Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Tupe mrejesho mkuu
mkuu Mungu ni mwema sana, shughuli ya engagement iliisha salama na ilipendeza sana, kwa sasa nimeshaanza vikao vya harusi..mwezi wa 4 mwishoni Mungu akijalia uzima tutakukaribisha tufurahi pamoja
 
Huu wakati ni wangu wallah, napendwa hadi nahisi Duniani tupo wawili tyuuh mie na yee bas.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Pole sana. Nadhani shida ilikuwepo hapo "kiukweli Maisha tuliyafurahia kiasi kwamba tulijiona duniani tunaishi wenyewe tu". Yaelekea mlijisahau mkaweka "guard" chini. Ukweli ni kwamba mambo yanaponoga shetani naye anakuwa karibu sana kutafuta upenyo ili aharibu.
unachosema ni kweli kabisa shetani anapoona maendeleo yenu si haba lazima atatafuta njia tu mpaka aharibu
 
Vipi since September bado mnafurahia hilo penzi ama mlishaachana?, if yes hongereni sana.
Tuwaombee wazidi kuonyeshana mapendo, kwenye mahusiano na hasa ndoa kuna nyakati nzuri mno(kama alizopitia mwenzetu Mrs Bishanga), lakini kuna nyakati mnapitia magumu hadi unajiuliza, did I make the right choice? Sasa kama ule wakati wa kuyafaidi mapendo umeisha, ataanza kula shubiri...

That's how life rolls, huli wali kuku kila siku dadeq!
 
yaani mapenzi yale yalikuwa sio ya kawaida mume wangu tulishinda wote jikoni nikimpigisha stori yeye akiandaa chakula akimaliza anachukua kiti nakaa hapo wakati ananisaidia kuosha vyombo mimi nimekaa pembeni nampa stori hata zizizoeleweka.akitoka kidogo akirudi anapitia dukani lazima aniletee ile malt ya kahawa ya baridi sana au lazima aniletee kitu chochote.na yeye vilevile akitaka kutoka lazima nimbariki kwa mabusu yote mpaka ajione duniani hakuna mwanaume mwingine isipokuwa yeye.alipotoka huko alikokuwa ilikuwa haipiti lisaa limoja hajanipigia simu au mimi sijampigia simu wala kumtumia sms.movies za love story zilikuwa haziishi humo ndani.kiukweli maisha tuliyafurahia kiasi kwamba tulijiona duniani tunaishi wenyewe tu.mkuu hayo yalidumu kwa miezi mitano tu.yaani kilichofuata hapo ni kukerembeshana au ni kufanya nini mwanaume alibadilika ndani ya kipindi kifupi tu cha wakati mpaka kufikia kuachana.yaani mpaka nilijiuliza au nilichelewa kurenew limbwata nini

Ungenchapa na limbwata la mitano tena
 
Wale tunaougulia yaani bendera ipo nusu mlingoti tunapumulia mashine ila tunang'ng'ana tunacomment wapi [emoji38]
 
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yaani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenzi.

Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
I wish
 
Ndugu watazamaji napenda kuwaambia kuwa sisi si maadui ila hatupo pamoja. Siku moja nilimpigia simu akapokea aliyedai ni girlfriend wake
Buffet na wengine mlotaka kujua thermometer inasomaje by now mkuje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom