right, yaani moment hizi watu hua wamoja kihisia hadi raha, utashangaa wakati anakuta nawe ndo ulitaka kumtafuta.Ukisikia mapenzi mubashara basi ndo hayo, unamhamu mtu wako muda wote
right, yaani moment hizi watu hua wamoja kihisia hadi raha, utashangaa wakati anakuta nawe ndo ulitaka kumtafuta.Ukisikia mapenzi mubashara basi ndo hayo, unamhamu mtu wako muda wote
Endless love iko kwa soulmates tu, mnapendana unconditionally, kwa mvua kwa jua! Too bad ni ngumu sana kupata soulmate katika kizazi cha sasa.Yeah too much of something is harmful
But love is limitless
We all know nobody likes problems to interfere in love
But time will tell to their new period of love
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Ni wakati Kama huu mtu yeyote akiomba chochote kilicho ndani ya uwezo wako unampa, maana unauhisi ubinadamu, upendo na huruma kwa kila mtu,
Yakibadilika turudi tufarijiane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui ni kwa mda gani itadumu ila ninachojua Mungu ameniletea amani kwa mda huu. I cherish this moment until hapo itakapogeuka shubiri.
LM usinigeuke tuu
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Vipi yule Mzee baba wa kipindi kile Sasa hivi karudi na amekolea eeh! Mtaachana tuKuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Nilimuopoa nami humu kwakweli jf idumu😎😎
Raha sana jamani, nilikuwa na zaidi ya muongo mmoja silijui kanisa ila nina zaidi ya mwezi kila wiki lazima nikamshukuru Mungu kwa amani hii nayopitia Sasa, kila kitu nakiona chepesi sana
Amini hali haitabadilika
Nipo sana tuUnajua kupotea sana
Jamani kweli adui yako muombee njaa lohPenzi jipya bana, ulevi wake unaweza hisi watu wengine wote ni mifugo tu na mimea na dunia nzima mpo wawili tu!🤣🤣🤣
Wacha siku zisogee kidogo matumizi mabaya ya neno busy yakianza utatujulisha😎
Asante sana kwa somo nitazingatia yote uliyoniandikia hapo juuEnjoy Best make sure you show him respect, care and love. Don’t use negative/ harsh words against when you made any mistake apologize as soon as possible in order to maintain peace and harmony in your L♥♥E.
Najua kila jambo na wakati wake.... Upo wa kulia na wakucheka pia...ila tambueni kwa sasa nacheka...
InA maana wote mko na sour relationship s mda huu?
Asante sana kwa somo nitazingatia yote uliyoniandikia hapo juu
Aya hupendi tashtiti kabisa[emoji6]Kama umeielewa basi inatosha
Sitaki maswali dogoAya hupendi tashtiti kabisa[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Yaani niko deep kiasi kwamba nikiona anapunguza tu kidogo namtongoza upya tunaanza wapyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deep deep shit yaani so deeep . Staki hata kufika juu mi nipo deep sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekusikia dadaSitaki maswali dogo
Yaani narenew every now and then 😂😂😂😂 chapter mupya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]