta tu unatamani kumsimulia kila mtu vile una rahaUjue kuna mtu huko juu ameniuliza "so what?" Nkamwangaliaaaa nkabaki nacheka hihihiiiiii (kwa sauti ya JPM)
Nafurahi best yangu Kama tuko ndani ya boti moja hongera sana, mpe yote shemela wangu nawapendaWe are sailing in the same boat hiney.
Ninajiandaa kupeleka sadaka ya shukrani kanisani.
Nafurahi best yangu Kama tuko ndani ya boti moja hongera sana, mpe yote shemela wangu nawapenda
Hahahahah Yani weweNimpe yote [emoji23] hapa nitatilia mkazo.
Hahahahah Yani wewe