Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,668
Raha sana jamani, nilikuwa na zaidi ya muongo mmoja silijui kanisa ila nina zaidi ya mwezi kila wiki lazima nikamshukuru Mungu kwa amani hii nayopitia Sasa, kila kitu nakiona chepesi sanaSijui ni kwa mda gani itadumu ila ninachojua Mungu ameniletea amani kwa mda huu. I cherish this moment until hapo itakapogeuka shubiri.
LM usinigeuke tuu
Amini hali haitabadilika