Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Hapana dada nipo hapa naelewa hio situation yani najiona kama dunia nzima ipo kiganjani
Kupendwa raha sana
Unatamani upige kelele watu wote wajue [emoji28][emoji28][emoji28]
I know it doesn’t last forever
Lakini kwa wakati huu naenjoy 🥰
Na yule wa kwenye ule Uzi wetu?🤔
 
Endelea kuumia kelele zako hazinizuii Mimi kufanya yangu mkuu,
But I'm just being hypocrite
By the way congrats to you Dr for having a good time with your love..

Let the world understand that love is unexplainable[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Jamani huu uzi ni wa wale tu wanaojisikia kupendwa mda huu kama una uchungu moyoni usipite maana utalia. Hata mm kuna kipindi nilikuwa na uhungu wa kutendwa kiasi kwamba nikiona nyuzi kama hizi nilikuwa napandwa na nyongo
Inaitwa kutesa kwa zamu, ni zamu yako/yangu/yetu kufurahia mapenzi wasiohusika wajifanye Kama hawauoni huu Uzi,
 
But I'm just being hypocrite
By the way congrats to you Dr for having a good time with your love..

Let the world understand that love is unexplainable[emoji4][emoji4][emoji4]
Barikiwa sana
 
Ndo maana ukibahatisha kanafasi kakupendwa tunajimwambafai Kama hivi[emoji126][emoji126][emoji126]
Ujue kuna mtu huko juu ameniuliza "so what?" Nkamwangaliaaaa nkabaki nacheka hihihiiiiii (kwa sauti ya JPM)
 
Hizo moment za Secondary na chuo, Sasa hivi akili yote inawaza Hela yani binti ambaye anajaribu kunipenda na kuwa Serious na Mimi huwa namhurumia sana na tahadhari nampa kuwa Muda wa kucare sina kabisa na wala future na yeye sio lazima ivo kama atataka kuendelea amue tayari akiwa na msimamo wangu , btw kuna manzi amekomaa haswaa mwaka sasa pamoja na vitimbi na kutomjali ila yumo tu ila slay queens baada ya kuwa hit wamepotea, Iyo bibie nikilala huwa namfikria japo sitaki ajue kwamba nimeanza kuonesha interest kwake, Mungu ajalie awe mke tu amenivumilia haswaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom